Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

Kitu msichokijua kuhusu Yanga anaweza pata matokeo hata huko Misri. Msituchukulie poa kisa tumebomolewa tatu Algeria.
 
Kati ya al ahly na belouzidad ipi team bora mkuu mbona unataka kuharibu mada.
 
Hahahaaa!Hata mi nashangaa.
 
Nivizuri kuweka akiba ya maneno..

Mpira una matokeo ya ajabu sana...

Yanga anaweza kuwa wa mwisho hadi mwisho, au anaweza kuwa wa kwanza.
Nashangaa watu mnavyosoma kwa mihemko, hakuna sehemu niliyosema kuwa Yanga atashinda dhidi ya Al Ahly au Medeama. Bali nimesema fixture ya Yanga imekaa vizuri
Asante sana. hapo ajipimie mwenyewe akili yake ilivyo.
 
Una hesabu nzuri, lakini haizuii yanga kupita
 
🀣🀣🀣 kwani lina akili sasa hilo li utopwingoo
 
Kumfunga Al Ahly sio jambo rahisi sana ila kupata droo mbili au tushinde moja na nyingine tufungwe its possible.

Tukiweza kumfunga Al Ahly, ni kweli mkuu tutakuwa tumepasua hatua ya makundi, mfupa mgumu waanzia hapa.
 
Goli la kwanza Baka aliupiga mpira akamiss ulivyompita ukamkuta jamaa akamaliza, la pili ulimpita YAO ila mpigaji akawa mbele ya Baka, akashoonya mguu ila mguu ukawa mfupi[emoji23]. Kiufupi overall performance Baka alicheza vizuri ila ndiye huyo huyo aliyechomesha pia.
 
Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana
Msimu uliopita ni tatu kati ya timu nne za pot 3 zilifuzu robo fainali.
Pot 3 ilikuwa na Simba, Belouizdad, Kabylie na Al hilal na ni Al Hilal pekee ndiye aliyeshindwa kufuzu.

Msimu wa 2021/2022
Timu tatu tena kati ya nne za pot 3 zilifuzu robo fainali. Pot 3 ilikuwa na Setif, Petro luanda, Al Hilal, Belouizdad. Ni Al Hilal ndiye hakufuzu.
Msimu wa 2020/2021 timu mbili zilifuzu, Simba na Mc Alger.
Pot 3 ilikuwa na Al hilal, Simba, Petro luanda na Mc Alger
 
HAkuna goli ambalo lingepungua mkuu nature ya magoli umeiona?
 
HAkuna goli ambalo lingepungua mkuu nature ya magoli umeiona?
Goli kipa ni zaidi ya kudaka, kuwakumbusha mabeki wako mara kwa mara nini wanapaswa kufanya. Diarra huwa anafokea hadi wenzie kwa kufanya uzembe uzembe hilo huwa inasaidia sana. Magoli angeweza kufungwa ila jitihada angefanya.
 
Muda ni mwalimu mzuri sana mchambuzi wa Simbatano. Unalolote la kuongezea ndugu chaMBUZI?
 
Msimu huu katika Pot 3, ni Al Hilal peke yake ndio hajafuzu ila timu zote tatu zimefuzu robo fainali. Timu za Pot 3 zinakuwa na nafasi kubwa ya kufuzu kutokana na fixture ilivyo
 
Sijui unajisikia je hapo ulipo
 
Kwamba unahisi cR belouzidad akija unamfunga?

Umeanza na maneno timu ya wazee tusingemfunga CR watu tunakaza dhidi ya al ahly unaongelea upumbavu wa CR 😁😁😁😁

Nasubiri sare ya medeama taifa ndio safari itaishia hapo
πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…