Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

Kesi ya kutakatisha pesa, kutokulipa kodi na kujihusisha na magenge ya uhalifu naiona ikiwa jikoni..
 
wameacha kuficha account number wameficha pesa. kweli kazi ipo
 
hiki kitabu kwa mwezi kinauza copy moja hiyo laki mbili ilipatikanaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20191216-091617.png
    42.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20191216-091920.png
    46 KB · Views: 18
Kesho TRA utawasikia wameitisha media wanamtumia bili ya kodi yake .
ukiuza amazon yenye duka lake uingereza (ambako ndio pengine watakuwa makao makuu), unalipaje kodi tz? si wameshakukata kodi kulekule UK? utalipaje kodi mara mbili? hapo hudaiwi kitu na hao TRA.
 
Something's fishy 🤔🤔
Ukiuliza unashambuliwa na kuitwa mchawi.
Lol tutafika kweli Watanzania?
 
hiki kitabu kwa mwezi kinauza copy moja hiyo laki mbili ilipatikanaje?
Mtu anaishi kiujanja ujanja kwa kufake fake tu, sijui mpaka lini.

Kwanza mtu ambaye kakataa jina la baba yake na kujichomeka surname nzito ili atapeli watu anaaminikaje.

Nadhani hawa ndio wale wa FAKE IT Till, You Make it.
 
nilidhani ni mtoto wa Nyerere
 
Asinge ficha Amount ingependeza ziaid [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…