Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

Mwanadam bhana ,, unemsemea mwenzio na kuwaponda wanalumumba lakini umesahau wewe kutuambia nje ya umbea , kipato chako kikoje tujue hayo maneno yako ya mwisho yameakisi umbea au nn!
 
Anza taratibu ..kuandika page moja leo ..kesho mbili keshokutwa tatu..by 2020 una publish kitabu chako. ...
 
mara nyingi vitabu havina tofauti sana na cinema nikimaanisha KNOWN STARRING IS A ONE WHO SALE./ 100,000 U.S $ hata wazungu huiheshimu na si hela ya kimchezo mchezo kuitamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…