King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #21
Umemjibu Vyema Sana,Kama na yeye anaweza kutumia Google kuingiza mamilioni ni vyema akafanya akashare na sisi tupate kujifunza.Uzuri fursa ya kuitumia google ipo wazi kwa watu wote. Endapo ametumia google kujipatia pesa, bado anastahili pongezi. Na wewe wawezaitumia google ukatengeneza ukwasi
Le Mutuz nae kitabu chake kilimuingizia milioni mia ngapi?Umoufia Kwenu wana JF,
Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.
Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.
VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.
View attachment 1184568
Lengo halikuwa dhihaka bali kumkumbusha tu wajibu wa kuwashukuru waliomsaidia matirio ya kutiririka na kuserereka. Napendekeza dola alfu mbili kwa google.Uzuri fursa ya kuitumia google ipo wazi kwa watu wote. Endapo ametumia google kujipatia pesa, bado anastahili pongezi. Na wewe wawezaitumia google ukatengeneza ukwasi
Hahahaaaa Yule angeingiza hata 10m angerusha Instagram You Know.Le Mutuz nae kitabu chake kilimuingizia milioni mia ngapi?
Hiyo ni check Account namba ni ya Amazon sio ya Yericko,Yericko anaipeleka hiyo check ambapo yeye ana account anajaza form ya kudeposit mzigo kwenye account yake kwa details zilizomo kwenye check ,kisha hiyo bank ndio inacontact amazon kwa ajili ya clearance ya mzigo.Kwanini unaficha amount ya malipo na kuwacha account number?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Ina wezekana ni malipo toka kwa mabeberu wanaomtumia kuiandika vibaya serikali awamu ya tano,ukisikia mtu anafunguliwa kesi ya kutakatisha hela mambo yanakuaga hivi,muandishi wa vitamu ajenge mansion ya ghorofa 3,kils mtu angeandikaKwa Bongo sijui ameuza Nakala Ngapi ila kwa kuangalia tu imeungizia pesa nyingi maana amejenga Mansion ya Ghorofa 3 na ndipo anapokaa Kichangani karibu na ufukwe wa bahari.
Hapana mkuu, kuwa wakweli tu, kuna matirio katoa gugo. kama kusema hivyo nitakuwa nimekosea mnisamehe tu.CCM mnaroho za kichawi
Imesoma shule mpaka darasa la ngapi ndugu?Ina wezekana ni malipo toka kwa mabeberu wanaomtumia kuiandika vibaya serikali awamu ya tano,ukisikia mtu anafunguliwa kesi ya kutakatisha hela mambo yanakuaga hivi,muandishi wa vitamu ajenge mansion ya ghorofa 3,kils mtu angeandika
Najua hio ni account number ya hio bank ya Well Fargo Bank na routing number yake, suala langu kwanini ifichwe amount ya hela na kuionesha account number?( kama amelipwa hio laki tuone haina madhara kwa security reasons)Hiyo ni check Account namba ni ya Amazon sio ya Yericko,Yericko anaipeleka hiyo check ambapo yeye ana account anajaza form ya kudeposit mzigo kwenye account yake kwa details zilizomo kwenye bank ,kisha hiyo bank ndio inacontact amazon kwa ajili ya clearance ya mzigo.
Umoufia Kwenu wana JF,
Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika kwa kuweka kazi zake kimataifa na mwezi June alipokea check yenye zaidi ya USD Dola Laki moja kutokana na Mauzo ya kitabu chake.
Ukiachana na Pesa aliyoingiza mwezi juni zaidi ya Milioni 200 za kitanzania,yericko amefanikiwa kujenga Mansion yenye ghorofa tatu(3 Storey building) huku MBUTU Somangila.
VIjana wa Lumumba jitahidini kufanya mambo mengine ya kujiiingizia kipato nje ya siasa ili muwe na faida kwa uchumi wa nchi sio kusifu tu ili mradi mkate wenu uende kinywani hivyo kutokuwa na tija kwa jamii.
View attachment 1184568
La kutosha kujua kusoma na kuandika na uwezo wa kufanya reasoningImesoma shule mpaka darasa la ngapi ndugu?
Tafiti zote zinazofanyika, matirio mengine hutoka gugo, ila kuna limit ya kukopi hayo matirio.Hapana mkuu, kuwa wakweli tu, kuna matirio katoa gugo. kama kusema hivyo nitakuwa nimekosea mnisamehe tu.