Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya Africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini

Siyo kazi ya mitandao kujua jinai yako..ndyo maana yupo mahakamani athibitishe kuwa si mhaini na jamhuri ithibitishe kuwa ni mhaini..
SI MNATAKA UTAWALA WA SHERIA AU MNATAKA MATAMKO?
hivi unajua unacho kiongea siume muita lissu mfanya jinai mbona unaruka ruka nimekuuliza nitajie jinai uliyoisema ?
 
mpaka sasa hutakiwi kumuita lissu mfanya jinai, pia tuache ushabiki yeye amehamasisha mabadiliko ya kiuchaguzi hii sio jinai kama unaakili timamu utanielewa
 
dah! so kibarua kamuweka fundi wake ndani.
 
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
Sisi wananchi pia tunamuita muhaini.
hivi unajua unacho kiongea siume muita lissu mfanya jinai mbona unaruka ruka nimekuuliza nitajie jinai uliyoisema ?
Wananchi pia tunsmuita muhaini
 
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
Sasa na wewe unasema nini hapa ? hata kama angekuwa Mwenyekiti wa vyama vya Jahanam na Peponi , kama ha adabu lazima azingatiwe !
 
Tatizo awamu ya sita inaongozwa na lishamba la mchambawima ndiyo maana linabambikiza watu KESI za kijinga
 
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
Duuu nimecheka kinyama. Nawaonea huruma IIGP na Miuliro.Wa Dada wa Uganda karibuni Tanzania.
 
kwahiyo kukinukiaha ni nijani ya yapi ? unauelewa mdogo sana wa kielimu
Unajua kupiga kura na kupgiwa kura ni haki ya kila mtu na ipo kwenye katiba?
Unajua nini kuhusu kumzuia mtu haki yake ya kikatiba kupga kura?
 
Yani mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa kanda ya africa na duniani ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini hebu Samia awe na haibu .

Lissu hivi sasa ni mwenyekiti wa umoja wa vyama vya siasa akiwakilisha kanda ya Africa, umoja huu siuna jumuisha hadi chama cha CCM inamaana yeye ndio serikali ya mama Samia inamuita muhaini ?

Vipi kama asingepewa hii kesi ya uhaini yeye hivi leo angekuwa mwenyekiti wa umoja huo ? inamaana kesi za mchongo zinampaisha kimataifa.
SIYO "umoja wa vyama vya siasa" bali ni vyama vya mrengo wa kulia.
Mfano ni Conservative huko UK na Canada
Likud huko Israel
Republican huko USA
Hawa ni mabeberu wa kupindukia
 
Hapa Afrika ni njaa tu itatufanya tuungane nao. UFADHI na tiketi za bure
 
SIYO "umoja wa vyama vya siasa" bali ni vyama vya mrengo wa kulia.
Mfano ni Conservative huko UK na Canada
Likud huko Israel
Republican huko USA
Hawa ni mabeberu wa kupindukia
sio umoja wa vyama vya siasa? na unadai ni umoja wa "vyama" vya mrengo wa kulia hizi ni akili za wapi

Unajua umoja huo ni wa vyama vya siasa vya kidemokrasia kama vile ccm, chadema, act n.k unaposikia umoja wa vyama vya siasa wa kidemokrasia unaelewaje kwa haraka haraka na vinajumuisha nini ?

inamaanisha "ni umoja wa vyama vya siasa vya tawala za kiserikali za kidemokrasia za kiuchaguzi" sijui unanielewa ?
 
Back
Top Bottom