SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa hiyo Mbwaduke ndiyo atakuwa shahidi wenu namba moja?Umesikiliza video CAF wanavyo fanya wenye mpira wao? Endeleeni kudeka na TFF yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Mbwaduke ndiyo atakuwa shahidi wenu namba moja?Umesikiliza video CAF wanavyo fanya wenye mpira wao? Endeleeni kudeka na TFF yenu.
Umeona wapi timu inasusia mechi baada ya kutofanya mazoezi siku moja kabla ya mechi. Au kun kanuni yoyote inayosema kama umezuiwa kufanya mazoezi ruksa kususa.
View: https://www.instagram.com/reel/DG-B8NUsBKg/?igsh=eXJ1cjhycWx0MmQ0
CAF huko Uarabuni kila msimu timu zinafanyiwa figisu mpaka wanazuiwa kutumia uwanja,ila mechi inapigwa maamuzi yanakuja kutolewa baada ya CAF kupokea ripoti ya mechi.
Si mnaongea kwa kanuni, mwaduke anaongea kwa kanuni,unasema atakuwa shahidi nyie mnavyo ongea kwa kanuni mnampango wa kuwa mashahidi?Kwa hiyo Mbwaduke ndiyo atakuwa shahidi wenu namba moja?
Kanawe miguu View attachment 3265119
Sasa hivyo vipengele alivyo zungumza vipo au havipo? Ina maana CAF waliviweka kama urembo?Kama kitu hujui ni bora ukanyamaza
Kumbuka uhuni waliofanyiwa Rs Berkane walipoenda Algeria
Kumbuka uhuni waliofanyiwa Nigeria na viongozi wa Libya
Huu mpira msidhani mnauangalia pekee yenu tu mnaweza kutuambia chochote tukawasikiliza tu
Nikinawa miguu ndio mtaleta team uwanjani au bado mnataka point 3?
Hakukuwa na mechi, ilifutwa na TFF. Simba haiwezi cheza mechi imefutwa na TFF.Sababu TFF mnawamudu maana hamna kanuni inayosema timu isuse baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi.
Kanuni mzee baba, Kanuni. HEKIMA NA BUSARA zinafata.Lazima mkumbike ya Fei sababu mnachotegemea hapa ni HEKIMA NA BUSARA.
Si mnaongea kwa kanuni, mwaduke anaongea kwa kanuni,unasema atakuwa shahidi nyie mnavyo ongea kwa kanuni mnampango wa kuwa mashahidi?
Uwanja haupo.chini ya yanga au haujui taratibu za mchezo! Mmekomaa kuhusu mabaunsa wa yanga utadhani yanga ndo alikuwa na funguo za uwanjaMakomandoo uchwara ndo waliozuia Simba wasiingie Uwanjani, mbona utopolo hawajaandika hapo kuhusu hao migambo uchwara
Msibishane mechi itapigwa tena mbele ya SSH baada ya Simba kukutana na Al masryKuna sehemu nimesema huyu ni mtoa maamuzi au amewazungumzia wenye mpira wao Afrika CAF wanavyo fanya inapotokea situation kama ya jana na kaongea kwa vipengele.
Timu ilikuwepo kwa mkapa mkakimbia. Kuzira fc. Point tatu haki yetu
Bodi ya ligi ipo kisheria sio kiimani. Imani yangu juu ya maamuzi ya bodi haina maana kwenye ligi, ishu ni maamuzi yaliyotolewa yanaruhusiwa kisheria?We unaamini uamuzi wowote wa bodi ya ligi ni sawa? Unaamini hakuna chombo,taratibu,miongozo,kanuni zinazoiongoza bodi ya ligi! Yani hata bodi ya ligi ikisema bingwa wa nbc ni kengold utaona ni sawa kisa ni bold ya ligi imesema
Unatupostia maandiko ya mtu mwingine, tena mchambuzi tu bila maelezo yoyote unategemea tukuelewe vipi? Sasa Mbwaduke na wewe mna tofauti gani mbele ya vyombo vya usuluhishi?Si mnaongea kwa kanuni, mwaduke anaongea kwa kanuni,unasema atakuwa shahidi nyie mnavyo ongea kwa kanuni mnampango wa kuwa mashahidi?
Kikanuni hutoboi, sema TFF mnaimudu.Kila timu iendelee na msimamo wako,wewe goma kama alivyo sema Magoli.Yanga itaendelea na mechi zake zilizobaki.Hakukuwa na mechi, ilifutwa na TFF. Simba haiwezi cheza mechi imefutwa na TFF.
Tafsiri ya kususa ni kutokuingiza timu uwanjani, pamoja ya kwamba Simba ilisema haichezi ila misimamo huwa inabadilika kutegemeana na mazingira, ushawishi na mambo mengine, sasa TFF wakafuta.
Kanuni mzee baba, Kanuni. HEKIMA NA BUSARA zinafata.
Yanga walivyo kosa viongozi wenye akili hawajahi shinda kesi yoyote rejea suala la feisal hata hili mualiko wa futar ikulu huu upuuzi wa kikao wataisahau na mechi watacheza!Kumekucha
Hapa moto utawaka
Kwani wewe kuna kanuni inayo zuia kususia mechi baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi?Haya tuzungumze kanuni kaka
Ulileta Team uwanjani ✅
Refa aliekua uwanjani ni nani?
Kamisaa wa mchezo?
Je Team ilikaguliwa na filimbi kumaliza mchezo ilipulizwa?
Hivi kama vilifanyika vyote point 3 haki yako.
Nijibu mzee
Embu tupe mfano halisi wa huu ubaya ubwela uliofanyika hapa umevunja kanuni ipi?Kikanuni hutoboi,
TFF ina nguvu kiaheria kuhairisha mechi na kuipanga siku nyingine. Kanuni joseph, kanuni na kaakili kidogo.sema TFF mnaimudu.Kila timu iendelee na msimamo wako,wewe goma kama alivyo sema Magoli.Yanga itaendelea na mechi zake zilizobaki.
Rs Berkane alienda kucheza final bila kucheza nusu final kwa upumbavu huo huo unaotaka kufanana na wa uto fcSasa hivyo vipengele alivyo zungumza vipo au havipo? Ina maana CAF waliviweka kama urembo?
Vipi kiziwi wewe?Unatupostia maandiko ya mtu mwingine, tena mchambuzi tu bila maelezo yoyote unategemea tukuelewe vipi? Sasa Mbwaduke na wewe mna tofauti gani mbele ya vyombo vya usuluhishi?