Haka kajamaa na ufupi wake sijui huwa kanafikiri kwa kutumia kitu gani, hivi mlionunua vitabu vyake mnajiskiaje?
Ni lini Dora ikawa na urafiki na TAL?
Kama TAL kaweka msimamo mkali juu ya Rushwa ya mtoto pendwa, na akatoka hadharani kuuambia umma, je kama Ana dili na Dora alishindwaje kupiga?
Nawaza tu kuwa, pengine hizo fedha za Abdul zilikuwa ni mtego wa kumnasa lisu ili wamfute chamani kwa kosa la Rushwa ila TAL akawashtukia.
Timu FAM wanapaswa kujenga hoja kwa nini .gombea wao apewe nafasi tena na sio propaganda zinazoletwa na mwizi wa thread za watu na kuzitungia vitatu, na Tahira mwenzie Ntobi, kwa nini hawataki kujibu hoja na badala yake ni propaganda zisizo na mbele wala nyuma?