Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Jomba huo ni mtazamo wako kuna wana hawawazi hata uliyoyaandika kabisa na wanakwambia wazi tu nini mitazamo yao.
 
Mahakama ya mafisadi na viwanda viko wapi?
Tatizo lenu ni km watoto vile...
Yaani MPAKA muda huu huna HABARI kuwa mahakama hiyo ipo na inaendelea kusikiliza mashauri na kutoa hukumu?!!!
Rejea ile hukumu ya ZAIDI ya miaka 300 kwa wale wafanyakazi wawili wa ICD waliosabibishia serikali hasara ya ZAIDI ya bilioni 12.
Mashauri na hukumu mbona nyingi TU KALAGHABAHO.
Karibu hapa nalamba ile FARU JOHN ya mheshimiwa mwenyekiti😂😂😂
 
Katika watu mavi kichwani ni wewe kweli elimu haimsaidii mtu
Mkulungwa mbona povu na Argumentum Ad hominem...nilitegemea utanichallenge wa hoja badala yake umetamalaki kivioja...
Wizara ya mifugo imeanzisha kampeni tuwe tunakunywa maziwa tusisimue neva BONGONI,tatizo lenu ni kulamba Sana ile kitu FARU JOHN kwi kwi kwi kwi
 
basi iyo mahakama ina adhibu watu too selective kangi lugola mkuu wa zimamoto wao vipi mkuu?
 
basi iyo mahakama ina adhibu watu too selective kangi lugola mkuu wa zimamoto wao vipi mkuu?
Tatizo lenu mko selective mno...mnapendekeza nyinyi majina ya watuhumiwa HALAFU mnakuwa mahakimu....
Kuna tatizo KIDOGO kwa baadhi ya VIJANA wa taifa HILI...
 

kwan KUB akifanya vizuri si na yeye atatukuzwa? sasa kwann unalazimisha watu waache mahaba yao? mbna 2015 mlipata mapenzi yote ya watanzania mkaharibu wenyewe,
 
H
Ni hatari kuzungumza ukweli awamu hii ya kidikteta.
CDM walishawahi kumuita JK dikteta...naye akajibu hivi "kweli mm jakaya dikteta,wanawajua madikteta jamani..."
Longolongo zenu acheni jama
 
Watu wanaogopa. Ni kunguru wanakimbiza mbawa zao ni kama darasa linalomuogopa mwalimu lakini wanamtii. Akisema sawasawa wanaitika ndiyooo. Siku ya kuwaaga wanafunzi ndipo mwalimu anapigwa butwaa. Kumbe! Gizani watu haohao ni wengine kabisa tofauti na wakiwa kwenye mwanga
 
Kuzika usiku wa manane ni snema mlizotengeneza nyinyi na tunawajua.
takwimu ni namba wala hazisaidii kupunguza corona kikubwa ni kuwa na tahadhari.corona haikuletwa na serikali.
Pambana na hali yako.
Ni kweli kabisa namba hazipunguzi. Tungesema wazi zaidi. Je, dunia inakosea kwenda na namba? Kwa nini?
Na sisi tumo humo, kutaja namba za wenzetu, Kenya, Brazi, Marekani wamefika idadi kadhaa. Hiyo ni sawa!
 
Ni kweli kabisa namba hazipunguzi. Tungesema wazi zaidi. Je, dunia inakosea kwenda na namba? Kwa nini?
Na sisi tumo humo, kutaja namba za wenzetu, Kenya, Brazi, Marekani wamefika idadi kadhaa. Hiyo ni sawa!
wenzenu nao wataacha kutoa namba soon.sio kila jambo ni la kuiga eti kisa kafanya U.S ama ulaya.
 

Haki ya MAMA, hebu nitajie ZURI angalau MOJA TU!
 
Magu amewafanya watu kuwa wanafiki wakubwa.
 
Haki ya MAMA, hebu nitajie ZURI angalau MOJA TU!
Ni vigumu kutaja jambo zuri lililofanywa na jiwe bila kujikuta kunakuwa na upande mwingine mbaya. Ndege za jiwe hadi sasa zinaleta hasara tupu na haisemwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…