N
Ni BBC hiii tuijuaayo ivi unafaam icho chombo cha propaganda kutokea UK ata ivyo nakumbuka iyo iyo BBC ilipokea lile tukio habari yao ilisema Iran kwaatua kubwa inaonekana imezuiya shambulizi lkn baadae sasa ndio picha picha zikaanza sijui kumepigwa kwenye kile au kile nakuakikishia kama ingepigwa Nuclear site Iran isingechelewa kuichapa Israel ktk maeneo ya Nuclear Iran inajua Site zote za Nuclear za Israel kama pia Israel anajua kwa Iran akuna icho kitu zaid ni propaganda za West tujiulize picha Tuliona Iran aijazuiya vyombo vya habari na tuliona Anga la Iran likizuiya mashambulizi na tuliona anga la Israel likizuiya mashambulizi ya Hamas zaman hezbollah lkn Iran tumeona Live akuna sababu ya kusumbua picha za satellite macho yetu yameona na juzi Yemen tumeona kitu kinatua sasa kwanini uko Iran tusione kwa mfano huo lkn tunaambiwa Subilini picha za satellite !!! Inaonesha upande mmoja umeelemewa kitechnology ndio mana awana uwezo kupiga live kama Iran napinga kauli kusema Iran imepoa ingepoa ujue Yemeni pia ingepoa. Lkn unaona Akili ya Iran kaondosha vita lebanon kaipeleka Yemen Israel ana silaha za kutoka kwake ziende Yemen inabidi atumie ndege izo ndege nazo zishaanza kushushwa we mkuu fikilia ndege chapa F-18 imeshushwa iyo sio F-16 izo F-18 F-22 naamini azina license ya kuuzwa nje. Lkn Yemen imeishusha toka apo marubani wameogapa Anga la Yemen na jana ndio ivyo Telaviv imepigwa tena!!!. Ingekuwa ni lebanon muda huu majengo yanashushwa Beirut lkn sasa mziki umepangwa kiufundi sisi yetu macho.Bbc walitoa ushahidi wa picha za satellite kuongesha kipigo kilivolega rada,kituo cha kuchanganyia nuklia,kiwanda cha makombola na vingine vingi,nilijaribu kukuwekea lkn imegoma ingia BBC Swahili andika ushahidi wa picha za satellite kwa sahmbulio la Israel shidi ya Irani