Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Yote 9 kumi ni hicho kiatuNaombeni kura wanangu...!View attachment 1585912
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote 9 kumi ni hicho kiatuNaombeni kura wanangu...!View attachment 1585912
Mimi sijazungumzia ushawishi kama.ni ushawishi huyo MAGUFULI ndo hana kabisaa ndo mana anajaza wasanii majukwaani.unajua lowasa na lissu nan ana ushawishi mkubwa hii nchi?
Halafu wamesahau kuwa mabango hayapigi kura😄Upande ule wa kijani wamejaza mabango nchi nzima,imepoteza mpaka radha ya kuitwa mabango yamekuwa ni takataka.
Kiatu cha uchumi wa katiYote 9 kumi ni hicho kiatuView attachment 1586024
Mkuu usiishi kwa mazoea,hata kama tume niya ccm mapenzi ya Mungu hayajawahi kuzuiwa na mwanadamu awaye yeyote yuleHahahaha Ndio Mabango Hayana Umuhimu Ila Tarehe 28/10 mtatamani kama mngekuwa na Mabango Subilini kama hamjaja na kaunza kulalamika Humu Humu Hamkawiii
*KAMPUNI YA AMSTERDAM & PARTNERS YAMUELEKEZA TUNDU LISSU NJIA ZA KUVURUGA AMANI NCHINI*Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Hawa kijani wamechafua nchi nzima kwa mabango yao lakini habari ya mjini na vijijini ni Lissu tu.
Jamani tumejua, hatudanganyiki.*KAMPUNI YA AMSTERDAM & PARTNERS YAMUELEKEZA TUNDU LISSU NJIA ZA KUVURUGA AMANI NCHINI*
Kampuni hiyo inamilikiwa na Robert Amsterdam; Raia wa Canada mwenye Ofisi Marekani na Uingereza.
Barua hiyo imeanza kwa kueleza mafanikio katika harakati za mabeberu mitandaoni. Hii inawapa matumaini kwamba mitandao inaweza kuharibu amani ya Tanzania kama ilivyofanya huko Tunisia, Misri, Libya, Syria n.k
Hata hivyo, kutokana na ripoti ya Lissu aliyoipeleka kwenye kampuni hiyo, imesababisha ashauriwe yafuatayo:
- Kuandaa mpango wa kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi kati ya Oktoba 21-23.
- Kutambua maeneo yaliyohamasika na kuunda kikosi kazi kitakachomsaidia Bw. Jeffrey Smith kuandaa maandamano makubwa katika maeneo hayo.
- Kuandaa maandamano makubwa huko Zanzibar kama walivyokubaliana kwenye mkutano uliofanyika Septemba 14 huko Nairobi kati ya Tundu Lissu na mwakilishi wa Maalim Seif.
- Kuwaandaa kisaikolojia wapiga kura ili waweze kuwa tayari kufanya maandamano wakati wowote.
- Kutoa msukumo wa mara kwa mara kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ikubaliane na matakwa ya CHADEMA.
- Kuimarisha utoaji wa taarifa za uongo katika mikutano ya kampeni.
Aidha, barua inaeleza kwamba kampuni hiyo imeweka kambi mjini Nairobi ambapo wanasubiria kuingia kinyemela huko Bububu, Zanzibar huku ikifanya kazi na mratibu aliyopo Dar es Salaam ambaye atafanya kazi na Jeffrey Smith wa taasisi ya Vanguard Africa ndani ya siku 20 kabla ya uchaguzi.
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.*KAMPUNI YA AMSTERDAM & PARTNERS YAMUELEKEZA TUNDU LISSU NJIA ZA KUVURUGA AMANI NCHINI*
Kampuni hiyo inamilikiwa na Robert Amsterdam; Raia wa Canada mwenye Ofisi Marekani na Uingereza.
Barua hiyo imeanza kwa kueleza mafanikio katika harakati za mabeberu mitandaoni. Hii inawapa matumaini kwamba mitandao inaweza kuharibu amani ya Tanzania kama ilivyofanya huko Tunisia, Misri, Libya, Syria n.k
Hata hivyo, kutokana na ripoti ya Lissu aliyoipeleka kwenye kampuni hiyo, imesababisha ashauriwe yafuatayo:
- Kuandaa mpango wa kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi kati ya Oktoba 21-23.
- Kutambua maeneo yaliyohamasika na kuunda kikosi kazi kitakachomsaidia Bw. Jeffrey Smith kuandaa maandamano makubwa katika maeneo hayo.
- Kuandaa maandamano makubwa huko Zanzibar kama walivyokubaliana kwenye mkutano uliofanyika Septemba 14 huko Nairobi kati ya Tundu Lissu na mwakilishi wa Maalim Seif.
- Kuwaandaa kisaikolojia wapiga kura ili waweze kuwa tayari kufanya maandamano wakati wowote.
- Kutoa msukumo wa mara kwa mara kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ikubaliane na matakwa ya CHADEMA.
- Kuimarisha utoaji wa taarifa za uongo katika mikutano ya kampeni.
Aidha, barua inaeleza kwamba kampuni hiyo imeweka kambi mjini Nairobi ambapo wanasubiria kuingia kinyemela huko Bububu, Zanzibar huku ikifanya kazi na mratibu aliyopo Dar es Salaam ambaye atafanya kazi na Jeffrey Smith wa taasisi ya Vanguard Africa ndani ya siku 20 kabla ya uchaguzi.
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.Jamani tumejua, hatudanganyiki.
Watanzania tuliishinda Korona kwa Maombi na hili tutalisambaratisha kw Maombi, tena linaweza likawafuta waratibu wa Machafuko. Mungu yupo Pamoja na Watanzania hatotuacha.
Kawadaganye wajnger wezako huko*KAMPUNI YA AMSTERDAM & PARTNERS YAMUELEKEZA TUNDU LISSU NJIA ZA KUVURUGA AMANI NCHINI*
Kampuni hiyo inamilikiwa na Robert Amsterdam; Raia wa Canada mwenye Ofisi Marekani na Uingereza.
Barua hiyo imeanza kwa kueleza mafanikio katika harakati za mabeberu mitandaoni. Hii inawapa matumaini kwamba mitandao inaweza kuharibu amani ya Tanzania kama ilivyofanya huko Tunisia, Misri, Libya, Syria n.k
Hata hivyo, kutokana na ripoti ya Lissu aliyoipeleka kwenye kampuni hiyo, imesababisha ashauriwe yafuatayo:
- Kuandaa mpango wa kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi kati ya Oktoba 21-23.
- Kutambua maeneo yaliyohamasika na kuunda kikosi kazi kitakachomsaidia Bw. Jeffrey Smith kuandaa maandamano makubwa katika maeneo hayo.
- Kuandaa maandamano makubwa huko Zanzibar kama walivyokubaliana kwenye mkutano uliofanyika Septemba 14 huko Nairobi kati ya Tundu Lissu na mwakilishi wa Maalim Seif.
- Kuwaandaa kisaikolojia wapiga kura ili waweze kuwa tayari kufanya maandamano wakati wowote.
- Kutoa msukumo wa mara kwa mara kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ikubaliane na matakwa ya CHADEMA.
- Kuimarisha utoaji wa taarifa za uongo katika mikutano ya kampeni.
Aidha, barua inaeleza kwamba kampuni hiyo imeweka kambi mjini Nairobi ambapo wanasubiria kuingia kinyemela huko Bububu, Zanzibar huku ikifanya kazi na mratibu aliyopo Dar es Salaam ambaye atafanya kazi na Jeffrey Smith wa taasisi ya Vanguard Africa ndani ya siku 20 kabla ya uchaguzi.
Upande ule wa kijani wamejaza mabango nchi nzima,imepoteza mpaka radha ya kuitwa mabango yamekuwa ni takataka.
Umesahau hata kubadili ID!!Jamani tumejua, hatudanganyiki.
Watanzania tuliishinda Korona kwa Maombi na hili tutalisambaratisha kw Maombi, tena linaweza likawafuta waratibu wa Machafuko. Mungu yupo Pamoja na Watanzania hatotuacha.
Mimi sijazungumzia ushawishi kama.ni ushawishi huyo MAGUFULI ndo hana kabisaa ndo mana anajaza wasanii majukwaani.
Nimesema Lisu siyo lowasa so unawez ukawalinganisha ama kuwatofautisha kadiri utakavyoona inafaa
Delete ccm Oct 28Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Na inaonekana amepewa hapo hapo mkutanoni!Ukimwangaliu huyo jamaa utagundua hana furaha kama amelazimishwa kuja tu kuongeza vichwa, hata tisheti hajafunga vifungo inaonekana kavalishwa tu kwa lazima chap View attachment 1585922
Lissu ataustaajabisha ulimwengu tusubiri mtaona.Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.