Pre GE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alafu vi mtu kama hivi ndo vinapata platform na umaarufu Yani , kaende mbutu kakalime bamia tu.
 
Lissu asiposhinda chadema inaenda kujifia

Na sitaipigia kura maisha yangu yote
 
Kila mkitibuana mnajificha kwenye chaka la dola.
 
Kanaishi Kwa fadhila za mwenyekiti sio kakukasiliza very stupid,hakuna maono yoyote na story za kuokoteleza google,Yani unavaa suti na kusema ooh Mbowe na alafu na Omega ,
πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Maneno haya akiyasema Lissu, huyo huyo Yericko anasema Lissu hana busara anaropoka hovyo na kutuhumu watu uongo bila ushahidi.
 
Mimi ombi langu kwa Mjomba angu Freeman Mbowe ni moja tu, kilinde kikoba chetu kwa wivu mkubwa, bado ukoo unazihitaji sana fedha za ruzuku na zile za makamanda tuje tuzile kwenye pasaka.
🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…