Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Duh!...siasa hiziNasikia kwa sasa anatarajia kujiongezea yericko nyerere Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!...siasa hiziNasikia kwa sasa anatarajia kujiongezea yericko nyerere Mbowe
Aise! Basi huyu ni mtoto wa mjini.
Mimi kwanza nilijua ni degree holder kutoka University mojawapo ya hapa nchini.
Kwani kwenye Vitabu anavyotunga mpaka anapata tuzo,haweki hata Biography yake?
Yerico binafsi namkubali na ntaendelea kumkubali sababu jamaa ni mpambanajiChoma mkuu Hela ya mafuta na kutumia hakuna Cha maana mle na utakuwa shahidi ukisoma Kwa kutumia utagundua jamaa Hana uelewa wowote ule isipokuwa amekaa na watu tofauti tofauti wakamsimulia vitu kadhaa wa kadhaa akaongeza na uongo na ujanja ujanja.
Jiulize mtu hajawi ishi urus halafu akuletee kitabu Cha Moscow. Na kwa Uzi wa jamaa hapa nimeamini 300% lile ni bumunda jingine mjini.
yeye yerico anasema amezaliwa mwaka 1980 wewe unasema mwaka 1984 which is whichYericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara!
Baada ya kumaliza secondary na kufeli vibaya mwaka 2004! Alikimbilia mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafta maisha!
Kwa ajili ya utundu ujanja ujanja alifungua kijiwe cha kutengeneza radio kama fundi radio!
Moja ya wateja wake ni mimi mwenyewe nilimpelekea Radio yangu pale banana ukonga nikiamini ni fundi, kumbe wakati huo mitambo ya matangazo FM RADIO ilikuwa ina hitilafu! Hivyo akasema nimwachie jioni matangazo yaliporudi nilipokwenda kuchukua akasema Capacitor ya eria (antena) ilikatika kumbe ni uongo tu!
Yericko aliamua kujiunga na kozi ya ufundi Veta miezi 9 mnamo mwaka 2006!
Na hiyo ndo elimu ya ufundi miezi 9 veta ndiyo elimu yake kubwa aliyonayo hadi sasa!
Kwanini aliamua kujiita Yericko Nyerere wakati babake ni MKANA? Majibu haya hapa
Ndugu zake wote wa kuzaliwa wanaitwa ubini wa MKANA lakini yeye peke yake aliamua kubadili ubini kwa kiapo na kupeleka Rita.
Sababu za kubadili ubini ninkutokana na imani yake aliamini kwamba mzee mmoja mwenye jina la nyerere katika ziara zake huko mkoani Iringa. Kwamba ndiye aliyeacha mbegu huko kwa kile watu walimtania kwamba kafanana sura na mzee huyo!
Hivyo akili ya Yericko ilikubaliana na maoni ya watu akaamua kubadili ubini wa baba yake kwa hisia akiamini kweli ni mtoto wa mzee huyo aliyetambulika kama Nyerere!
Ndugu zake YERICKO ni Patrick Yohanes mkana, Yusta Yohanes mkana, Isaack Yohanes Mkana na Pacha yake amabaye ni Paul Yohanes Mkana lakini akili yake mwenyewe yeye alibadili jina lake na kuwa ni Yericko Yohanes Nyerere! (Hat ndugu zake hawajui nyerere kama ni baba wa ubatizo au ni nani hawajui!
Pacha yake nyerere ni mchungaji uchwara huko segerea.
Tukiendelea na maisha yake ya siasa!
Yericko kwa utundu utundu alijiunga na mitandao ya kijamii mwaka 2007 na baadae kujipenyeza kama mwana harakati kwenye siasa za mtandaoni!
Yericko alikuwa na urafiki karibu na mzee mmoja mstaafu wa jeshi ambae ndiye aliyempatia story nyingi. Kabla ya yeye kuziprint kama makala na baadae kuziweka vitabuni na kuongeza story chache kutoka quick leaks na mitandao mbalimbali!
Yericko hana elimu nyingine yoyote zaidi ya ujanja ujanja mjini!
Yericko hana sifa za kuhoji wala kutilia shaka weledi wa Mwanasiasa msomi na wakili msomi mzee Tundu Lissu ambae kakifia chama kwa jasho na damu!
Bahati mbaya Tundu lissu akiwa mwenyekiti wa chama baadhi ya vijana wanaotegemea maisha kupitia uchawa kwa mbowe au kwa watoto wa mbowe watakosa maisha.
Tundu lissu ni Kiongozi mkubwa hawezi kutiliwa shaka na kundi la vijana ambao hawana elimu wanaotegemea ujanja ujanja ili waishi.
Maisha hayako fair kuna watu wana-phd ila hawajawahi andika vitabu vingi alivyoandika nyerereNenda kahama kakutane na NDEGESELA asiyejua kusoma wala kuandika.Halafu uliza company zake na majumba yake
ndo ujue elimu na mali wala haviendani kabisa.
Huyo ni pacha wake Paulo, kwa sasa yupo SegereaMi nimekulia banana hii sura sio ngeni sema kama alikuwa mtu wa kanisa kanisa hivi
Amesema wapi? ni hivi karibuni kama sio mwaka huu au mwaka jana alipost kwenye moja ya kurasa zake anasherehekea kutimiza miaka 40Yerico binafsi namkubali na ntaendelea kumkubali sababu jamaa ni mpambanaji
yeye yerico anasema amezaliwa mwaka 1980 wewe unasema mwaka 1984 which is which
We huna uhakika mimi nina uhakika huo ndo utofautiA
Amesema wapi? ni hivi karibuni kama sio mwaka huu au mwaka jana alipost kwenye moja ya kurasa zake anasherehekea kutimiza miaka 40
Join 2023!Wewe ni mgeni humu jukwaani ndio maana hujui kuwa Yericko mwenyewe alileta humu historia yake baada ya kubanwa na watoto wa Nyerere wakiongozwa na kaka mkubwa Andrew, Wewe unayedai ni mwaka 1980 na Yericko ni nani anaujua mwaka wake wa kuzaliwa? Hata hivyo imedhihirika wazi kuwa kwenye biography yake aliyoweka kitu sahihi ni umri wa kuzaliwa tuWe huna uhakika mimi nina uhakika huo ndo utofauti
Unaakili ndogo kuna-watu wengi sana wanasoma tu habari za jamiiforum bila hata kuwa na account yaani hawa-log inJoin 2023!Wewe ni mgeni humu jukwaani ndio maana hujui kuwa Yericko mwenyewe alileta humu historia yake baada ya kubanwa na watoto wa Nyerere wakiongozwa na kaka mkubwa Andrew, Wewe unayedai ni mwaka 1980 na Yericko ni nani anaujua mwaka wake wa kuzaliwa? Hata hivyo imedhihirika wazi kuwa kwenye biography yake aliyoweka kitu sahihi ni umri wa kuzaliwa tu
Ungekuwa unasoma ungeujua ule mnyukano wa Andrew na Yericko hadi akakubali yaishe, nimekwambia wewe ni mgeni kwa sababu hakuna mkongwe asiyeufahamu,ulivyo kilaza unanipa kazi ya kuweka link wakati Yericko kama mtu mashuhuri kuna njia nyingi za kuujua umri wake na wewe umesema unajua bila kuweka ushahidi. Watoto wa 2000 mna tabu sanaUnaakili ndogo kuna-watu wengi sana wanasoma tu habari za jamiiforum bila hata kuwa na account yaani hawa-log in
Mimi jamiiforum nipo tokea 2010 na sikutaka kuwa hata na account nilikuwa nasoma tu
Leta hiyo link ya uzi wa historia yake yerico aliyoileta huku jamiiforum
Uzuri mmoja hunijui sasa endelea kujifurahisha na kujifarijiUngekuwa unasoma ungeujua ule mnyukano wa Andrew na Yericko hadi akakubali yaishe, nimekwambia wewe ni mgeni kwa sababu hakuna mkongwe asiyeufahamu,ulivyo kilaza unanipa kazi ya kuweka link wakati Yericko kama mtu mashuhuri kuna njia nyingi za kuujua umri wake na wewe umesema unajua bila kuweka ushahidi. Watoto wa 2000 mna tabu sana
Sina haja ya kukujua,uongo mmoja tu juu ya umri wa Yericko ukijifanya kumjua zaidi umetosha kunionesha wewe ni wa namna gani.Uzuri mmoja hunijui sasa endelea kujifurahisha na kujifariji
Kumbe tunahangaishwa na zero brain kulaleki.Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara!
Baada ya kumaliza secondary na kufeli vibaya mwaka 2004! Alikimbilia mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafta maisha!
Kwa ajili ya utundu ujanja ujanja alifungua kijiwe cha kutengeneza radio kama fundi radio!
Moja ya wateja wake ni mimi mwenyewe nilimpelekea Radio yangu pale banana ukonga nikiamini ni fundi, kumbe wakati huo mitambo ya matangazo FM RADIO ilikuwa ina hitilafu! Hivyo akasema nimwachie jioni matangazo yaliporudi nilipokwenda kuchukua akasema Capacitor ya eria (antena) ilikatika kumbe ni uongo tu!
Yericko aliamua kujiunga na kozi ya ufundi Veta miezi 9 mnamo mwaka 2006!
Na hiyo ndo elimu ya ufundi miezi 9 veta ndiyo elimu yake kubwa aliyonayo hadi sasa!
Kwanini aliamua kujiita Yericko Nyerere wakati babake ni MKANA? Majibu haya hapa
Ndugu zake wote wa kuzaliwa wanaitwa ubini wa MKANA lakini yeye peke yake aliamua kubadili ubini kwa kiapo na kupeleka Rita.
Sababu za kubadili ubini ninkutokana na imani yake aliamini kwamba mzee mmoja mwenye jina la nyerere katika ziara zake huko mkoani Iringa. Kwamba ndiye aliyeacha mbegu huko kwa kile watu walimtania kwamba kafanana sura na mzee huyo!
Hivyo akili ya Yericko ilikubaliana na maoni ya watu akaamua kubadili ubini wa baba yake kwa hisia akiamini kweli ni mtoto wa mzee huyo aliyetambulika kama Nyerere!
Ndugu zake YERICKO ni Patrick Yohanes mkana, Yusta Yohanes mkana, Isaack Yohanes Mkana na Pacha yake amabaye ni Paul Yohanes Mkana lakini akili yake mwenyewe yeye alibadili jina lake na kuwa ni Yericko Yohanes Nyerere! (Hat ndugu zake hawajui nyerere kama ni baba wa ubatizo au ni nani hawajui!
Pacha yake nyerere ni mchungaji uchwara huko segerea.
Tukiendelea na maisha yake ya siasa!
Yericko kwa utundu utundu alijiunga na mitandao ya kijamii mwaka 2007 na baadae kujipenyeza kama mwana harakati kwenye siasa za mtandaoni!
Yericko alikuwa na urafiki karibu na mzee mmoja mstaafu wa jeshi ambae ndiye aliyempatia story nyingi. Kabla ya yeye kuziprint kama makala na baadae kuziweka vitabuni na kuongeza story chache kutoka quick leaks na mitandao mbalimbali!
Yericko hana elimu nyingine yoyote zaidi ya ujanja ujanja mjini!
Yericko hana sifa za kuhoji wala kutilia shaka weledi wa Mwanasiasa msomi na wakili msomi mzee Tundu Lissu ambae kakifia chama kwa jasho na damu!
Bahati mbaya Tundu lissu akiwa mwenyekiti wa chama baadhi ya vijana wanaotegemea maisha kupitia uchawa kwa mbowe au kwa watoto wa mbowe watakosa maisha.
Tundu lissu ni Kiongozi mkubwa hawezi kutiliwa shaka na kundi la vijana ambao hawana elimu wanaotegemea ujanja ujanja ili waishi.
Kujua umri au kutokujua umri wa mtu hakukuongezei chochote jaribu kufocus na mambo ya msingi ya maisha yakoSina haja ya kukujua,uongo mmoja tu juu ya umri wa Yericko ukijifanya kumjua zaidi umetosha kunionesha wewe ni wa namna gani.
Nilikuwa nakuweka sawa kijana maana ulikuja mbio kunibishia utadhani unanijua,ushauri wa bure, usikurupuke kuongea vitu usivyovifahamu, humu JF kuna wajuvi wa mambo mengi sanaKujua umri au kutokujua umri wa mtu hakukuongezei chochote jaribu kufocus na mambo ya msingi ya maisha yako
Ujuvi wa mambo alafu unatumia jina bandia wajuvi wote wa mambo wanatumia majina yao halisi hawaogopiNilikuwa nakuweka sawa kijana maana ulikuja mbio kunibishia utadhani unanijua,ushauri wa bure, usikurupuke kuongea vitu usivyovifahamu, humu JF kuna wajuvi wa mambo mengi sana