DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #21
Ulinunua Kitabu Gani na uliishia Chapter ipi itaje jina na page ya ngapi?Tanzania ina wajinga wengi sana
Hilo jina huwa nasikia ni mwandishi wa vitabu
Nilinunua kitabu chake kimoja niliishia page ya tatu in short ni mweupe sana
Kama baraza la mawaziri Likifitinika Kisheria na Kikatiba maana yake ni kwamba hakuna Serikali tena Rais anaongoza nchi bila muongozo au bila serkaliNisahihi kusema Baraza la mawaziri limefitinika??
Kwamba lina wasaliti wanaoshiriki kutukana taasisi iliyowateua!!
Waziri mkuu anayajua haya? Ameyakalia kimya? Kama sio part of solution je yeye ni part of the problem?
Unataka nchi irudi gizani tena?? Au nawewe ni miongoni mwa lile kundi la wasiojulikana?? Hatuhitaji kuona tena watu wakishambuliwa kwa risasi mchana kweupee bila wahusika kuchukuliwa hatua wala kuhojiwa.Makonda ndiye mtu pekee anayeweza msaidia Samia , ambaye amezungukwa na genge la Msoga ambalo halimtaki kwa Sasa
Samia awarudie kundi la Magufuli na kuachana na Msoga hili kundi la Magufuli ndilo la kumvusha
huyu sijui labda ana hoja lakini uandishi wake hauna taste nzuri,kuna jamaa yangu alinunua kitabu chake niligusa page moja tu nikaishia hapo hapo,hili andiko nimesoma
Baada ya kusema hayo rudi kwenye hojaW
Wewe Chadema huwezi kumtakia Mh Samia ashinde 2025, eti unamtahadharisha kabisa kuwa akiendelea kumuacha Makonda katika uongozi atashindwa uchaguzi. Kwani nyinyi Chadema mnataka Rais ashinde 2025?
Unatumia fursa ya alichosema
Mskonda kutaka kulipa kisasi kwa Rais kunfukuza kazi Makonda?
Jambo la heri kwa Rais Samia haliwezi kutoka mdomoni mwa kada kindakindaki wa Chade.a.
Unachangia mada ipi?Tanzania ina wajinga wengi sana
Hilo jina huwa nasikia ni mwandishi wa vitabu
Nilinunua kitabu chake kimoja niliishia page ya tatu in short ni mweupe sana
Katiba ya nchi hata ikikanyagwa na ccm kama jpm alivyokuwa anaichezea vyovyote anavyojisikia poa tu. Ndivyo unavyotaka kusema?Ccm wana namna yao wanavyoendesha mambo yao,ukitaka kuwaelewa au ukitaka wafanye jambo kama ambavyo utaratibu unaeleweka kwa kila mtu utapoteza muda bure.
Ndani ya CCM unaweza kurupuka tu kama mwehu asubuhi,ukadai rais anataka kupinduliwa na mambo yakaisha hivyo hivyo😁😁,hata police bawawezi kuomba muongozo zaidi wa madai yako,achia mbali kukuhoji.
Kundi la Magufuli litamvusha kwenda wapi? kwani si anamalizia awamu ya tano ya Magufuli kikatiba? au ameigeuza awamu ya 5 kuwa ya awamu 6 muhula wa kwanza. Mshaurini mama aridhike na alichopewa bure na M/Mungu na asiwe na tamaa ya uraisi.Makonda ndiye mtu pekee anayeweza msaidia Samia , ambaye amezungukwa na genge la Msoga ambalo halimtaki kwa Sasa
Samia awarudie kundi la Magufuli na kuachana na Msoga hili kundi la Magufuli ndilo la kumvusha
Watawala wamemweka Makonda makusudi ili wawape kazi Watu kama Yericko Nyerere kukosa muda wa kupanga ya kwao.
Makonda yupo kwaajili Political Drama,
Kwa jamii ya kitanzania na nature ya siasa za upinzani hapa nchini, Makonda ni kete muhimu kuitumia ili kuwapoteza maboya mahasimu wa CCM
Nakubali Makonda ni kete inachezeshwa, lakini je…kete hii inaenda sambamba na ile ya Mange wa New York kumvua nguo Madame President?
Kuna mipaka ikivukwa ujue bendera nyekundu imepeperushwa tayari na wahusika tu ndio wanaiona, kwa sasa.
Hivi ni kweli General Mobeyo alitamka kwa kinywa chake kwamba kuna watu /kundi halikutaka Madame Samia aapishwe? Hadharani msibani?Huyu mdau, Anahoja, Tunahitaji majibu ya kina.
Sifahamu Kama analipwa.Mimi simfuatilii Mañge.
Sijajua nini kapost ambacho Watu wanakipigia kelele.
Kwamba Mange kuna mtu amemlipa?
Sina hakika kama watu watakuelewa. Point kubwa iko hapo..Watawala wamemweka Makonda makusudi ili wawape kazi Watu kama Yericko Nyerere kukosa muda wa kupanga ya kwao.
Makonda yupo kwaajili Political Drama,
Kwa jamii ya kitanzania na nature ya siasa za upinzani hapa nchini, Makonda ni kete muhimu kuitumia ili kuwapoteza maboya mahasimu wa CCM
Sifahamu Kama analipwa.
Umesema kuhusu Makonda kuwa kete muhimu for dramatic reasons, nikahoji kuhusu Mange na kashfa zake chafu juu ya Rais Samia nayo ni kete?
Na Kama sio kete ni nini ama nani mwenye maslahi na anayoyafanya Mange Kama ilivyo kwa Makonda?
SahihiWatawala wamemweka Makonda makusudi ili wawape kazi Watu kama Yericko Nyerere kukosa muda wa kupanga ya kwao.
Makonda yupo kwaajili Political Drama,
Kwa jamii ya kitanzania na nature ya siasa za upinzani hapa nchini, Makonda ni kete muhimu kuitumia ili kuwapoteza maboya mahasimu wa CCM
kuna rais halafu katiba inafuata,kama huamini utaendelea kusema rais anachezea katiba.Katiba ya nchi hata ikikanyagwa na ccm kama jpm alivyokuwa anaichezea vyovyote anavyojisikia poa tu. Ndivyo unavyotaka kusema?
Ruksa kabisa,ndio maana unaona wana mwenyekiti asiye na ukomo wa muda,na hawataki wahojiwe kuhusu hilo.Upinzani nao wanaruhusiwa kuendesha mambo yao hivyo??