Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Aise! Basi huyu ni mtoto wa mjini.
Mimi kwanza nilijua ni degree holder kutoka University mojawapo ya hapa nchini.
Kwani kwenye Vitabu anavyotunga mpaka anapata tuzo,haweki hata Biography yake?
 
Aise! Basi huyu ni mtoto wa mjini.
Mimi kwanza nilijua ni degree holder kutoka University mojawapo ya hapa nchini.
Kwani kwenye Vitabu anavyotunga mpaka anapata tuzo,haweki hata Biography yake?


Kweli pia rafiki na yeye ni Darasa la 07 Ila ni hatari Sana akiongea kiingereza utajua msomi
 
Yerico binafsi namkubali na ntaendelea kumkubali sababu jamaa ni mpambanaji
yeye yerico anasema amezaliwa mwaka 1980 wewe unasema mwaka 1984 which is which
 
A
Yerico binafsi namkubali na ntaendelea kumkubali sababu jamaa ni mpambanaji

yeye yerico anasema amezaliwa mwaka 1980 wewe unasema mwaka 1984 which is which
Amesema wapi? ni hivi karibuni kama sio mwaka huu au mwaka jana alipost kwenye moja ya kurasa zake anasherehekea kutimiza miaka 40
 
We huna uhakika mimi nina uhakika huo ndo utofauti
Join 2023!Wewe ni mgeni humu jukwaani ndio maana hujui kuwa Yericko mwenyewe alileta humu historia yake baada ya kubanwa na watoto wa Nyerere wakiongozwa na kaka mkubwa Andrew, Wewe unayedai ni mwaka 1980 na Yericko ni nani anaujua mwaka wake wa kuzaliwa? Hata hivyo imedhihirika wazi kuwa kwenye biography yake aliyoweka kitu sahihi ni umri wa kuzaliwa tu
 

Attachments

  • Screenshot_20241227-104413.png
    308.6 KB · Views: 5
Unaakili ndogo kuna-watu wengi sana wanasoma tu habari za jamiiforum bila hata kuwa na account yaani hawa-log in

Mimi jamiiforum nipo tokea 2010 na sikutaka kuwa hata na account nilikuwa nasoma tu
Leta hiyo link ya uzi wa historia yake yerico aliyoileta huku jamiiforum
 
Ungekuwa unasoma ungeujua ule mnyukano wa Andrew na Yericko hadi akakubali yaishe, nimekwambia wewe ni mgeni kwa sababu hakuna mkongwe asiyeufahamu,ulivyo kilaza unanipa kazi ya kuweka link wakati Yericko kama mtu mashuhuri kuna njia nyingi za kuujua umri wake na wewe umesema unajua bila kuweka ushahidi. Watoto wa 2000 mna tabu sana
 
Uzuri mmoja hunijui sasa endelea kujifurahisha na kujifariji
 
Kumbe tunahangaishwa na zero brain kulaleki.

Ulichokosea mkuu, ungetuwekea viambatishi vyovyote vyenye nguvu kutokana na ushahidi uliotuwekea hapa ndiyo kungelikuwa na uzito wa kushiba ili kumuanika vizuri huyu chawa.

Niligundua kuwa ana Iq ya chini sana ni kutokana na uandishi wake pamoja na asivyoweza kujenga hoja za kujibu maswali yatokanayo na hoja zake anazozileta humu.

Cha kushangaza, hata atukanwe matusi ya nguoni kutokana na hoja zake hizo za kipumbaf lakini haachi!
 
Kujua umri au kutokujua umri wa mtu hakukuongezei chochote jaribu kufocus na mambo ya msingi ya maisha yako
Nilikuwa nakuweka sawa kijana maana ulikuja mbio kunibishia utadhani unanijua,ushauri wa bure, usikurupuke kuongea vitu usivyovifahamu, humu JF kuna wajuvi wa mambo mengi sana
 
Nilikuwa nakuweka sawa kijana maana ulikuja mbio kunibishia utadhani unanijua,ushauri wa bure, usikurupuke kuongea vitu usivyovifahamu, humu JF kuna wajuvi wa mambo mengi sana
Ujuvi wa mambo alafu unatumia jina bandia wajuvi wote wa mambo wanatumia majina yao halisi hawaogopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…