Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

Wanaukumbi.

Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻‍♂️
=========================
Yemen iliwaonya walowezi hao kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama na lingelengwa na Wanajeshi wa Yemen, hawakusikiliza

View: https://x.com/suppressednws/status/1870296538016297191?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/suppressednws/status/1870289726118212007?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kumbe bado mnajipa moyo!

Ngoja huyo Myemen akianza kuchakazwa msije kuanza kulalamika.

God bless Netanyahu
God bless Trump
GOD BLESS ISRAEL
 
Hiii ngoma sio poa kweli zayuni atatoboa kwa Myemen kitu kama icho akipo kwaa washaanza kukimbia Israel huuu mwaka sijuu lkn uko twendako Marekani na washilika watajuta kutaka Ardhi kibabe.
waislam weng wavivu kusoma historia na hata wakisoma historia bado wanasoma yale wanayoyapenda wao , Kaisome historia ya Ottoman utagundua wayaudi walikwepo ndan ya ottoman empire na walikuwa mpk nana wawakilishi wao ila leo muislam anamuita kila myaudi ni mmarekani
 
Yale ma iron domo yalikuwa yamesinzia?mwaka huu kuna vitu vimedharirishwa sana (ironed dommo,s-400,na yale ya USA kumbe ni promo tu hayazuii chochote
 
Netanyahu analalamika akidai inaonekana Yemen imedhamilia kuuwa raia w Israel !!!!! Ndio chaguo liliobakia ikiwa yeye kachagua Vita ya kuuwa watu vip anaoji kwenye mitandao. Dawa y moto ni Moto.
 
Magaidi utawajua tu kwa nyuzi zao wanazo zianzisha humu lakini hao magaidi wenzao wakianza kupelekwa akhera kwenda kuonana na wale mabikra 72 wenye macho kama mayai tena hadithi zitabadilika humu.. ngoja tusubiri.
 
Kumbe bado mnajipa moyo!

Ngoja huyo Myemen akianza kuchakazwa msije kuamza kulalamika.

God bless Netanyahu
God bless Trump
GOD BLESS ISRAEL
Kashindwa baba yake US na mjomba wake UK akaweze israel.

Hivi nyie mnawajua Wayemen kweli au mnawasikia tu, hawa tokea wamezaliwa wanatembea na bunduki tu anakupigia mtu anavuta sigara haimgusi anaye vuta inangusha sigara tu.
 
Wanaukumbi.

Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻‍♂️
=========================
Yemen iliwaonya walowezi hao kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama na lingelengwa na Wanajeshi wa Yemen, hawakusikiliza

View: https://x.com/suppressednws/status/1870296538016297191?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/suppressednws/status/1870289726118212007?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ritz:

Hatimaye umeibuka! Lakini usije kimbia tena! Naakuuliza tu Hawa Houth wata achive nini hasa? Je Israel itaondoka Gaza? Israel itaondoka Syria? Tumeposema dungu zako, na waarabu hawana long term, ndio kama hili! Jabza na Hamasa tu....! Sitaki kusema mengi, vuta subira tu! Tena sio ya siku moja! Waarabu wenzio walidanganywa 1948, waondoke Palestina, kwamba Israel itafutwa chini ya jua! Wapo mpaka leo!

Anyway, nilimwambia mwanajamvi mmoja baada ya October7, kuwa baada ya vumbi kutulia Hamasi watakuwa na hata futi moja ya nchi! Sana sana mateka, ambayo watawarudishi pia, bila kuwa na kipande cha ardhi hata futi tatu!

Kwa vuta subira tu! Uone mwisho wa haou Houth! Muda utasema!
 
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1870557011659866615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ugumu wa Kuipiga Yemen ni kuwa iko mbali, logistics za kupeleka ndege huko ni complex kuliko kwenda syria au Lebanon. Halafu hawa Houthi hawana cha kupoteza kivile, nchi yao masikini, hata ulipue jiji zima la Sanaa as long as wana silaha na wao ndo serikali they dont care!
Na silaha zao ziko underground huko chin wala kuzifikia sio kazi rahis
 
Back
Top Bottom