matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Mathayo ndio inasema ni Mwana wa Selemala.Unaelezea u-Marioo wa kwa big momma?Yesu anatajwa tu kuwa alikuwa mwana wa seremala.Sijaona sehemu kama alimchongea mtu sofa au kudhulumu chaga za Wayunani.
Mstari ulionukuu unasema kuwa ni seremala. Wewe ndio umeongeza hayo mengine. Si kila daktari anaendesha hospitali. Si kila mhasibu ana Accounting/Audit firm. Sasa wewe tuleteee mstari unaoonesha Yesu alifanya biashara. kama upo kwa nini unapata taabu kuungaunga?Nimetoka hapo juu alikuwa katika industry ya uselemala au furniture
Alikuwa hachongi vigoda na mabenchi ya kupelekwa sinagogi bure.
Alikuwa anafanya bizness mkuu. Unafeli wapi
Jose alikufa baada ya YesuMathayo ndio inasema ni Mwana wa selemala.
Ila Marko hapo juu inamaliza kwa kusema alikuwa ni selemala. Yawezekana Baba yake alipokufa alimuachia umiliki wa kampuni yao ya uselemala.
Alilishafamilia yao na wadogo zake wale. Na baadae atakuwa alipata kianzio cha kuwalisha wakina Mathayo. Maana aliwaambia waachane na Biashara zao katika industry ya fishing
Soma Marko bhana. Sipotezi muda hapa naongea namaanisha Ila kwa lugha nyepesi.Onesha sehemu alifanya biashara. Hilo tu!
Kama ni la kuitwa hivyo ni kwa sababu ilikuwa kazi ya baba yake mlezi
"Is not this the carpenter’s son? Is not his mother called Mary? And are not his brothers James and Joseph and Simon and Judas?" Matt 13:55
Lete mstari unaoonesha kuwa alifanya biashara. sio maneno yako binafsi.
Kwani akiwa selemala automatically anakuwa mfanyabiashara?Soma Marko bhana. Sipotezi muda hapa naongea namaanisha Ila kwa lugha nyepesi.
Nimeweka mstari. Sio Mwana wa selemala. Ni selemala mwenyewe full. Labda Kama uniambie aliajiri watu wa marketing na sales yeye akabaki katika kufyatua products.
Hapana. Yesu asingemkabidhi mama yake kwa jirani yake Familia ya Yohana wakati mume wake alikuwepo.Jose alikufa baada ya Yesu
Unataka kusema alikuwa ni employee au.Kwani akiwa selemala automatically anakuwa mfanyabiashara?
mbona unashinda kuelewa vitu rahisi? Kama umeweza kirahisi kuleta mstari wa kuonesha alikuwa selemala, kipi kinakushinda kuonesha sehemu ambayo alikuwa mfanyabiashara?
Mtume alikuwa amenyooka?una uhakika?Yesu pekee ndo alikuwa mkamilifu mwanakondoo wa Mungu azichukuae dhambi za ulimwenguTujadili kidogo.
Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo.
Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali,kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi
TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture)lakini hakutenda dhambi?
Mtume Mohammad SAW alikuwa mfanyabiashara muaminifu Sana chini ya Khadija. Akifanya Biashara Kati ya saudia na Syria. Alikuwa amenyooka.
Tunafeli wapi wakuu.
Karibuni
Alikuwa amenyooka kwenye Biashara zake mkuu.mada ni Biashara sio dhambi. Yesu yeye Imeandikwa alikuwa kanyooka katika kila kitu.Mtume alikuwa amenyooka?una uhakika?Yesu pekee ndo alikuwa mkamilifu mwanakondoo wa Mungu azichukuae dhambi za ulimwengu
Unakoswa kuchukua mafungu ya wakati Yesu kaacha active business kahamia kwenye ualimu kada tofauti. Kabadilisha taaluma na hii kaifanya sio zaidi ya miaka mitatu ya maisha yake.Umeanza kufeli kwa kututapeli Yesu alikuwa mfanyabiashara. Utakuwa mfanyabiashara mmojawapo kati ya wanaolalamikiwa na wewe. Anza kwanza kuwa mwaminifu na unayosema na kuandika kwanza...
Mathayo 8:18-20
"Naye Yesu alipoona makutano mengi wakimzunguka, aliamuru kuvuka kwenda ng’ambo. Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako. Yesu akamwambia, Mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota; lakini Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake"
We kilaza sana si kaquote hapo soma so sema kama Kuna tatizo kweny maandiko unajibi ujinga akili hamna kituKwani akiwa selemala automatically anakuwa mfanyabiashara?
mbona unashinda kuelewa vitu rahisi? Kama umeweza kirahisi kuleta mstari wa kuonesha alikuwa selemala, kipi kinakushinda kuonesha sehemu ambayo alikuwa mfanyabiashara?
Wengi wameathilia na dini wanadhani wanamtetea Yesu.Mleta uzi alitaka kitumia mifano iyo miwili ila kuonyesha kwa nn hao mitume tunaowafuata walikuwa waaminifu ila sisi tunaendekeza utapeli kwa sana
Je kwa huu nwenendo wetu wa utapeli ,ufisadi, uwizi ni dhahiri hatuwafuati tumebako maneno tu
Ila vijana wa ovyo wala nguruwe ,wezi, madhulumatii ,walevi , wazinzi wanaleta point hazipo
Hujielewi wewe pole ni vema ukae kimya ujifunze. Yosef ndio alikua fundi seremala. Usichanganye mafailYesu kafanya Sana Biashara ya furniture. Maana hata kazi za kiroho alianza akiwa na takribani miaka27.
Nazareti nzima walimjua Kama fundi. Alikuwa atengenezi vya kutumia. Alikuwa anauza.
Kwa sasa tuseme angekuwa ni wamiliki maduka makubwa ya furniture.
Ninachotaka kusema ni kuwa alikuwa selemala mtoto wa selemala. Hayo mengine siyajui ndio naomba uniletee mstari unaosema alifanya biashara. Sasa kwa mfano kama alichonga kumsaidia baba yake anakuwaje mfanyabiashara?Unataka kusema alikuwa ni employee au.
Kwanza history ya wayahudi lazima mtoto ajifunze Biashara tangu kwao.
Selemala huwa anafanya nini?
Biashara au mazoezi ya viungo?