YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam ,shalom!

Hii ni habari njema!!

GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊

Asomaye na afahamu,

Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.

Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.

Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Mathew 1:18
Kuzaliwa kwake YESU Kristo kulikuwa hivi. Mariam mama yake alipokuwa ameposwa na Yusuph, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho mtakatifu.

Yusuph akadhamiria kumwacha, ila malaika akamtokea ndotoni kukwambia asimwache amlee.

Somo hapo ni kuwa, Mungu alikuja mwenyewe Katika mwili wa mwanadamu kwa kazi maalum ya ukombozi.

Na kwa kuwa, Yusuph hakuhusika Katika kupatikana kwa YESU, anakuwa baba mlezi tu,
Na Mary kwa kuwa alikuwa Bikra kabla ya kupata ujauzito na baada ya ujauzito, pia SI mama wa YESU, ni mama mlezi tu kama alivyo Yusuph. (Isaya 7:14),( Mathew 1:23)

YESU NI MUNGU AJE.
(Isaya 9:6-7)
6: Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume,
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa JINA lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa Amani.
7: Maongeo ya enzi yake na amani hayatakuwa na mwisho kamwe,
Katika kiti Cha enzi Cha Daudi na Ufalme wake,
Kuuthibitisha na kuutegemeza,

Kwa hukumu na kwa haki,
Tangu sasa na hata milele.

Wivu wa BWANA wa majeshi ndio utakaotenda hayo.

...Mwisho wa kunukuu...

Yaani kumbe YESU ndiye Mungu Baba Katika roho ( Isaya 9:6), ndiye aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu.

Hii ni Siri kubwa.

Ikiwa hujampa YESU Kristo maisha yako, fuatisha salaam hii:

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO,NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA,NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU ISINISHINDE, UZINZI USINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN
 
Isaya 7:14
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama bikra atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume,naye atamwita JINA lake IMANUEL.

Mathew 1:23
Tazama bikra atachukua mimba,

Naye atazaa mwana,

Nao watamwita JINA lake Imanuel yaani Mungu pamoja nasi.

...Mwisho wa kunukuu....

FUNZO

Kumbe Mungu aweza yote, bikra aweza kuchukua mimba na kuzaa mtoto.
 
Ieleweke pia kuwa,

Huyu Mungu ALIYE kuja Katika mwili wa mwanadamu YESU/ Imanuel,

Alikuja kwa wanadamu wote kuwakomboa,

Hivyo Aliyezaliwa SI spesho kwa wakristo pekee, ni kwa watu wote, including Islams,

Hakuna mkombozi mwingine zaidi ya YESU.

Copy kwa idris omar ,Ritz ,FaizaFoxy ,Malaria 2
 
Salaam ,shalom!

Hii ni habari njema!!

GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊

Asomaye na afahamu,

Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.

Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.

Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Mathew 1:18
Kuzaliwa kwake YESU Kristo kulikuwa hivi. Mariam mama yake alipokuwa ameposwa na Yusuph, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho mtakatifu.

Yusuph akadhamiria kumwacha, ila malaika akamtokea ndotoni kukwambia asimwache amlee.

Somo hapo ni kuwa, Mungu alikuja mwenyewe Katika mwili wa mwanadamu kwa kazi maalum ya ukombozi.

Na kwa kuwa, Yusuph hakuhusika Katika kupatikana kwa YESU, anakuwa baba mlezi tu,
Na Mary kwa kuwa alikuwa Bikra kabla ya kupata ujauzito na baada ya ujauzito, pia SI mama wa YESU, ni mama mlezi tu kama alivyo Yusuph. (Isaya 7:14),( Mathew 1:23)

YESU NI MUNGU AJE.
(Isaya 9:6-7)
6: Maana kwa akili yetu mtoto amezaliwa,
Tumeewa mtoto mwanamume,
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa JINA lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa Amani.
7: Maongeo ya enzi yake na amani hayatakuwa na mwisho kamwe,
Katika kitu Cha enzi Cha Daudi na Ufalme wake,
Kuuthibitisha na kuutegemeza,

Kwa hukumu na kwa haki,
Tangu sasa na hata milele.

Wivu wa BWANA wa majeshi ndio utakaotenda hayo.

...Mwisho wa kinukuu...

Yaani kumbe YESU ndiye Mungu Baba Katika roho, ndiye aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu.

Hii ni Siri kubwa.

Ikiwa hujampa YESU Kristo maisha yako, fuatisha salaam hii:

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO,NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA,NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU ISINISHINDE, UZINZI ISINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN
Sijaelewa bro katika heading umesema Yesu Hana baba Wala mama alafu ndani Uzi unaelezea habari za mama yake Yesu

Au dish lako limeyumba kidogo?
 
Hana biological father wala biological mother,

Waliotajwa ni walezi wa YESU.

Usiyumbishe dishi lako, kaa kwa kutulia.

YESU ndiye Mungu mwana,

Mungu roho mtakatifu,

Ndiye Mungu baba (isaya 9:6)

Mungu ni mmoja tu, na jinale ni YESU Kristo/ Yeshua Hamashiach
 
Una uhakika gani yesu amezaliwa 25 dec
 
Aliyezaliwa ndiye MELKIZEDEK

Waebrania 6:20
Alimoingia YESU kwa ajili yetu, mtangulizi wetu,amekuwa kuhani Mkuu hata milele kwa mfano wa Melkizedek.
 
Hana biological father wala biological mother,

Waliotajwa ni walezi wa YESU.

Usiyumbishe dishi lako, kaa kwa kutulia.

YESU ndiye Mungu mwana,

Mungu roho mtakatifu,

Ndiye Mungu baba (isaya 9:6)

Mungu ni mmoja tu, na jinale ni YESU Kristo/ Yeshua Hamashiach
Kwahiyo unataka kusema Yesu hakukaa tumboni Kwa Mariam miezi 9?

Unataka kusema Yesu hakuwa na kitovu ?

Ndio maana Nina wasisi na wewe huenda labda Dish lako limeyumba
 
Una uhakika gani yesu amezaliwa 25 dec
YESU ameficha tarehe ya kuzaliwa kwake sababu alijua wanadamu wangeanza kuabudu tarehe. Ndio maana wote wanababia tu tarehe, hawajui specific date sababu ni code.

Important thing ni kuwa YESU ni MUNGU alikuja Katika mwili wa mwanadamu na akazaliwa.

Aamen
 
Ao no need ya kusheherekea xmass
 
Kwahiyo unataka kusema Yesu hakukaa tumboni Kwa Mariam miezi 9?

Unataka kusema Yesu hakuwa na kitovu ?

Ndio maana Nina wasisi na wewe huenda labda Dish lako limeyumba
Kukaa tumboni SI kuwa mama wa mtoto,

Biologically mtoto ni wa baba,

Sasa kwa kuwa Yusuph hakuwa biological father wa YESU, Mary pia SI mama wa YESU kimwilli maana DNA haiwezi soma mwanadamu yeyote, SI Mary wala Yusuph

Ndo kusema hoja kuwa YESU hana baba wala mama.

YESU ni MUNGU KATIKA mwili wa mwanadamu.
 
Mathew 13:11.
YESU awambia wanafunzi wake,

Ninyi mmejaaliwa kuzijua Siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaaliwa .

... mwisho wa kunukuu...

Kuanzia Leo hii, ukishajua kuwa YESU Kristo hana baba wala biological mother,hata JINA lake utalitaja kwa uhakika zaidi.

Na utajua YESU ni JINA la Mungu.

Utajua kuwa usilitaje Bure,JINA la Mungu Katika mizaha, maana imeandikwa,

Usilitaje Bure JINA la BWANA Mungu wako.

Aamin
 
Huu uzi ni kipumbavu kwa mwaka huu
Imeandikwa,

1 Corinthians 1:25

Kwa sababu upumbavu wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu., na udhaifu wa Mungu, una nguvu zaidi ya wanadamu,

Neno la Mungu limesema tazama bikra atachukua mimba na atazaa mtoto mwanamume.

WEWE unakaza fuvu, shauri yako,

Ila ujue jambo muhimu kuwa,
YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu,

Hana baba wala mama.

Na verses nimeweka hapo.

Karibu
 
Hilo neno Mungu alitoa mbele ya mashaidi Gani?
 
Back
Top Bottom