Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Nimekuuliza swali….. hisuda yangu unaipimaje?Wapi nimesema Lissu kaendeleza fitina au tusi? Vipi ndugu nyie kujawa na husuda pomoni?
Nimekuuliza swali….. hisuda yangu unaipimaje?Wapi nimesema Lissu kaendeleza fitina au tusi? Vipi ndugu nyie kujawa na husuda pomoni?
Kila akienda Mbowe alikuwa akimtaarifu Yetiko Nyerere au walikuwa wakienda pamoja kwa hizo mara tatu? Kama sivyo, anajuaje? Labda alikwenda mara nne au zaidi, au hajaenda kabisa! Kama mawakili wake hawaonani naye (kama anavyodai Lissu), Mbowe alionana naye vipi, au hata hizo mara tatu hakuonana naye?Wakuu
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu.
Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
View attachment 3438245
Nimekuuliza swali….. hisuda yangu unaipimaje?
Wajinga wakubwa haoJamaa wanashangaza sana
WanakeraWajinga wakubwa hao
Wanapambana kuwa chama kikuu cha upinzaniHivi Hawa CHAUMMA wanapambana na CHADEMA ama CCM? Maana ni kama hawajui kama wao siyo tena ni wanachama wa CHADEMA!!
TutawanyooshaWanakera