Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika kupata hasara kubwa ya kiuchumi

Tatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.
Nina uhakika akili unazo ila hauzitumii mdiyo maana unaleta nyuzi za ajabu tu humu.
Unavyoshangilia meli kubadilisha route, je umejiuliza ni mapato kiasi gani ambayo Egypt atapoteza kwa Meli zinazopita pale kwenda Israel kutotumia route ile?
UmejIuliza ni asilimia ngapi ya marine trade ya Israel inapita Red sea ukiringanisha na Mediterranian sea?
Biashara kati ya Israel na nchi zinazotegemea kupitisha mizigo kupitia red sea ipoje?
Unaposema wanapata hasara kuzunguka, ni hasara kiasi gani na umeipima vipi?
Au tu Like tu habari yako na kushangilia?


Hapo ni baada ya mahandaki kuanza kujazwa maji, wameona isiwe tabu.
 

Unauwa wasio na hatia, huo sio uanaume
 
Ni suala la muda tu. Hao Houthi ni genge la uhalifu na sio jeshi lenye nguvu, Israrl na Usa haiwezi kuvumilia uhuni huu.
Very soon watanyamazishwa kimya kimya bila kelele ni suala la muda tu
 
Algeria afanye nini? Algeria siyo failed state kwamba ianze tu kushambulia. Kufunga njia Algeria hawawezi sababu wao siyo wamiliki wa Mediterranian
Sasa sijui kinachowafanya mfikirie ana ubavu wa kupiga pin ni nani?
Unatakiwa uelewe kuwa strate ya Gilbraltar ni International watery na tena afadhali hata Morocco na Spain ndiyo wanamiliki sehemu kubwa katika Mediterranean.
Muwe mnajifunza badala ya kudandia tu kila nyuzi kama vile mnadandia Mdumange
 
Unauwa wasio na hatia, huo sio uanaume
Siku wakianza Wapalestina wakianza kuwapenda watoto wao na kuwathamani, hapo ndipo kutakuwa na Amani.
Wenyewe wanaamini wanajifungua na kulea Makombola kwa ajili ya kuiangamiza Israel, hawafikirii kwamba wale ni watoto wanaotakiwa kuishi.
Walikua na muundombinu ya mabomba ya maji mizuri sana, wakaifukua yote ili wapate mabomba kwa ajili ya kutengenezea silaha.
 
Ni suala la muda tu. Hao Houthi ni genge la uhalifu na sio jeshi lenye nguvu, Israrl na Usa haiwezi kuvumilia uhuni huu.
Very soon watanyamazishwa kimya kimya bila kelele ni suala la muda tu
The Yemeni Armed Forces emphasize their full commitment to the continuity of global trade movement through the Red Sea and the Arabian Sea for all ships and all countries, except those ships associated with Israel or those that will transport goods" to the occupation entity.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Eilat alijadili hasara iliyopatikana na bandari hiyo, akizihusisha na vitisho kutoka Yemen ambavyo vilivuruga takriban 85% ya faida ya bandari.


Kubadilisha njia ya urambazaji baharini kutapandisha bei za bidhaa zinazoagizwa kutoka nje kwa wastani wa 3%, jambo ambalo litaongeza mzigo wa kifedha kwa Waisraeli kwa takriban shekeli bilioni kumi na nusu, au takriban dola bilioni 3.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Eilat alijadili hasara iliyopatikana na bandari hiyo, akizihusisha na vitisho kutoka Yemen ambavyo vilivuruga takriban 85% ya faida ya bandari.
Sasa usiseme wamepata hasara kubwa. Kupata hasara ni tofauti na kupungua kwa faida. Kupungua kwa faida hakuwezi kupelekea mfumuko wa bei wa kiwango hicho.
 
Hii Israel tunayoiona kwenye makaratasi ikishika nafasi za juu kijeshi?

Lile andiko,anayemtegemea mwanadamu amepotea SI limetokea hapo hapo Israel?

Uikrane aliitegemea NATO,Leo hii anakatwa mbele na nyuma.View attachment 2843089
Mwaka wa tatu huu badala ya siku3 zaidi ya vimikoa alivyopora kwa kuvizia mrusi kabaki kubweka ka mbwa koko
 
Watu wenye kibri ndo dawa yao

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sasa Israel inamalizana na HAMAS, baada hapo itawageukia hao Yemen. Ila wakianza kutandikwa usije humu kulialia
Gaza wameizunguka pande zote imekuwa kama kisiwa chao. Haina hata kifaru wala ndege vita. Haina hata magari ya kivita zaidi ya vibunduki tu na wanamalengo ya kuwamaliza hamasi kwa miezi zaidi ya sita. Je yemen yenye eneo kubwa mara 50 ya gaza. Yenye vifaru, ndege vita na magari vita hawatatumia zaidi ya miaka 600 kweli?
 
Kila mtu anapimiwa kwa kiwango chake. Israel ni aibu tu ndio inaifanya iziache nchi za Kiarabu ziendelee kuishi.
 
IDF wanauwawa sawa, ila wanalialia ni HAMAS! Haya maajabu kweli!

Wanalia kivipi? Badala wazayuni walie eti hamas walie 😄

Imani hamuna, huruma hamuna, vifo vya watoto, wamama, wazee, vijana ni furaha kwenu 👇👇👇

وَلَا تَحْسَبَنَّ الَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ أَمْوَاتًا ۚ بَلْ أَحْيَاءٌ عِنْدَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
169 Al-'imran(The Family of Imran)
Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.

فَرِحِينَ بِمَا آتَاهُمُ اللَّهُ مِنْ فَضْلِهِ وَيَسْتَبْشِرُونَ بِالَّذِينَ لَمْ يَلْحَقُوا بِهِمْ مِنْ خَلْفِهِمْ أَلَّا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ
170 Al-Imran
Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

يَسْتَبْشِرُونَ بِنِعْمَةٍ مِنَ اللَّهِ وَفَضْلٍ وَأَنَّ اللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجْرَ الْمُؤْمِنِينَ
171 Al-Imran
Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini

الَّذِينَ اسْتَجَابُوا لِلَّهِ وَالرَّسُولِ مِنْ بَعْدِ مَا أَصَابَهُمُ الْقَرْحُ ۚ لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا مِنْهُمْ وَاتَّقَوْا أَجْرٌ عَظِيمٌ
172 Al-Imran
Walio mwitikia Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majaraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu utakuwa ujira mkubwa -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…