Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!Hata mi nashangaa.Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano.
Simba toka ipigwe hizo tano tano kwenye Champions League ameshacheza away na timu kubwa toka huko kaskazini, Wydad Athletic Club, Al Ahly Mara 3 ikiwemo hii droo ya moja moja pale Cairo
Sasa kwa uelewa wako mdogo wa mpira unataka kutuaminisha CR Belouzdad ni hatari zaidi kuliko Al Ahly au Wydad Casablanca just kwakua tu kakupiga 3 kama umesimama?
Yaani kwenye suala la klabu bingwa Simba ni ya kuitishia Belouzdad kweli??? Yaani uweze kubatle na timu namba 1 na namba 2 Africa tena wakiwa mabingwa watetezi uje ututishie Belouzdad ??[emoji849][emoji849]
Nashangaa watu mnavyosoma kwa mihemko, hakuna sehemu niliyosema kuwa Yanga atashinda dhidi ya Al Ahly au Medeama. Bali nimesema fixture ya Yanga imekaa vizuriNivizuri kuweka akiba ya maneno..
Mpira una matokeo ya ajabu sana...
Yanga anaweza kuwa wa mwisho hadi mwisho, au anaweza kuwa wa kwanza.
Asante sana. hapo ajipimie mwenyewe akili yake ilivyo.Hahahaaa!Hata mi nashangaa.View attachment 2824993View attachment 2824994View attachment 2824995View attachment 2824996
Una hesabu nzuri, lakini haizuii yanga kupitaU
Jipe moyo tu, wale waliowatungua jana, wakija hapa, wanakupasueni tena, mmejitahidi mpate drow.
Al ahly, akija anaondoka na point 3, ungawa ushindi utakua under 2.5. Tataona trh 2 Des.
.madeama kwao mnadrow, Taifa yanga anashinda, timu zinazotakiwa kupenya mbili hesabu point zako kwa mkeka huo.
🤣🤣🤣 kwani lina akili sasa hilo li utopwingooKuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano.
Simba toka ipigwe hizo tano tano kwenye Champions League ameshacheza away na timu kubwa toka huko kaskazini, Wydad Athletic Club, Al Ahly Mara 3 ikiwemo hii droo ya moja moja pale Cairo
Sasa kwa uelewa wako mdogo wa mpira unataka kutuaminisha CR Belouzdad ni hatari zaidi kuliko Al Ahly au Wydad Casablanca just kwakua tu kakupiga 3 kama umesimama?
Yaani kwenye suala la klabu bingwa Simba ni ya kuitishia Belouzdad kweli??? Yaani uweze kubatle na timu namba 1 na namba 2 Africa tena wakiwa mabingwa watetezi uje ututishie Belouzdad ??[emoji849][emoji849]
Goli la kwanza Baka aliupiga mpira akamiss ulivyompita ukamkuta jamaa akamaliza, la pili ulimpita YAO ila mpigaji akawa mbele ya Baka, akashoonya mguu ila mguu ukawa mfupi[emoji23]. Kiufupi overall performance Baka alicheza vizuri ila ndiye huyo huyo aliyechomesha pia.Goli la kwanza kama uliangalia vizuri bacca alipiga Mpira vibaya badala ya kuokoa akarudisha golini , hii ni dalili ya mwili kuzidiwa akili inataka lakini mwili unakataa.
Goli la pili Yao aliacha gap kulia krosi ikapigwa metacha akashindwa kuruka mapema kublock Krosi na bacca akamsahau mfungaji nyuma yake .
Msimu uliopita ni tatu kati ya timu nne za pot 3 zilifuzu robo fainali.Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana
HAkuna goli ambalo lingepungua mkuu nature ya magoli umeiona?1. Namba 2 na 3 walijisahau kwa kukariri kushambulia sana na kusahau jukumu Lao kubwa la kuzuia hasa kwa timu yenye kasi( belouzid sio simba )
Wabadilishe mfumo kulingana na timu wanayokutana nayo na lomalisa aache mchezo wa chenga golini kwake
2. Kalid aucho ni mzito sana wa kusaidia ulinzi kwa timu yenye kasi (belouzid sio simba ) next game awekwe mkude .
3. Match analyst Kama hayupo basi gamondi ameshindwa kuwasoma belouzid katika mfumo wa mechi zao za nyuma .
4.bacca alionekana kuchoka na kufanya makosa kadhaa ikiwemo goli la kwanza na kumsahau mfungaji goli la pili angepumzishwa Kama bakari ili gift Fred achukue nafasi .
5.pengo la diara lilionekana huenda magoli yangepungua Kama sio sare .
6.Pacome aache chenga nyingi akifika golini aidha apige mashuti au atoe pasi ingawa kuna chenga moja alipiga akakatwa na beki ilikuwa penalti ya wazi mshika kibendera akaachia
7. Aziz ki na maxi walitakiwa wapige Mashuti baada ya mpango wa kupenya lundo la mabeki kushindikana.
Goli kipa ni zaidi ya kudaka, kuwakumbusha mabeki wako mara kwa mara nini wanapaswa kufanya. Diarra huwa anafokea hadi wenzie kwa kufanya uzembe uzembe hilo huwa inasaidia sana. Magoli angeweza kufungwa ila jitihada angefanya.HAkuna goli ambalo lingepungua mkuu nature ya magoli umeiona?
View attachment 2824135hizo habari za kuanza kuandika mlicheza mpira wa kasi sijui nini ni kelele tuu, mmepigwa subirini vipigo vingine
Muda ni mwalimu mzuri sana mchambuzi wa Simbatano. Unalolote la kuongezea ndugu chaMBUZI?Yanga Champions league bado mwaka jana alipata bahati ya kucheza na timu nyingi zilizokuwa hazina ubora mechi inayo fuata atapigwa na Al Ahyl na kinachomuangusha Yanga anacheza bila malengo wakati hii ni Champions League ligi ya kikubwa asipokuwa makini mechi ijayo ndio inaweza kumaliza kundi mapema maaana Al Ahyl anaweza shinda na Wababe wa Uto wanaweza shinda shughuli ikaisha hapo walivyokuwa wanaona Simba anaishia robo wakazani ni rahisi na bado mtapigwa sana Champions league unaenda ugenini kucheza na timu za warabu huku unajishaua badala ya kucheza kwa malengo unawachukulia poa watakukanda sana usipobadilika kima wee
Msimu huu katika Pot 3, ni Al Hilal peke yake ndio hajafuzu ila timu zote tatu zimefuzu robo fainali. Timu za Pot 3 zinakuwa na nafasi kubwa ya kufuzu kutokana na fixture ilivyoMsimu uliopita ni tatu kati ya timu nne za pot 3 zilifuzu robo fainali.
Pot 3 ilikuwa na Simba, Belouizdad, Kabylie na Al hilal na ni Al Hilal pekee ndiye aliyeshindwa kufuzu.
Msimu wa 2021/2022
Timu tatu tena kati ya nne za pot 3 zilifuzu robo fainali. Pot 3 ilikuwa na Setif, Petro luanda, Al Hilal, Belouizdad. Ni Al Hilal ndiye hakufuzu.
Msimu wa 2020/2021 timu mbili zilifuzu, Simba na Mc Alger.
Pot 3 ilikuwa na Al hilal, Simba, Petro luanda na Mc Alger
Sijui unajisikia je hapo ulipoYanga Champions league bado mwaka jana alipata bahati ya kucheza na timu nyingi zilizokuwa hazina ubora mechi inayo fuata atapigwa na Al Ahyl na kinachomuangusha Yanga anacheza bila malengo wakati hii ni Champions League ligi ya kikubwa asipokuwa makini mechi ijayo ndio inaweza kumaliza kundi mapema maaana Al Ahyl anaweza shinda na Wababe wa Uto wanaweza shinda shughuli ikaisha hapo walivyokuwa wanaona Simba anaishia robo wakazani ni rahisi na bado mtapigwa sana Champions league unaenda ugenini kucheza na timu za warabu huku unajishaua badala ya kucheza kwa malengo unawachukulia poa watakukanda sana usipobadilika kima wee
Vipi ni sahihi shirikisho na club bingwa ni tofauti auShirikisho na club bingwa tofauti shehe ngoja inyeshe tuone panapovuja
AsanteHaya Uto, hongereni sana kwa kuwa kwenye pot 3
😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑Kwamba unahisi cR belouzidad akija unamfunga?
Umeanza na maneno timu ya wazee tusingemfunga CR watu tunakaza dhidi ya al ahly unaongelea upumbavu wa CR 😁😁😁😁
Nasubiri sare ya medeama taifa ndio safari itaishia hapo