inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unawalisha wewe hao!?Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Kwa hiyo unazingua siyo?Ndo Imeisha hiyo
Siwezi kuwa tahira wa kiwango hicho mimi
Labda wanahamasisha muangalie kwenye runinga piaMm nikiacha kushabikia mpira baada ya kuona tunaenda kinyume na dunia. Yaani kitendo cha viongozi wa timu kuanzisha kampeni ya hamasa kuelekea mechi ni cha kipekee dunia nzima.
Hamasa kwa mashabiki!!? Mpira si unaoneshwa kwenye runinga? Sasa hamasa gani tena? Nikajua watanzania tunafanywa mazuzu kupitia mpira. Nikaacha ushabiki.
Nyinyi mbona mwakesha baa kila siku kwa ajili ya pombe!?..kila mtu na lakeHawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
WAMEKUOMBA HELA..???Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Hakika... comments zimejaa chuki usipime?Kwa watu ambao sio washabiki wa mpira
Kwanini usikeshe ajili ya taifa lako?unajuaje kama wamelipwa je..wewe usongekesha!
Tungekuwa wajinga kama wewe na hao tusingekuwa na mafanikio kwenye maisha, sisi tuna andika mambo ya msingi ili wajukuu zako waje waishi vizuriNyinyi mbona mwakesha baa kila siku kwa ajili ya pombe!?..kila mtu na lake
Wewe ukiwa na akili zako timamu unaweza kuamaka usiku wa manane kwenda kiwanja cha ndege kuipokea timu ya mpira bila kulipwa na mtu?unajuaje kama wamelipwa je..wewe usongekesha!
Mafanikio gani kutwa upo humu!?..Mimi wajukuu zangu hawahitaji kuandaliwa chochote na wewe,kakesheni bar acheni wenzenu wakesheee wavipendavyoTungekuwa wajinga kama wewe na hao tusingekuwa na mafanikio kwenye maisha, sisi tuna andika mambo ya msingi ili wajukuu zako waje waishi vizuri
Familia angu inahudumiwa na mumeo? kama unaona nashinda humu wewe unakuwa wapi? kumbe tunashinda wote dada anguMafanikio gani kutwa upo humu!?..Mimi wajukuu zangu hawahitaji kuandaliwa chochote na wewe,kakesheni bar acheni wenzenu wakesheee wavipendavyo
Wanaokesha Bar wana pesa na maisha mazuri tayari na wakiwa Bar wanatengeneza dili na michongo mengine zaidi ya pesa, wanaokeshea kupokea timu za mpira usiku wa manane wengi wanywa visungura maisha ya kuungaunga ndio maana watu wanawashangaa.Mafanikio gani kutwa upo humu!?..Mimi wajukuu zangu hawahitaji kuandaliwa chochote na wewe,kakesheni bar acheni wenzenu wakesheee wavipendavyo
Ndiyo maisha yao, wewe kesha bar ukinywa ujingaWanaokesha Bar wana pesa na maisha mazuri tayari na wakiwa Bar wanatengeneza dili na michongo mengine zaidi ya pesa, wanaokeshea kupokea timu za mpira usiku wa manane wengi wanywa visungura maisha ya kuungaunga ndio maana watu wanawashangaa.
Sio rahisi wameamua kuwekeza kwenye mambo ya kupumbaza vijana kama mipira. Goli la mama na kudhoofisha upinzani umefanya vijana wahamishie mapenzi yao kwenye Mpira.CCM sijui kama watakuja kutoka madarakani.
Wpuz watupu hao hawana shuguliHawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.