The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mwenyekiti Mstaafu ama Mwenyekiti aliyeshindwa Uchaguzi?Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA,
So what!Wakuu
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu.
View attachment 3438245
Lisu yupo tayari kufia nchi na siyo kusaliti nchi yakeAnatumwa na mtandao kwendakumlainisha mwamba .....amegoma
Asipoenda, kwa nini hajaenda? Hajakubali matokeo ya uchaguzi. Akienda, ametumwa na mtandao. Mtakuwa hivyo hivyo akijitokeza Mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu. Uchaguzi uliisha Januari na mlishinda. Yote haya ya nini?Anatumwa na mtandao kwendakumlainisha mwamba .....amegoma
Kwaiyo ni shujaa wa kwanza Duniani mwenye kitambi sio!!Lisu yupo tayari kufia nchi na siyo kusaliti nchi yake
Mbona hata mumeo ana kitambi naye ni shujaa?Kwaiyo ni shujaa wa kwanza Duniani mwenye kitambi sio!!
Kwa hiyo asijibu swali kwa sababu linahusu Chadema? Na akijibu asiseme ukweli wake ili kukisitiri Chadema? Sasa hivi Chadema na Chaumma ni vyama vinavyo shindana. Kwa mtazamo wa Chaumma, CDM haikuwatendea haki na bado wanaendelea kuwafuata fuata.Hivi Hawa CHAUMMA wanapambana na CHADEMA ama CCM? Maana ni kama hawajui kama wao siyo tena ni wanachama wa CHADEMA!!
Ninyi vijana wa Chadema hamjawahi kuwa akili timamu. Asingeenda mngemsema kwanini haendi. Ameenda mnamsema kwanini ameenda! Ila uzuri wenu mnajiita akili kubwa! Ahahahahaha!!Anatumwa na mtandao kwendakumlainisha mwamba .....amegoma
Huyu jamaa hana cha kuongea cha chama chake zaidi ya Mbowe vs Lissu na Chadema? Move on dude!Wakuu
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu.
View attachment 3438245