Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atumie taaluma yake kujitafutia pesa kama kipanya. Asiishie kuwafurahisha mashabiki wa simbaNI FURAHA SANAAAAAA AISEEE LEO DAH ...
View attachment 2824175View attachment 2824176
View attachment 2824183
View attachment 2824174
CRB ana misimu minne mfululizo anaingia quaterfinal vipi utaweza kumchomoa Al Ahly mkapenya quarters na CRB ?Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.
Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.
Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).
Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
Miaka yote Makolokolo SC ni kibonde wa Al Ahly ndiyomaana hufanywa ngazi ya mafanikio ilihali Mbumbumbu SC hubaki kufeli pale pale Mwakarobo [emoji23]Hiyo Al Ahly wangeomba kwa CAF ibadilishwe icheze na Simba maana Simba ndiyo wanawamudu Al Ahly ndani nje. Kwa Yanga ni kinyume, itakuwa mvua ya magoli ndani nje!
Kifupi tu niseme ‘asanteni utopolo kwa kushiriki’ CAF 2023/24
Hiyo Ni AI generatorHuyu atumie taaluma yake kujitafutia pesa kama kipanya. Asiishie kuwafurahisha mashabiki wa simba
Miaka yote Makolokolo SC ni kibonde wa Al Ahly ndiyomaana hufanywa ngazi ya mafanikio ilihali Mbumbumbu SC hubaki kufeli pale pale Mwakarobo [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
yanga wanaweza kupita lakini anatakiwa abadilike katika CL kumiliki mpira sio sifa hasa ugenini utaumia tu kama jana jamaa wanawatamanisha muone mmewashika wakija wao imo.. jana yanga angecheza kwa tahadhari kadri dakika zinavyozidi waarabu wangeaanza kutoka nyuma na wao wangepata nafasi nzuri za kupata mabao lakini walivyoona kipindi cha pili tayayari wana goli mbili wanawaacha mcheze tu mjichosheJana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.
Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.
Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).
Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
Hesabu zinakupiga chenga?Kama Mediama akiwa kibonde kwa Yanga kwanini asiwe kibonde kwa waarabu?
Kwamba waarabu hawawezi kuchukua pointi sita kwa Mediama?
Uto mmeanza kuchanganyikiwa tayari.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tulikubaliana Yanga anabeki Bora! Hawafungiki kirahisi.... Sasa haya maneno uliyotuandikia umeyatoa wapi?Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.
Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.
Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).
Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
Na bado [emoji28]Al Ahly toka enzi za akina Zamoyoni Mogela ni kipigo tu kila wakitua Tanzania! Miquisone aliwanyuka Mkapa mpaka wakamnunua bila kutaka! Juzi wamekuja hapa hawakuambulia chochote na tukaenda kwao bado mambo yakawa yale yale. Nyinyi mtaweza hiyo rekodi! Mpaka muutoe ‘mwiko nyuma’ labda!
Mkuu sio kweli Simba na Al Ahly wanalingana kitakwimu kwenye mechi nane walizo kutana.Miaka yote Makolokolo SC ni kibonde wa Al Ahly ndiyomaana hufanywa ngazi ya mafanikio ilihali Mbumbumbu SC hubaki kufeli pale pale Mwakarobo [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Al ahly unawaonaje mkuu , au unahiji ni dodoma jiji hao?Hesabu zinakupiga chenga?
Fanya timu zote tatu zitamfunga Medeama nje ndani ina maana watajipatia point 6 kila timu. Kisha hizi tatu zitakutana wenyewe kwa wenyewe mechi mbili mbili hivyo ni lazima wagawane point tu.
Yanga safari yake ya kufuzu lazima aanze kwanza kwa kumfunga Al Ahly hapa taifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni wa kuonewa huruma kabisaaKama Mediama akiwa kibonde kwa Yanga kwanini asiwe kibonde kwa waarabu?
Kwamba waarabu hawawezi kuchukua pointi sita kwa Mediama?
Uto mmeanza kuchanganyikiwa tayari.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo Al Ahly na Belouzdad wao hawawezi kuchukua point 6 kwa Mediama, Unawaza Yanga tu wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Ikifika siku wataelewa manake walikuwa wanasema mpinzani wao kwenye kundi ni Al ahly tu huyu mwingine sijawahi kumsikia wakimtaja ila Jana wamemjua 😂😂😂Mtapita....kumbe Madeama ni kibonde?
Wanataka kutembelea upepo wa Simba jinsi anvyomnyanyasa Alhly wanadhani na wao itakua nyepesi..Ikifika siku wataelewa manake walikuwa wanasema mpinzani wao kwenye kundi ni Al ahly tu huyu mwingine sijawahi kumsikia wakimtaja ila Jana wamemjua 😂😂😂