Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Mm nikiacha kushabikia mpira baada ya kuona tunaenda kinyume na dunia. Yaani kitendo cha viongozi wa timu kuanzisha kampeni ya hamasa kuelekea mechi ni cha kipekee dunia nzima.

Hamasa kwa mashabiki!!? Mpira si unaoneshwa kwenye runinga? Sasa hamasa gani tena? Nikajua watanzania tunafanywa mazuzu kupitia mpira. Nikaacha ushabiki.
Labda wanahamasisha muangalie kwenye runinga pia
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Nyinyi mbona mwakesha baa kila siku kwa ajili ya pombe!?..kila mtu na lake
 
Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
WAMEKUOMBA HELA..???

ACHA WIVU WA KIKE.
 
unajuaje kama wamelipwa je..wewe usongekesha!
Wewe ukiwa na akili zako timamu unaweza kuamaka usiku wa manane kwenda kiwanja cha ndege kuipokea timu ya mpira bila kulipwa na mtu?
 
Screenshot_20240707-171955.jpg
 
Tungekuwa wajinga kama wewe na hao tusingekuwa na mafanikio kwenye maisha, sisi tuna andika mambo ya msingi ili wajukuu zako waje waishi vizuri
Mafanikio gani kutwa upo humu!?..Mimi wajukuu zangu hawahitaji kuandaliwa chochote na wewe,kakesheni bar acheni wenzenu wakesheee wavipendavyo
 
Mafanikio gani kutwa upo humu!?..Mimi wajukuu zangu hawahitaji kuandaliwa chochote na wewe,kakesheni bar acheni wenzenu wakesheee wavipendavyo
Familia angu inahudumiwa na mumeo? kama unaona nashinda humu wewe unakuwa wapi? kumbe tunashinda wote dada angu
 
Mafanikio gani kutwa upo humu!?..Mimi wajukuu zangu hawahitaji kuandaliwa chochote na wewe,kakesheni bar acheni wenzenu wakesheee wavipendavyo
Wanaokesha Bar wana pesa na maisha mazuri tayari na wakiwa Bar wanatengeneza dili na michongo mengine zaidi ya pesa, wanaokeshea kupokea timu za mpira usiku wa manane wengi wanywa visungura maisha ya kuungaunga ndio maana watu wanawashangaa.
 
Ndiyo maisha yao, wewe kesha bar ukinywa ujinga
 
Umaskini ni mkubwa sana nchi hii. Hao wote hapo ni maskini na ambao hawana ajira wala shuhul za kufanya. Huwez kua na pesa nyingi ukashinde airport usiku eti kupokea wachezaji, ccm will rule forever!
Mwenye pesa anakesha airport kusubiria business associates au makontena
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Wpuz watupu hao hawana shuguli
Ndomana kuna yule dada shabik wa yanga kutwa kuwafata yanga
Mwisho wa siku akatoa connection....

Ova
 
Back
Top Bottom