Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸
Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba,
"Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji wa meli kutoka Bahari ya Shamu hadi Israeli kutokana na kufungwa kwa njia hiyo”
Merom aliendelea kwa kusisitiza kuwa,
Uwepo wa Vizuizi vya Majini vitaathiri uchumi mzima wa Israeli, jambo ambalo litasababisha bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya Israeli zitapanda bei kwa kiasi kikubwa.
Vikundi vya upinzani kutoka mataifa ya Yemeni na Lebanoni vimekuwa vikiziteka meli za wamiliki wa Israeli ambazo zinapita kwenye njia ya bahari Shamu.
Kwa kuwa sehemu kubwa ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Israeli hutegemea malighafi kutoka mataifa ya Mashariki ya mbali,
Uchelewashaji wa bidhaa hizo kuingia nchini Israeli utasababisha upungufu wa bidhaa hizo na mwishowe kupanda kwa bei katika masoko yao ya ndani.
Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika na kupata hasara ya Mabilioni ya dola ni hasara safari inakuwa ndefu Israel anaomba msaada kutoka Nato na Japan pia Iran kasema hataki kuona meli zozote kwenye karibu na eneo lake atazishambulia kwa ajili ya usalama wake.