Uchaguzi 2020 Yawezekana kampeni za Lissu zikawa za kipekee kwenye ulimwengu wa vyama vingi duniani

Naombeni kura wanangu...!View attachment 1585912
Yote 9 kumi ni hicho kiatu
Screenshot_20200930-205701_1601488645047.jpeg
 
unajua lowasa na lissu nan ana ushawishi mkubwa hii nchi?
Mimi sijazungumzia ushawishi kama.ni ushawishi huyo MAGUFULI ndo hana kabisaa ndo mana anajaza wasanii majukwaani.
Nimesema Lisu siyo lowasa so unawez ukawalinganisha ama kuwatofautisha kadiri utakavyoona inafaa
 
Hahahaha Ndio Mabango Hayana Umuhimu Ila Tarehe 28/10 mtatamani kama mngekuwa na Mabango Subilini kama hamjaja na kaunza kulalamika Humu Humu Hamkawiii
Mkuu usiishi kwa mazoea,hata kama tume niya ccm mapenzi ya Mungu hayajawahi kuzuiwa na mwanadamu awaye yeyote yule
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.

Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.

Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.

Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.

Aluta continua!!!!!

CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
*KAMPUNI YA AMSTERDAM & PARTNERS YAMUELEKEZA TUNDU LISSU NJIA ZA KUVURUGA AMANI NCHINI*

Kampuni hiyo inamilikiwa na Robert Amsterdam; Raia wa Canada mwenye Ofisi Marekani na Uingereza.

Barua hiyo imeanza kwa kueleza mafanikio katika harakati za mabeberu mitandaoni. Hii inawapa matumaini kwamba mitandao inaweza kuharibu amani ya Tanzania kama ilivyofanya huko Tunisia, Misri, Libya, Syria n.k

Hata hivyo, kutokana na ripoti ya Lissu aliyoipeleka kwenye kampuni hiyo, imesababisha ashauriwe yafuatayo:

- Kuandaa mpango wa kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi kati ya Oktoba 21-23.

- Kutambua maeneo yaliyohamasika na kuunda kikosi kazi kitakachomsaidia Bw. Jeffrey Smith kuandaa maandamano makubwa katika maeneo hayo.

- Kuandaa maandamano makubwa huko Zanzibar kama walivyokubaliana kwenye mkutano uliofanyika Septemba 14 huko Nairobi kati ya Tundu Lissu na mwakilishi wa Maalim Seif.

- Kuwaandaa kisaikolojia wapiga kura ili waweze kuwa tayari kufanya maandamano wakati wowote.

- Kutoa msukumo wa mara kwa mara kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ikubaliane na matakwa ya CHADEMA.

- Kuimarisha utoaji wa taarifa za uongo katika mikutano ya kampeni.

Aidha, barua inaeleza kwamba kampuni hiyo imeweka kambi mjini Nairobi ambapo wanasubiria kuingia kinyemela huko Bububu, Zanzibar huku ikifanya kazi na mratibu aliyopo Dar es Salaam ambaye atafanya kazi na Jeffrey Smith wa taasisi ya Vanguard Africa ndani ya siku 20 kabla ya uchaguzi.
 
Kama kweli TRA wanachukua kodi, basi kwa mabango ya ccm pekee inatosha kukusanya fedha za bajet ya mwaka mmoja wa serikali.

Sema leo ukiomba hata risit ya hayo mambo utaishiwa kuitwa mchochezi.

Hii nchi tumejaza watu malofa sana.
Hawa kijani wamechafua nchi nzima kwa mabango yao lakini habari ya mjini na vijijini ni Lissu tu.
 
*KAMPUNI YA AMSTERDAM & PARTNERS YAMUELEKEZA TUNDU LISSU NJIA ZA KUVURUGA AMANI NCHINI*

Kampuni hiyo inamilikiwa na Robert Amsterdam; Raia wa Canada mwenye Ofisi Marekani na Uingereza.

Barua hiyo imeanza kwa kueleza mafanikio katika harakati za mabeberu mitandaoni. Hii inawapa matumaini kwamba mitandao inaweza kuharibu amani ya Tanzania kama ilivyofanya huko Tunisia, Misri, Libya, Syria n.k

Hata hivyo, kutokana na ripoti ya Lissu aliyoipeleka kwenye kampuni hiyo, imesababisha ashauriwe yafuatayo:

- Kuandaa mpango wa kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi kati ya Oktoba 21-23.

- Kutambua maeneo yaliyohamasika na kuunda kikosi kazi kitakachomsaidia Bw. Jeffrey Smith kuandaa maandamano makubwa katika maeneo hayo.

- Kuandaa maandamano makubwa huko Zanzibar kama walivyokubaliana kwenye mkutano uliofanyika Septemba 14 huko Nairobi kati ya Tundu Lissu na mwakilishi wa Maalim Seif.

- Kuwaandaa kisaikolojia wapiga kura ili waweze kuwa tayari kufanya maandamano wakati wowote.

- Kutoa msukumo wa mara kwa mara kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ikubaliane na matakwa ya CHADEMA.

- Kuimarisha utoaji wa taarifa za uongo katika mikutano ya kampeni.

Aidha, barua inaeleza kwamba kampuni hiyo imeweka kambi mjini Nairobi ambapo wanasubiria kuingia kinyemela huko Bububu, Zanzibar huku ikifanya kazi na mratibu aliyopo Dar es Salaam ambaye atafanya kazi na Jeffrey Smith wa taasisi ya Vanguard Africa ndani ya siku 20 kabla ya uchaguzi.
Jamani tumejua, hatudanganyiki.
Watanzania tuliishinda Korona kwa Maombi na hili tutalisambaratisha kw Maombi, tena linaweza likawafuta waratibu wa Machafuko. Mungu yupo Pamoja na Watanzania hatotuacha.
 
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.

Kwa taarifa yake huyo mpuuzi aliyetoa kauli hiyo ya kidwanzi, ataanza kufa yeye na Chadema ataiacha ikizidi kustawi.
 
Kawadaganye wajnger wezako huko
 
Jamani tumejua, hatudanganyiki.
Watanzania tuliishinda Korona kwa Maombi na hili tutalisambaratisha kw Maombi, tena linaweza likawafuta waratibu wa Machafuko. Mungu yupo Pamoja na Watanzania hatotuacha.
Umesahau hata kubadili ID!!
Screenshot_20200930-213356_1601490902974.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20200930-213356.jpeg
    Screenshot_20200930-213356.jpeg
    30.1 KB · Views: 1
Mimi sijazungumzia ushawishi kama.ni ushawishi huyo MAGUFULI ndo hana kabisaa ndo mana anajaza wasanii majukwaani.
Nimesema Lisu siyo lowasa so unawez ukawalinganisha ama kuwatofautisha kadiri utakavyoona inafaa

1601491387998.png

hapo je? nakwambia huu mwaka mkitoka na 12% , mfanye ibada zote
 
Mimi nasubiri uchaguzi uishe nikalangue ayo mabango nikatumie kama matundubali. Naanzisha kampuni ya kukodisha mahema. Nimeshapata dawa ya kuyafuta na kuyafanya matundubali.
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.

Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.

Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.

Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.

Aluta continua!!!!!

CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Delete ccm Oct 28
 
Lissu ataustaajabisha ulimwengu tusubiri mtaona.
 
Back
Top Bottom