Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

Anawajua wateule wake lakini baada ya makonda kumwambia kuna Mawaziri wanamtukana Akaandika barua ya Onyo kwa Mawaziri na Viongozi!
Hiyo Imekaaje
 
huyu sijui labda ana hoja lakini uandishi wake hauna taste nzuri,kuna jamaa yangu alinunua kitabu chake niligusa page moja tu nikaishia hapo hapo,hili andiko nimesoma mpaka kati,hoja unaiona,ila taste ya uandishi kukuvutia uendelee kusoma hamna.
Ila kashinda tuzo ya uandishi Bora wa vitabu ,Sasa amepataje tuzo kwa uandishi huu


Acha unafiki kjn na wee kuwa mtunzi Kama unaona yeye anakosea kuandika
 
Tafuta Video Iliyo ndefu kaisikilize Bila kuwa na Bias..
 
Wewe ni mchonganishi na hayo ni mawazo yako! Makonda ni kiongozi sahihi kwa wakati sahihi! Katika mabadiliko lazima pawepo na wapiga filimbi "whistle blower". Kama SSH kazungukwa na genge la mafisadi, wala rushwa, makuhadi wa mabeberu, n.k nani atathubutu kuwafunga mdomo na kuwakemea. JK ndo walewale wahujumu uchumi! Gesi ya Mtwara aliwauzia wachina 75% na taifa tunafaidi 25%. Hata usafiri wa umma "mwendokasi wa Dar" ni jina tu lakini uhalisia ni mradi wa JK! Mleta mada usitake kujifanya unajua wakati hujui au na wewe umetumwa!
 
Mmmmh !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Hoja Hujibiwa na Hoja Ningependa kama ungepinga mambo yaliyoomgelewa kwa kuyajibu kwa hoja na sio Kuleta hoja mpya
 
Makonda ndiye mtu pekee anayeweza msaidia Samia , ambaye amezungukwa na genge la Msoga ambalo halimtaki kwa Sasa

Samia awarudie kundi la Magufuli na kuachana na Msoga hili kundi la Magufuli ndilo la kumvusha
hili kundi la kufikirika la magufuri linaongozwa na nani kwa sasa?
 
Ila kashinda tuzo ya uandishi Bora wa vitabu ,Sasa amepataje tuzo kwa uandishi huu


Acha unafiki kjn na wee kuwa mtunzi Kama unaona yeye anakosea kuandika
Umeelewa nilichoandika au unakurupuka tu? Unasoma vitabu wewe? Ukiambiwa utaje waandishi mahiri kutoka Tanzania utamtaja huyo bwana? Tuzo ndio kipimo chako cha uandishi mzuri?
 
Nilikuwa nimeyatundika madaluga yangu juu ya dari, lakini sasa nipo tayari kuyatungua na kuyavaa ili niingie uwanjani nikiwa upande wa #Samia Team !

Ila kwanza nipewe feedback ya what’s cooking !🙏
Ili nijue ntatumia fomeshen gani uwanjani 🙏 !
 
Makonda katuhumu baadhi ya viongozi wa serikali, hajahutuhumu muhimili wa bunge, acheni ujinga
 
Nyuzi imejaa shambulizi dhidi ya Makonda tu, mtatumika sana tu
 
Makonda katuhumu baadhi ya viongozi wa serikali, hajahutuhumu muhimili wa bunge, acheni ujinga
Viongozi wa Serkali ambao Wako Bungeni Malizia hapo..
Unajua Kamati ya Maadili ya bunge inafanya kazi gani??

Dah sad sana kuona watu ambao hawajui hata kuhusu Sheria zao na Kanuni za nchi yao halafu wanatetea
 

Mchambuzi nguli Saidi Miraji aiangalia hali iliyopo ndani ya serikali ya CCM

17 April 2024

WANAOMTUSI RAIS HAWA HAPA/ MAKONDA AITWE/ DADA WA MITANDAONI APUUZWE


View: https://m.youtube.com/watch?v=DhmPw-2T7N8
 
 
Hivi Diwani Athumani yupo wapi?

Huyu alitenguliwa nafasi ya DGIS .

Siku chache akateuliwa kuwa katibu wa Ikulu hata wiki mbili hakufikisha akatenguliwa .

Ukiachilia Sirro na Mabeyo waliostaafu kisheria huyu mtu yeye alitenguliwa katika wale watatu waliokuwa kwenye matukio ya mwisho ya kifo cha Magufuli.

Pia niwakumbushe watanzania ambao wengi ni wasahaulifu mambo ya Simba na Yanga ndio hushika hatamu nyakati mambo nyeti yanapitishwa kiholela na impact yake huja kuwa kubwa mbeleni.

Wangapi wanakumbuka mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa mwaka jana na kuondoa zuio la maafisa kushtakiwa kwa makosa watakayo tenda "katika kutimiza majukumu yao"

Something isn't adding up here.
 

Aisee..

Huyu Makonda ana nguvu za giza hatari sana anazotumia kumpa nguvu kufanya afanyayo.

Hivi inawezekanaje mtu aliyekosa uadilifu kwa uthibitisho (ushahidi) wa waziwazi kama huyu Makonda akaweza kum - blackmail kiongozi mkuu wa nchi (Rais) hata kumwamini na kumweka ktk mifumo ya uongozi wa juu wa nchi.?

Bila shaka hata taasisi ya u - Rais nayo tayari inatumia au imeshatekwa na nguvu hizi za giza la shetani na zinakalia kiti cha maamuzi ya Rais kwa Rais Samia kujua au hata hajui masikini mama wa watu.

Tuombeeni nchi yetu, taifa letu
 
Tusubiri Majibu ya Report ya Tume ya maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…