Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya Africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
 
Kama wanasiasa ndani ya chama tawala wana akili, basi watamshauri kwa busara Mwenyekiti kukimbia dharau za aina hii. Maana hapo huhitaji kuwa na akili nyingi kugundua Wazungu wameamua kuyapuuza hayo mashtaka ya mchongo.
 
Jinai huwa haingalii pesa wala vyeo..
Watuhumiwa weng wa uhaini si omba omba bali ni watu waliojificha kwenye umaarufu wa kiuchumi au kisiasa au kijamii..
 
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
Acha ujinga. Unaitia aibu familia yako.
 
Hao ndo waratibu wakubwa makosa makubwa kama uhaini, ugaidi, mapinduzi au uhujumu uchumi na si manchinga wala mama ntilie..
Hyo ndo gharama yake, si mnamuita mandela wenu.. Tutaona umandela wake..
Linapokuja swala amani hakuna mjadala wala kuoneana aibu.
 
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
Makamu
 
Jinai huwa haingalii pesa wala vyeo..
Watuhumiwa weng wa uhaini si omba omba bali ni watu waliojificha kwenye umaarufu wa kiuchumi au kisiasa au kijamii..
jinai gani aliyofanya lissu sasa? waiba kura na wauwaji wa raia sio wafanya jinai
 
Siyo kazi ya mitandao kujua jinai yako..ndyo maana yupo mahakamani athibitishe kuwa si mhaini na jamhuri ithibitishe kuwa ni mhaini..
SI MNATAKA UTAWALA WA SHERIA AU MNATAKA MATAMKO?
 
Back
Top Bottom