Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

Yanga inabid mechi za nyumbani zote ashinde.
 
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.

Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.

Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).

Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
CRB ana misimu minne mfululizo anaingia quaterfinal vipi utaweza kumchomoa Al Ahly mkapenya quarters na CRB ?
 
Hiyo Al Ahly wangeomba kwa CAF ibadilishwe icheze na Simba maana Simba ndiyo wanawamudu Al Ahly ndani nje. Kwa Yanga ni kinyume, itakuwa mvua ya magoli ndani nje!
Kifupi tu niseme ‘asanteni utopolo kwa kushiriki’ CAF 2023/24
Miaka yote Makolokolo SC ni kibonde wa Al Ahly ndiyomaana hufanywa ngazi ya mafanikio ilihali Mbumbumbu SC hubaki kufeli pale pale Mwakarobo [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Al Ahly toka enzi za akina Zamoyoni Mogela ni kipigo tu kila wakitua Tanzania! Miquisone aliwanyuka Mkapa mpaka wakamnunua bila kutaka! Juzi wamekuja hapa hawakuambulia chochote na tukaenda kwao bado mambo yakawa yale yale. Nyinyi mtaweza hiyo rekodi! Mpaka muutoe ‘mwiko nyuma’ labda!
 
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.

Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.

Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).

Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
yanga wanaweza kupita lakini anatakiwa abadilike katika CL kumiliki mpira sio sifa hasa ugenini utaumia tu kama jana jamaa wanawatamanisha muone mmewashika wakija wao imo.. jana yanga angecheza kwa tahadhari kadri dakika zinavyozidi waarabu wangeaanza kutoka nyuma na wao wangepata nafasi nzuri za kupata mabao lakini walivyoona kipindi cha pili tayayari wana goli mbili wanawaacha mcheze tu mjichoshe
 
Kama Mediama akiwa kibonde kwa Yanga kwanini asiwe kibonde kwa waarabu?

Kwamba waarabu hawawezi kuchukua pointi sita kwa Mediama?

Uto mmeanza kuchanganyikiwa tayari.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hesabu zinakupiga chenga?
Fanya timu zote tatu zitamfunga Medeama nje ndani ina maana watajipatia point 6 kila timu. Kisha hizi tatu zitakutana wenyewe kwa wenyewe mechi mbili mbili hivyo ni lazima wagawane point tu.
Yanga safari yake ya kufuzu lazima aanze kwanza kwa kumfunga Al Ahly hapa taifa
 
Katika mechi mbili za mwisho za CAFCL hatua ya makundi, Yanga amefungwa jumla ya magoli 9-0.

Yanga hawezi kuambulia point hata moja dhidi ya Al Ahly wala CR Belouizdad ndani na nje. Tulisema mzimu wa Mayele utawaandama mkabisha.
 
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.

Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.

Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).

Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
Tulikubaliana Yanga anabeki Bora! Hawafungiki kirahisi.... Sasa haya maneno uliyotuandikia umeyatoa wapi?
 
Al Ahly toka enzi za akina Zamoyoni Mogela ni kipigo tu kila wakitua Tanzania! Miquisone aliwanyuka Mkapa mpaka wakamnunua bila kutaka! Juzi wamekuja hapa hawakuambulia chochote na tukaenda kwao bado mambo yakawa yale yale. Nyinyi mtaweza hiyo rekodi! Mpaka muutoe ‘mwiko nyuma’ labda!
Na bado [emoji28]
JamiiForums-31645776.jpg
JamiiForums-312072181.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Utopolo kama kweli walikua na uhitaji wa kusonga mbele game ya jana ilikua ya kuforce sale itoshe kusema kwenye hili kindi utopolo atakua mtu wa 3
 
Hizo bla bla hazisaidii. Ukweli unabaki pale pale kwamba Utopolo kafungwa magoli 3. Mpira wa sayansi unachezwa ndani ya uwanja. Hizi porojo za nje ya uwanja hazisaidii
 
Hesabu zinakupiga chenga?
Fanya timu zote tatu zitamfunga Medeama nje ndani ina maana watajipatia point 6 kila timu. Kisha hizi tatu zitakutana wenyewe kwa wenyewe mechi mbili mbili hivyo ni lazima wagawane point tu.
Yanga safari yake ya kufuzu lazima aanze kwanza kwa kumfunga Al Ahly hapa taifa
Al ahly unawaonaje mkuu , au unahiji ni dodoma jiji hao?
 
Kwamba unahisi cR belouzidad akija unamfunga?

Umeanza na maneno timu ya wazee tusingemfunga CR watu tunakaza dhidi ya al ahly unaongelea upumbavu wa CR 😁😁😁😁

Nasubiri sare ya medeama taifa ndio safari itaishia hapo
 
Ikifika siku wataelewa manake walikuwa wanasema mpinzani wao kwenye kundi ni Al ahly tu huyu mwingine sijawahi kumsikia wakimtaja ila Jana wamemjua 😂😂😂
Wanataka kutembelea upepo wa Simba jinsi anvyomnyanyasa Alhly wanadhani na wao itakua nyepesi..
 
Back
Top Bottom