GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kila akienda Mbowe alikuwa akimtaarifu Yetiko Nyerere au walikuwa wakienda pamoja kwa hizo mara tatu? Kama sivyo, anajuaje? Labda alikwenda mara nne au zaidi, au hajaenda kabisa! Kama mawakili wake hawaonani naye (kama anavyodai Lissu), Mbowe alionana naye vipi, au hata hizo mara tatu hakuonana naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…