Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ahahahaha uko sahihi, mimi nilijua ninpeke yangu nimeona hili. Huyu jamaa anajua vitu vingiiii lakin ana presentation isio na mvuto kabisaaaa. Hata kumsikiliza tu havutii kabisa yani. Nishamfuatiliaga Utube mahojiano mbali mbali kuhsu vita vya Drc na Rwanda ila unakosa kabisa hamu ya kuendelea kumsikiliza.huyu sijui labda ana hoja lakini uandishi wake hauna taste nzuri,kuna jamaa yangu alinunua kitabu chake niligusa page moja tu nikaishia hapo hapo,hili andiko nimesoma mpaka kati,hoja unaiona,ila taste ya uandishi kukuvutia uendelee kusoma hamna.
Arekebishe hili kama inawezekana