Pre GE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

Pre GE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia.

1000018377.jpg

Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
 
Mimi ombi langu kwa Mjomba angu Freeman Mbowe ni moja tu, kilinde kikoba chetu kwa wivu mkubwa, bado ukoo unazihitaji sana fedha za ruzuku na zile za makamanda tuje tuzile kwenye pasaka.
Ombi murua kabisa😁
 
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia.

View attachment 3194480
Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
Yaani kuna viongozi wanamzushia uongo Lissu (wakitumia neno vikao vya ndani, ambazo ni siri za chama), Lissu akijibu mapigo dhidi yao kwa kusema ukweli wa hivyo vikao wanasema anaropoka siri za Chama!
 
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia.

View attachment 3194480
Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
Itakuwa huyo Yericko Nyerere kapofushwa na mshiko wa Abdul.

Mchongo wa ccm kuhujumu Chadema unasukwa kupitia Mbowe na Wenje na machawa wao akina Yericko, nk.
 
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia.

View attachment 3194480
Haka kajamaa na ufupi wake sijui huwa kanafikiri kwa kutumia kitu gani, hivi mlionunua vitabu vyake mnajiskiaje?

Ni lini Dora ikawa na urafiki na TAL?

Kama TAL kaweka msimamo mkali juu ya Rushwa ya mtoto pendwa, na akatoka hadharani kuuambia umma, je kama Ana dili na Dora alishindwaje kupiga?

Nawaza tu kuwa, pengine hizo fedha za Abdul zilikuwa ni mtego wa kumnasa lisu ili wamfute chamani kwa kosa la Rushwa ila TAL akawashtukia.

Timu FAM wanapaswa kujenga hoja kwa nini .gombea wao apewe nafasi tena na sio propaganda zinazoletwa na mwizi wa thread za watu na kuzitungia vitatu, na Tahira mwenzie Ntobi, kwa nini hawataki kujibu hoja na badala yake ni propaganda zisizo na mbele wala nyuma?
 
Back
Top Bottom