Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Usiishi kwa kukremisha mzee! Fanya reference ya afcon. timu silizokuwa zinabezwa ndiyo zilizofanya vizuri, mpira wa Africa umekua kila timu ina nafasi ya kusonga mbele!
 
Ila mpira una maajabu. Iwapo Yanga atashinda dhidi ya CRB, Maajabu yanayoweza kutokea.

: Med 1-0 CRB au draw.
:Al hly 0-0 Yanga.

Very unlikely but possible. Kama kuambukizwa ukimwi saluni.
 
kumfunga CRB ushindi wowote na kutoa sare na Ahly ndo mahesabu rahisi kwa Yanga kuliko hizo mambo za kumfunga CRB goli 4
Mi naona kutoa sare na Al Ahly ni ngumu zaidi

Japo mpira hautabiriki ila nafasi kubwa ya matokeo ya mwisho siioni sare kwa Yanga kule Cairo
 
Hiyo game ya Yanga na CRB pale kwa Mkapa ni game ngumu mno tofauti na wadau wengi wanavyopiga hesabu za vidole tena inaweza ikatoa matokeo ya kushangaza....ila yanga akifanikiwa kushinda 4-0 anapita moja kwa moja kwenda robo kabla hajacheza hata game yake ya mwisho na al ahly, na akitokea amefungwa hata goli moja itakuwa end of the road kwake!....
 
Usiishi kwa kukremisha mzee! Fanya reference ya afcon. timu silizokuwa zinabezwa ndiyo zilizofanya vizuri, mpira wa Africa umekua kila timu ina nafasi ya kusonga mbele!
Sahihi, usishangae Madeama akafuzu
 
How?
 
Sare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.

WE utaweza?
kwanini unaamini hivyo? Je ulijua msimu huu Yanga atakukojolea vitano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…