GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu

Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu.

Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?

View attachment 3438245

Kwani hawa hawakuwa wamepanga kumshughulikia Lissu?

Lusungo, Retired, Fortilo na wale wengine au nasema uongo?
 
Sasa hivi Chadema na Chaumma ni vyama vinavyo shindana.
Kwanza CHADEMA haishindani na CHAUMMA. Halafu msiwe na ndimi mbili.
Watu wakiulizwa kuhusu Mbowe kutoshiriki shughuli za CHADEMA na kutoa majibu, ni nyie huja na ile hoja yenu ya kusema "si mlimkataa, mwacheni apumzike".

Waambieni hao kina Yericko kuwa wao si wamehama CHADEMA, nini tena kinachowafanya waijadili kama vile bado wapo CHADEMA?
 
Tangu lini Chadema na Chaumma wameungana. Hivi ni vyama viwili tofauti vya siasa ambavyo kila mmoja kinataka kushika dola. Vitakuwa sio washindani pale tu watakapoingia makubaliano ya kutoshindana. Mpaka sasa hawajafanya hivyo, kwa hivyo vinashindana katika kutaka kukubalika na wananchi.

Msimamo wa kutaka aachwe apumzike uko pale pale. Ni nyinyi ndio mara kwa nini hamtembelei Lissu gerezani, kwa nini hajatoa tamko kuhusu kesi ya Lissu, kwa nini alienda Dodoma n.k. Muacheni apumzike.
Anajadili experience yake alipokuwa Chadema. Au unataka kwa vile amehama Chadema tujifanye pia kuwa hakuwa Chadema? Mbona hamkumkemea swahiba wenu Msigwa alipokuwa anaiponda Chadema akiwa CCM? Au wote mko chama kimoja?

Yericko sio Mbowe. Muacheni Mbowe apumzike. Yeye bado ni mjumbe wa Kamati Kuu yenu.

Amandla....
 
Haka ka jamaa aka Kajasusi uchwara hivi karibumi kamegeuka kasemaji ka Mbowe.

Ni kamoja ka vifaranga vya Bata kaliko tangulizwa Chaumma.
 
Sera kuu ya chauma aka wazee wa ubwabwa ni kuizungumzia chadema

Ova
 
Gray matter of the earth!...
Yeye alikwenda mara ngapi? ...malizia kile kitabu chako.
 
Wakuu

Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu.

Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?

View attachment 3438245
Labda ndiyo aliplantiwa kumuua lissu kwa sumu jela....atushangai mbowe kuwa mmoja wapo wa mashahidi wa Siri wa serikali pumbavu ya sa100 bushiri
 
Kama walipanga ndo inampa uhalali Lissu wa kuendekeza fitina na matusi na kupuuzia kuunganisha watu?

Wapi nimesema Lissu kaendeleza fitina au tusi? Vipi ndugu nyie kujawa na husuda pomoni?
 
Back
Top Bottom