Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Ametafsri neno la kiingereza ya Red seaBahari ya Shamu sio bahari nyekundu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametafsri neno la kiingereza ya Red seaBahari ya Shamu sio bahari nyekundu.
Basi huyo Dead Sea ataiita Bahari Iliyokufa.Ametafsri neno la kiingereza ya Red sea
Tatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.Wanaukumbi.
ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸
Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba,
"Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji wa meli kutoka Bahari ya Shamu hadi Israeli kutokana na kufungwa kwa njia hiyo”
Merom aliendelea kwa kusisitiza kuwa,
Uwepo wa Vizuizi vya Majini vitaathiri uchumi mzima wa Israeli, jambo ambalo litasababisha bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya Israeli zitapanda bei kwa kiasi kikubwa.
Vikundi vya upinzani kutoka mataifa ya Yemeni na Lebanoni vimekuwa vikiziteka meli za wamiliki wa Israeli ambazo zinapita kwenye njia ya bahari Shamu.
Kwa kuwa sehemu kubwa ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Israeli hutegemea malighafi kutoka mataifa ya Mashariki ya mbali,
Uchelewashaji wa bidhaa hizo kuingia nchini Israeli utasababisha upungufu wa bidhaa hizo na mwishowe kupanda kwa bei katika masoko yao ya ndani.
Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika na kupata hasara ya Mabilioni ya dola ni hasara safari inakuwa ndefu Israel anaomba msaada kutoka Nato na Japan pia Iran kasema hataki kuona meli zozote kwenye karibu na eneo lake atazishambulia kwa ajili ya usalama wake.
Ningetaman sana na Algeria naye awake kizuiz pale giberrta
Tatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.
Nina uhakika akili unazo ila hauzitumii mdiyo maana unaleta nyuzi za ajabu tu humu.
Unavyoshangilia meli kubadilisha route, je umejiuliza ni mapato kiasi gani ambayo Egypt atapoteza kwa Meli zinazopita pale kwenda Israel kutotumia route ile?
UmejIuliza ni asilimia ngapi ya marine trade ya Israel inapita Red sea ukiringanisha na Mediterranian sea?
Biashara kati ya Israel na nchi zinazotegemea kupitisha mizigo kupitia red sea ipoje?
Unaposema wanapata hasara kuzunguka, ni hasara kiasi gani na umeipima vipi?
Au tu Like tu habari yako na kushangilia?
View attachment 2843102
Hapo ni baada ya mahandaki kuanza kujazwa maji, wameona isiwe tabu.
Hao Yemen wanajitia kidole wananusa wanapiga chafya.
Watapigwa siku moja tu walie km mbwa mwitu
Ni suala la muda tu. Hao Houthi ni genge la uhalifu na sio jeshi lenye nguvu, Israrl na Usa haiwezi kuvumilia uhuni huu.Wahouthi wa Yemen walitishia meli zote zinazoelekea Israel, bila kujali utaifa wao, na kuonya kampuni zote za kimataifa za meli dhidi ya kushughulika na bandari za Israeli.
"Ikiwa Gaza haitapokea chakula na dawa inayohitaji, meli zote za Bahari Nyekundu zinazoelekea bandari za Israeli, bila kujali utaifa wao, zitakuwa shabaha ya jeshi letu," msemaji huyo alisema katika taarifa.
Algeria afanye nini? Algeria siyo failed state kwamba ianze tu kushambulia. Kufunga njia Algeria hawawezi sababu wao siyo wamiliki wa MediterranianNaona hili ndio ambalo iran analitafta sasa kutokea algeria
Maana jana mawaziri wa mambo ya nje wa Algiers na Tehran waliteta
Ila niliwaza kama wewe naomba nao jamaa watie pini pale
Wakiwa na huu ujasiri aisee tutatshuhudia magezi makubwa sana kwa Palestine
Ila Algeria hawaaminiki
Siku wakianza Wapalestina wakianza kuwapenda watoto wao na kuwathamani, hapo ndipo kutakuwa na Amani.Unauwa wasio na hatia, huo sio uanaume
The Yemeni Armed Forces emphasize their full commitment to the continuity of global trade movement through the Red Sea and the Arabian Sea for all ships and all countries, except those ships associated with Israel or those that will transport goods" to the occupation entity.Ni suala la muda tu. Hao Houthi ni genge la uhalifu na sio jeshi lenye nguvu, Israrl na Usa haiwezi kuvumilia uhuni huu.
Very soon watanyamazishwa kimya kimya bila kelele ni suala la muda tu
Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Eilat alijadili hasara iliyopatikana na bandari hiyo, akizihusisha na vitisho kutoka Yemen ambavyo vilivuruga takriban 85% ya faida ya bandari.Algeria afanye nini? Algeria siyo failed state kwamba ianze tu kushambulia. Kufunga njia Algeria hawawezi sababu wao siyo wamiliki wa Mediterranian
Sasa sijui kinachowafanya mfikirie ana ubavu wa kupiga pin ni nani?
Unatakiwa uelewe kuwa strate ya Gilbraltar ni International watery na tena afadhali hata Morocco na Spain ndiyo wanamiliki sehemu kubwa katika Mediterranean.
Muwe mnajifunza badala ya kudandia tu kila nyuzi kama vile mnadandia Mdumange
Sasa usiseme wamepata hasara kubwa. Kupata hasara ni tofauti na kupungua kwa faida. Kupungua kwa faida hakuwezi kupelekea mfumuko wa bei wa kiwango hicho.Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Eilat alijadili hasara iliyopatikana na bandari hiyo, akizihusisha na vitisho kutoka Yemen ambavyo vilivuruga takriban 85% ya faida ya bandari.
Walitaka israel iwape airtime iache yanyosha magaidi ya gazaAttention seeking mbaya sana. Bahati nzuri wamepuuzwa
Mwaka wa tatu huu badala ya siku3 zaidi ya vimikoa alivyopora kwa kuvizia mrusi kabaki kubweka ka mbwa kokoHii Israel tunayoiona kwenye makaratasi ikishika nafasi za juu kijeshi?
Lile andiko,anayemtegemea mwanadamu amepotea SI limetokea hapo hapo Israel?
Uikrane aliitegemea NATO,Leo hii anakatwa mbele na nyuma.View attachment 2843089
Watu wenye kibri ndo dawa yaoNaona hili ndio ambalo iran analitafta sasa kutokea algeria
Maana jana mawaziri wa mambo ya nje wa Algiers na Tehran waliteta
Ila niliwaza kama wewe naomba nao jamaa watie pini pale
Wakiwa na huu ujasiri aisee tutatshuhudia magezi makubwa sana kwa Palestine
Ila Algeria hawaaminiki
Gaza wameizunguka pande zote imekuwa kama kisiwa chao. Haina hata kifaru wala ndege vita. Haina hata magari ya kivita zaidi ya vibunduki tu na wanamalengo ya kuwamaliza hamasi kwa miezi zaidi ya sita. Je yemen yenye eneo kubwa mara 50 ya gaza. Yenye vifaru, ndege vita na magari vita hawatatumia zaidi ya miaka 600 kweli?Sasa Israel inamalizana na HAMAS, baada hapo itawageukia hao Yemen. Ila wakianza kutandikwa usije humu kulialia
Kila mtu anapimiwa kwa kiwango chake. Israel ni aibu tu ndio inaifanya iziache nchi za Kiarabu ziendelee kuishi.Gaza wameizunguka pande zote imekuwa kama kisiwa chao. Haina hata kifaru wala ndege vita. Haina hata magari ya kivita zaidi ya vibunduki tu na wanamalengo ya kuwamaliza hamasi kwa miezi zaidi ya sita. Je yemen yenye eneo kubwa mara 50 ya gaza. Yenye vifaru, ndege vita na magari vita hawatatumia zaidi ya miaka 600 kweli?
We mwehu kweli unaelewa hata anaongea nini?
Hao waliokuandikia hapo ni kobazi wenzio uongo mtupu.
Hao Hamas washapukutishwa,hukohuko ndani ya mashimo yao km panya.
IDF wanauwawa sawa, ila wanalialia ni HAMAS! Haya maajabu kweli!