Pia zamani kelele sio nyingi kama sasa, mara pikipiki, magari , viwanda, na kelele za population kubwa, pia vitabu vinasimulia kuna mda alipanda mlimani kuhubiriEti wanasema watu wa zamani walikuwa na uwezo mkubwa, yaani unaweza ukawa Posta halafu ukazungumza na mtu wa Mbezi Mwisho na mnasikilizana bilashida...
Hii inafikirisha sana, hizi ngano za kale ukiwa na akili vizuri zinaanza kuwa chai tuu 😂☕️Niko hapa kujifunza.
Unataka kusemaje Mkuu? Funguka vizuri wataalamu wa Theology waje watapike walivyomezeshwaNiko hapa kujifunza.
Uwezo ni kweli upo ila sio kwa kutegemea meditationEti wanasema watu wa zamani walikuwa na uwezo mkubwa, yaani unaweza ukawa Posta halafu ukazungumza na mtu wa Mbezi Mwisho na mnasikilizana bilashida...
Usimfananishe Yesu na binadamu. Hana mfano wake.Niko hapa kujifunza.
Bikira maria alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu🤔Hii inafikirisha sana, hizi ngano za kale ukiwa na akili vizuri zinaanza kuwa chai tuu 😂☕️
Hiz ni fix za waziBikira maria alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu🤔
👉huyu roho mtakatifu kwanini hawampi mimba Wanawake wagumba?
Kwani binadamu ana kasoro gani???Usimfananishe Yesu na binadamu. Hana mfano wake.