BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Asifananishwe na binadamu vipi wakati alidundwa na wanadamu mpaka akafia msalabani?Usimfananishe Yesu na binadamu. Hana mfano wake.
Asifananishwe na binadamu vipi wakati alidundwa na wanadamu mpaka akafia msalabani?Usimfananishe Yesu na binadamu. Hana mfano wake.
Hivi zile vita za zamani kugombea maeneo Ulaya na Asia ( Kingdom expansion confrontations) wanajeshi wakikisanyika kama wanavyopotray kwenye movies za sasa kwanza wanaongea then wakishindqa kukubaliana vita vinaanza walikuwa wanatumia vipaza sauti? Mbona tunaoneshwa walikuwa wakipaza sauti tu na ujumbe unafika?Eti wanasema watu wa zamani walikuwa na uwezo mkubwa, yaani unaweza ukawa Posta halafu ukazungumza na mtu wa Mbezi Mwisho na mnasikilizana bilashida...
Kwani unaonyeshwa uhalisia au recorded?Hivi zile vita za zamani kugombea maeneo Ulaya na Asia ( Kingdom expansion confrontations) wanajeshi wakikisanyika kama wanavyopotray kwenye movies za sasa kwanza wanaongea then wakishindqa kukubaliana vita vinaanza walikuwa wanatumia vipaza sauti? Mbona tunaoneshwa walikuwa wakipaza sauti tu na ujumbe unafika?
Imeandikwa kuna majamaa yalikuwa yanasubiri muda wa msosi tu.Kwani iliandikwa wote waliweza kusikia vyema bwashee?
Kitabu chenu Cha mafumbo kinasema binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu Lakini pia kinasema ufalme wa Mungu upo ndani yako unapingana na kitabu unachokiita kitakatifu?Usimfananishe Yesu na binadamu. Hana mfano wake.
Yohana 6 .26Imeandikwa kuna majamaa yalikuwa yanasubiri muda wa msosi tu.
Sasa hao waliofata mikate ndo wamekuja kukusanya maneno yanayotuchanganya...Yohana 6 .26
“...Mnanifuata, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.”
Fix tu mkuuSasa hao waliofata mikate ndo wamekuja kukusanya maneno yanayotuchanganya...
Hakuna sehemu ngumu kuielewa kama
Yesu Mungu au Yesu mwana wa Mungu vyovyote iwavo halafu eti apigwe na viumbe wake au viumbe wa babake mpaka afe
Halafu sababu eti wapate kufutiwa dhambi hao viumbe wake au wababake..
Sasa ilishindikanaje kuwafutia dhambi bila ya kumpiga Mungu au mwana wa Mungu?
Sasa kama na yeye alikufa anatofauti ipi na wanadamu!!!
Majeshi yalikuwa yanapangwa kwenye units, mfalme anatoa amri, hamasa na mawasiliano kwa wanajeshi waliokuwa karibu naye zaidi kisha inasambaa kwenda mpaka kwa mwanajeshi mstari wa mbele kabisa. Units kubwa zaidi katika jeshi la Kirumi kwa mfano ilikuwa na idadi ya wajeshi 5,000.Hivi zile vita za zamani kugombea maeneo Ulaya na Asia ( Kingdom expansion confrontations) wanajeshi wakikisanyika kama wanavyopotray kwenye movies za sasa kwanza wanaongea then wakishindqa kukubaliana vita vinaanza walikuwa wanatumia vipaza sauti? Mbona tunaoneshwa walikuwa wakipaza sauti tu na ujumbe unafika?
Bora wewe umejibu kutokana na uwelewa wa kimedani kuliko alivyojibu BIN NUN kutokana na swali la kimtego nililouliza.Majeshi yalikuwa yanapangwa kwenye units, mfalme anatoa amri, hamasa na mawasiliano kwa wanajeshi waliokuwa karibu naye zaidi kisha inasambaa kwenda mpaka kwa mwanajeshi mstari wa mbele kabisa. Units kubwa zaidi katika jeshi la Kirumi kwa mfano ilikuwa na idadi ya wajeshi 5,000.
😆😆😆 Don't take things too seriousNiko hapa kujifunza.
Yasiyowezekana kwa mwanadamu, yanawezekana kwa MunguNiko hapa kujifunza.
Shetani akiweka makazi nafsini mwako, kamwe hutaelewa mambo yamhusuyo Mungu, Yesu Kristo, mitume wake Mungu wala manabii wake.Sasa hao waliofata mikate ndo wamekuja kukusanya maneno yanayotuchanganya...
Hakuna sehemu ngumu kuielewa kama
Yesu Mungu au Yesu mwana wa Mungu vyovyote iwavo halafu eti apigwe na viumbe wake au viumbe wa babake mpaka afe
Halafu sababu eti wapate kufutiwa dhambi hao viumbe wake au wababake..
Sasa ilishindikanaje kuwafutia dhambi bila ya kumpiga Mungu au mwana wa Mungu?
Sasa kama na yeye alikufa anatofauti ipi na wanadamu!!!
Atakuwa kalewa huyoKwani iliandikwa wote waliweza kusikia vyema bwashee?
ukijua n jinsi gan wafalme wa enzi izo waliongea na umma wao au viongozi wa jesshi waliwaamuru vip junior wao huwez pata shidaNiko hapa kujifunza.
Mzee yosefu alichapiwa na wahuni.Bikira maria alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu🤔
👉huyu roho mtakatifu kwanini hawampi mimba Wanawake wagumba?
Yesu alitumia njia kawaida kungea na watu elfu tano alikuwa anatembeaUsimfananishe Yesu na binadamu. Hana mfano wake.
Mkuu unaandika porojoShetani akiweka makazi nafsini mwako, kamwe hutaelewa mambo yamhusuyo Mungu, Yesu Kristo, mitume wake Mungu wala manabii wake.
Hii ni ili lile andiko lipate kutimia:
'Amewaficha mambo haya wenye akili, akawafunulia walio wanyenyekevu". Huwezi kumwelewa Mungu, Yesu Kristo, Roho Mtakatifu, kwa kutumia akili na hekima ya kibinafamu pekee.
Utakapojaliwa moyo wa unyenyekevu, na Roho akakaa ndani mwako, utaelewa yafuatayo:
1. Yesu katika nafsi ya Mungu, alikuwepo hata kabla ya kuzaliwa Duniani. Yeye mwenyewe anasema kuwa alikuwepo kabla ya Musa, na kabla ya Ibrahimu. Anasema kuwa alikuwako kabla ya Ulimwengu kuwako. Yesu anawaambia watu kuwa Yeye ni Bwana wa Sabato.
2. Yesu kuzaliwa mwanadamu ulikuwa ni mpango wa Mungu kumfundisha mwanadamu juu ya ukuu wa Mungu, na kumfundisha mwanadamu anavyotakiwa kufanya ili kuyatimiza mapenzi ya Mungu. Yesu alipofanyika mwanadamu, alikuwa mwanadamu halisi, lakini ndani yake akiwa na mamlaka ya mawasiliano ya kiMungu na kule alikokuwa ametoka, ndiyo maana aliweza kuyafanya ambayo mwanadamu hana uwezo wa kuyafanya.
3. Yesu kwa kuwa mwanadamu, aliuacha utukufu wa kiMungu, ndiyo maana baada ya kumaliza kazi ,yake Duniani, anamwomba Mungu Baba:
Yohana 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
4. Yesu akiwa mwanadamu aliruhusu kutendewa kama mwanadamu anavyoweza kutendewa, ndiyo maana aliwaacha wamkamate, wampige, wamsulibishe msalabani, licha ya kuwa alikuwa na uwezo wa kuyazuia yote. Ndiyo maana Wayahudi walishangaa sana kuona amekamatwa na kufanyiwa uovu wote, hata wakaweza kusema, 'aliokoa wengine, hawezi kujiokoa mwenyewe?'. Na baadaye, baada ya kufufuka anaonesha wazi kuwa aliamua kuyaruhusu yote dhidi yake kwa hiari yake, pale alipowaambia wanafunzi wake: Kwa hiari yangu nilikubali kuutoa uhai wangu ili baadaye niuchukue tena".
5. Yesu wakati anaondoka Duniani, aliweka wazi kuwa sasa haendelei kuwa mwanadamu, yeye yupo juu ya viumbe vyote, na yupo katika mamlaka ya kiMungu, anasema kuwa, "hatawaacha wafuasi wake yatima, bali atakuwa pamoja nao mpaka mwisho wa dahari'. Lakini anawaambia kuwa atarudi tena kuja kuuhukumu Ulimwengu.
Kauli ya Yesu, "Bwana Unirudishie sasa ule utukufu niliokuwa nao pamoja nawe, kabla ya Ulimwengu kuwako", inahitimisha katika kumjua Yesu kiuhalisia alikuwa nani, na alipokuwa mwanadamu aliuacha utukufu aliokuwa nao.
Kwa hiyo ukiwa unatembea ndiyo sauti inasikika zaidi?Yesu alitumia njia kawaida kungea na watu elfu tano alikuwa anatembea