Yesu aliumba Mbingu na Nchi

Yesu aliumba Mbingu na Nchi

Ikikupendeza,

Uje utupe ushuhuda wa mapito Yako kiimani Hadi kuijua Kweli Toka huko kwenye dini Ile.
Sina mapito mimi nimejaliwa logic kubwa sana watu wanao nifahamu wanakili ni genius matata sana ...mimi nilicho fanya ni kusoma tu injili na kusikiliza na kusikiliza uislamu basi nikatambua uwezo mdogo wa watu kiakili ...wewe huoni waislamu humu unikimbia...niliwai kuwapiga maswali mashekh hadi leo wale mashekh wamepoteza imani na muhammad japo wanaendelea kuwa mashekh wamekuwa wapole na kuna siku mlokole mdada alinijia nilimpiga maswali machache tu mwenyewe akasema ngoja nikasome biblia upya nione kama unacho sema ni kweli.
 
Sina mapito mimi nimejaliwa logic kubwa sana watu wanao nifahamu wanakili ni genius matata sana ...mimi nilicho fanya ni kusoma tu injili na kusikiliza na kusikiliza uislamu basi nikatambua uwezo mdogo wa watu kiakili ...wewe huoni waislamu humu uni unikimbia...niliwai kuwapiga maswali mashekh hadi leo wale mashekh wamepoteza imani ma muhammad japo wanaendelea kuwa mashekh wamekuwa wapole na kuna siku mlokole mdada alinijia nilimpiga maswali machache t8 mwenyewe akasema ngojq nikaseme biblia upya nione kama unacho sema ni kweli
Genius au zezeta watu wanakuacha ujione mwamba
 
Kama ni kweli unachosema basi nikuulize maswali kuhusu uislamu ....au swali moja tu nijibu je Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa kafiri au la?
Genius au zezeta watu wanakuacha ujione mwamba
 
Biblia iliyo andikwa na zakayo sasa hv inaendeshwa na taasisi Ndio iwe funga kazi
Biblia iliandikwa na watu waliovuviwa na Mungu.

2 Timotheo 3:16, inasema:
"Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki."

Hii inaonyesha kwamba ingawa Biblia iliandikwa na waandishi wa kibinadamu, waliongozwa na Roho Mtakatifu ili kuandika ujumbe wa Mungu.

Biblia ina vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi zaidi ya 40, waliotoka katika nyakati tofauti, kwa takriban miaka 1,500. Baadhi ya waandishi wa Biblia ni:

Musa – Aliandika vitabu vya Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, na Kumbukumbu la Torati.

Daudi – Aliandika sehemu kubwa ya Zaburi.

Isaya, Yeremia, Ezekieli, Danieli – Manabii waliandika vitabu vyao vya unabii.

Mathayo, Marko, Luka, Yohana – Waliandika Injili kuhusu maisha ya Yesu Kristo.

Paulo – Aliandika nyaraka nyingi za Agano Jipya kama Warumi, Wakorintho, Wagalatia, n.k.

Petro, Yakobo, Yuda – Nao pia waliandika sehemu za Agano Jipya.
 
Hakuna sadaka hapa maana hamkawii ninyi.ikwa
Imeandikwa usitupe Lulu zako mbele ya nguruwe (Lulu ni pesa ...mali ...na vyote vilivyo na thamani ikiwemo nafsi yako ) wasije wakazikanyaga na kukurarua...Nguruwe ni kina mwamposa ...kina kiboko ya wachawi ....kina ngwaji boy ...kina gamanywa ...kina kakobe ...kina zumaridi. mungu mke nk NAGAMAHONGA
 
Hujajibu , muumba ni mmoja lkn yupi? Tupe habari zake.
Kibiblia inatanabaisha habari za miungu kuwa ipo mingi baada ya kutupwa duniani walijenga himaya zao na kuabudiwa. Kuna ashera, dagon nk. Yote Ni miungu, hata Yale mapigo kumi misri ilikuwa Ni miungu kumi ya misri iliyopigwa na Mungu muumba.

Hatutishwi na uwingi wa miungu, tunatishwa na sifa za Mungu mwenye uweza mbabe anayeweza kutamka na miungu yote ikafyata mkia. Hao ma artemi hushika baadhi ya maeneo madogo lkn hawana uwezo wa kumudu dunia yote Wala kujitangaza Kama afanyavyo Mungu wetu.
Jiulize shetani alipata wapi mamlaka ya kumpandisha Yesu kwenye kinara na kumtambia yote anayoona ni milki yake na Yesu hakubisha mpaka leo unajua kwanini?

Luka 4:5-6
Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.

Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.

Ingekuwa walikuwa hawawezi shika dunia yote kuzingekuwa na hizi principles za dunia ambazo ukiwa mtenda haki kweli (muaminifu) unakuwa hupendwi ndo maana wakasema chema hakidumu unajua kwanini?
 
Kama ni kweli unachosema basi nikuulize maswali kuhusu uislamu ....au swali moja tu nijibu je Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa kafiri au la?
Na mimi nakujibu ifuatavyo

Uislam haujaanzia kwa Muhammad uislam umeanza tokea dunia inaumbwa mpka kwa adam na dini imekamilishwa kwa Muhammad kupewa kitabu Quran

Na kabla ya kupewa alikuwa akifunga na kusali kama ilivyo kuwa kwa Ibrahim na Musa

Swali lingine Leta
 
Mashekh 6 walikosa majibu ya maswali 6 niliyo wauliza na walikili kuwa wameshindwa kujibu
Weka hapa hayo maswali acha kujisifia sana Mjomba.. empty brain ndo mnaongoza kwa kujisifia sifia kujiita genius na hakuna unacho jua
 
Yesu alipokuwa tumboni mwa Maria, Uungu wake haukupunguzwa wala haukukomea. Katika Ukristo, Yesu ana asili mbili—Uungu (100% Mungu) na Ubinadamu (100% mwanadamu). Hii inamaanisha kwamba alipokuwa duniani, hakuwa ameacha uungu wake, bali alikuwa ameuchukua mwili wa kibinadamu kwa hiari yake.

Katika Wakolosai 1:17, Biblia inasema:
"Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye."

Hii inaonyesha kuwa hata alipokuwa tumboni mwa Maria, Yesu hakupoteza mamlaka yake ya kimungu. Mungu Baba na Roho Mtakatifu waliendelea kushikilia mpango wa mbingu na ulimwengu, kwa sababu Mungu ni Mmoja katika nafsi tatu—Baba, Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19).

Yesu mwenyewe alisema katika Yohana 10:30:
"Mimi na Baba tu umoja."

Kwa hiyo, hata alipokuwa tumboni mwa Maria kama mwanadamu, Uungu wake haukupunguzwa, na mamlaka ya Mungu juu ya ulimwengu uliendelea bila shida yoyote. Hili ni fumbo la kiimani ambalo linahitaji kueleweka kwa kutambua kwamba Mungu si kama wanadamu, anaweza kuwa mahali popote na kufanya mambo yote kwa wakati mmoja.
Ukiona mtu mzima anasema chupa imejaa 100% na ilikuwa empty 100% kwa wakati mmoja Unajua tu unaongea na mwehu!
 
Biblia iliandikwa na watu waliovuviwa na Mungu.

2 Timotheo 3:16, inasema:
"Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki."

Hii inaonyesha kwamba ingawa Biblia iliandikwa na waandishi wa kibinadamu, waliongozwa na Roho Mtakatifu ili kuandika ujumbe wa Mungu.

Biblia ina vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi zaidi ya 40, waliotoka katika nyakati tofauti, kwa takriban miaka 1,500. Baadhi ya waandishi wa Biblia ni:

Musa – Aliandika vitabu vya Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, na Kumbukumbu la Torati.

Daudi – Aliandika sehemu kubwa ya Zaburi.

Isaya, Yeremia, Ezekieli, Danieli – Manabii waliandika vitabu vyao vya unabii.

Mathayo, Marko, Luka, Yohana – Waliandika Injili kuhusu maisha ya Yesu Kristo.

Paulo – Aliandika nyaraka nyingi za Agano Jipya kama Warumi, Wakorintho, Wagalatia, n.k.

Petro, Yakobo, Yuda – Nao pia waliandika sehemu za Agano Jipya.
kwahyo tutegemee roho mtakatifu akimshukia mwamposa na akongeza kitabu kingine cha 67? Au walio shukiwa hao wanatosha?
 
kwahyo tutegemee roho mtakatifu akimshukia mwamposa na akongeza kitabu kingine cha 67? Au walio shukiwa hao wanatosha?
Swali lako nila muhimu sana na linahusiana na mafundisho ya Ukristo kuhusu ufunuo wa Mungu na mamlaka ya Maandiko Matakatifu.

Kwa mujibu wa imani ya Kikristo, Biblia kama Neno la Mungu imekamilika na hakuna vitabu vingine vinavyohitajika kuongezwa. Sababu kuu ni kwamba ufunuo wa Mungu kwa wanadamu ulitimilika kupitia Yesu Kristo, na Maandiko yanathibitisha hilo.

Katika Ufunuo 22:18-19, inasema:
"Namwonya kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, mtu akiyaongeza, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Na mtu akiondoa lo lote katika maneno ya kitabu cha unabii huu, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika mji mtakatifu, ambavyo vimeandikwa katika kitabu hiki."

Hii inaonyesha kuwa Biblia imefungwa rasmi na hakuna ongezeko la maandiko mapya yanayoweza kuchukuliwa kuwa sehemu ya Maandiko Matakatifu.

Pia, Waebrania 1:1-2 inasema:
"Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi, mwisho wa siku hizi amesema nasi katika Mwana, ambaye alimweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye alifanya ulimwengu."

Hii inaonyesha kuwa Yesu Kristo ndiye ufunuo mkuu wa Mungu, na kupitia yeye, mpango wa wokovu umetimia. Kwa hiyo, Roho Mtakatifu bado anafanya kazi kwa waumini leo, lakini hatoi maandiko mapya kwa kiwango cha kuwa sehemu ya Biblia.

Kwa kifupi, Biblia haitaongezwa vitabu vipya, kwani tayari imekamilika kama Neno la Mungu lililo hai.
 
Jiulize shetani alipata wapi mamlaka ya kumpandisha Yesu kwenye kinara na kumtambia yote anayoona ni milki yake na Yesu hakubisha mpaka leo unajua kwanini?

Luka 4:5-6
Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja.

Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo.

Ingekuwa walikuwa hawawezi shika dunia yote kuzingekuwa na hizi principles za dunia ambazo ukiwa mtenda haki kweli (muaminifu) unakuwa hupendwi ndo maana wakasema chema hakidumu unajua kwanini?
Ok sawa nmekuelewa. Iko hivi ; haki ya umiliki wa dunia yetu tuliigawa kwa shetani baada ya dhambi so shetani anaimiliki dunia hi kisheria kabisa, ndo sababu maandiko yanasema shetani Ni Mungu wa dunia hii.

Anachofanya Mungu Ni kutumia njia ya yesu kuikomboa tena lkn pia kuutangazia ulimwengu ukuu wake.
Bahati nzuri unajua kwamba shetani anaimiliki dunia hii, kwa hiyo sitegemei tena madai kuhusu miungu maana tayari utakuwa unajua chanzo Chao.
 
Yani dhambi za wanadamu ndo zimeigawa milki ya dunia kwa shetani? kwani mwanzo ilikuwa ya nani? ... yani kwamba shetani anamiliki hii dunia ambayo sisi wanadamu ndo tunazaliwa humu, tunaishi humu na tutakufa humu! ... kwamba shetani aliipokonya hii dunia kwa Mungu ama? ...Dah!!!

Nyie wakristo acheni kukufuru nyie ... hizi imani zenu zipo 100% in line na zile imani za kipagani za kirumi zakuamini watawala walikuwa ni miungu watu, ndo wale akina Thor, Zeus na Hercules. Mumetengenezewa imani ya kipagani kwa kutumia jina la Yesu. Msingi wenu wa imani ni 100% tofauti na imani iliyokuwepo kabla ya ukristo (uyahudi) na ni 100% in line na upagani wa kirumi .... bado hamuoni kuwa mnachezewa na warumi?????

Shetani hamiliki chochote acheni kumpa utukufu, mnakufuru kwa kumshirikisha Mungu na viumbe wake dhaifu juu ya umiliki wake Mungu mmoja. Kumshirikisha Mungu ni kumpa kiumbe mwengine sifa ambayo hiyo sifa ni ya Mungu pekee. Hebu tumieni akili basiiii!!!!! dah!
 
Na mimi nakujibu ifuatavyo

Uislam haujaanzia kwa Muhammad uislam umeanza tokea dunia inaumbwa mpka kwa adam na dini imekamilishwa kwa Muhammad kupewa kitabu Quran

Na kabla ya kupewa alikuwa akifunga na kusali kama ilivyo kuwa kwa Ibrahim na Musa

Swali lingine Leta
Haya kuna swali niliuliza sasa nakuletea ili ujue hayo unayo jibu ndiyo yanayo kufunga mwenyewe
Na mimi nakujibu ifuatavyo

Uislam haujaanzia kwa Muhammad uislam umeanza tokea dunia inaumbwa mpka kwa adam na dini imekamilishwa kwa Muhammad kupewa kitabu Quran

Na kabla ya kupewa alikuwa akifunga na kusali kama ilivyo kuwa kwa Ibrahim na Musa

Swali lingine Leta
Nafsi ya yesu ndiyo mungu ...miili siyo uzima uzima ni nafsi ....kituko ni Muhammad...
💥💥💥💥💥

Waislamu wanakuambia Muhammad nafsi yake ilitakasika toka ajafika duniani.. tena wanakuambia kafiri ndiyo anatakiwa kusilimu ...tena wanakuambia mtoto uzaliwa akiwa ni muislamu ...tena wanakuambia mitume wote wa kweli kina musa, issa, nk walikuwa waislamu ...sasa swali...Je Muhammad alikuwa kafiri maana ana ambiwa na malaika awe wa kwanza kusilimu, na mnasema kafiri ndiyo anatakiwa kusilimu ...je Muhammad alikuwa mcha mungu toka udogo wake ? ..kama ndiyo vipi asilimu tena ...kama ndiyo vipi alichanganyikiwa kutokewa na malaika ikiwa alikuwa ni mchamungu tena mkubwa kuliko wachamungu wote ...je muislamu usilimu kuwa muislamu ? Je washia wanaweza kusilimu kuwa wasunni ?
Kama matiki na fafanuzi ya uislamu wenyewe unadhibitisha kuwa Muhammad alikuwa kafiri ndiyo maana alitakiwa kusilimu mapangoni ....pia inathibitisha uislamu ni dini mpya.. FaizaFoxy BWANA UTAMU unisahidie nisipotee kwa kutokuelewa haya....bila ya kumsahau shekh mandazi adriz ... Malaria 2 MduduAli
Hili ni swali dogo sana niliuliza humu JF week kama 3 zilizo pita...nikawa tag na waislamu wenzako sikupata jibu hadi leo ...ninayo maswali makuu ambayo sijawai kuuliza hapa jf nataka nikuone wewe kama unao moyo ndiyo nitakuja na maswali kabambe yatakayo kufanya weweupoteze imani na huyo mudi boy wako...
Rabbon njoo uone jamaa kakimbia mapema sana kabla ya pambano ndiyo kwanza tunapasha misuri tu ili swali nilimuuliza muislamu siku za nyuma wote wakakimbia wasinipe majibu ...hata huyu sijui kana anakuja kujibu
 
Hapa ndo unapoanza kuhalalisha kisicho sawa, hata wewe mwenyewe unaona wazi kuwa hicho unachokiamini ni illogical.

Imani sio kuamini tu kibubusa! ... otherwise wewe unaamini vp kama kuabudu ng'ombe ni imani potofu? .... ukiona unashindwa ku-justify imani yako basi we jua huna tofauti na yule anayeamini ng'ombe kuwa ndo mungu na mwokozi wake.
Logic ya imani ipo juu ya imani..

Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
 
Yani dhambi za wanadamu ndo zimeigawa milki ya dunia kwa shetani? kwani mwanzo ilikuwa ya nani? ... yani kwamba shetani anamiliki hii dunia ambayo sisi wanadamu ndo tunazaliwa humu, tunaishi humu na tutakufa humu! ... kwamba shetani aliipokonya hii dunia kwa Mungu ama? ...Dah!!!

Nyie wakristo acheni kukufuru nyie ... hizi imani zenu zipo 100% in line na zile imani za kipagani za kirumi zakuamini watawala walikuwa ni miungu watu, ndo wale akina Thor, Zeus na Hercules. Mumetengenezewa imani ya kipagani kwa kutumia jina la Yesu. Msingi wenu wa imani ni 100% tofauti na imani iliyokuwepo kabla ya ukristo (uyahudi) na ni 100% in line na upagani wa kirumi .... bado hamuoni kuwa mnachezewa na warumi?????

Shetani hamiliki chochote acheni kumpa utukufu, mnakufuru kwa kumshirikisha Mungu na viumbe wake dhaifu juu ya umiliki wake Mungu mmoja. Kumshirikisha Mungu ni kumpa kiumbe mwengine sifa ambayo hiyo sifa ni ya Mungu pekee. Hebu tumieni akili basiiii!!!!! dah!
Kama unapinga sawa pinga lakini haikufanyi uwe sahihi.. kwa nini watu wanaumwa? Haya sio mambo ambayo Mungu alimuumbia binadamu.. Mungu alimuumba binadamu akamuweka dunia ampe utukufu sio haya yanatokea. Haya yanayotokea ni matokeo ya dhambi ni matokeo ya kutukumtii Mungu na badala yake hatui vile Mungu alitukusudia.
Na ni kweli kama hujamuamini Yesu kristo upo chini ya shetani na ni chombo chake kwa kujua ama pasipo kujua..

Waefeso 2:1.,2.,3.
1. Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; 2. ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi; 3. ambao zamani, sisi sote nasi tulienenda kati yao, katika tamaa za miili yetu, tulipoyatimiza mapenzi ya mwili na ya nia, tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira kama na hao wengine.
 
Yani dhambi za wanadamu ndo zimeigawa milki ya dunia kwa shetani? kwani mwanzo ilikuwa ya nani? ... yani kwamba shetani anamiliki hii dunia ambayo sisi wanadamu ndo tunazaliwa humu, tunaishi humu na tutakufa humu! ... kwamba shetani aliipokonya hii dunia kwa Mungu ama? ...Dah!!!

Nyie wakristo acheni kukufuru nyie ... hizi imani zenu zipo 100% in line na zile imani za kipagani za kirumi zakuamini watawala walikuwa ni miungu watu, ndo wale akina Thor, Zeus na Hercules. Mumetengenezewa imani ya kipagani kwa kutumia jina la Yesu. Msingi wenu wa imani ni 100% tofauti na imani iliyokuwepo kabla ya ukristo (uyahudi) na ni 100% in line na upagani wa kirumi .... bado hamuoni kuwa mnachezewa na warumi?????

Shetani hamiliki chochote acheni kumpa utukufu, mnakufuru kwa kumshirikisha Mungu na viumbe wake dhaifu juu ya umiliki wake Mungu mmoja. Kumshirikisha Mungu ni kumpa kiumbe mwengine sifa ambayo hiyo sifa ni ya Mungu pekee. Hebu tumieni akili basiiii!!!!! dah!
Jifunzeni Kama huwezi pita kule, maana huelewi maandiko na kutega sikio pia hutaki
Sasa unataka Nini? Neno ndivyo linavyosema.

Acha wivu wa kijinga, kwahiyo Mimi kumtukuza mrumi na wewe kutawaliwa na cc* kipi Bora?

Shetani tulimuuzia umiliki wa dunia yetu iko hivyo na ukitaka kutoka utumwani lazima umkuri yesu kristo ndipo utakuwa huru. Kwa hiyo wewe siku zote uko utumwani alafu hujui wewe Ni mzima kweli?
 
Back
Top Bottom