CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Inasikitisha sana .
Vijana wanashinda Jamii Forum hawamjui Yesu.
Yesu alikamilika Kila Idara
Mwanasayansi, Mwalimu, Muhubiri, Mfalme nk nk nk nk.....
1. Yesu alikuwa anasimama Juu ya Milima mirefu kuhubiri.
Rejea Mahubiri ya mlimani
Mathayo 5-7
2. Yesu alikuwa ana Amplifie.
Alikuwa anatumia mawimbi na Upepo wa Bahari kuweza kufikisha Ujumbe kwa watu..
Rejea alipokuwa akienda Baharini kuvua na kuwafanya akina petro kuwa wavuvi wa watu. Luka 5:1-
3. Yesu alikuwa na uwezo wa kutoa sauti ya Juu sana Bila Mike wala Speaker.
Rejea mahubiri yake ya Kwenye sinagogi, Msalabani.
Akapaza sauti yake akisema........
Luke 22:46.
4. Yesu alikuwa Mungu kweli na Mwanadamu kweli kweli kwa asilimia 1000.
ALiweza kufikisha ujumbe kwa Namna nyingi sana ambazo huwezi kuzimaliza.
5. NASIKITIKA SANA KIJANA ANASHINDA JAMII FORUM LAKINI HAMJUI YESU.