YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

Hukumu gani?
Ipo siku ya hukumu/ kiama kwa wenye dhambi,

Ndio wale wote waliomkataa YESU Kristo/ Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu Ili kuukomboa ulimwengu juu ya dhambi.

Amin uokoke.

Ni Bure kabisa, YESU alishamaliza kazi ya ukombozi msalabani.

Inabaki kwako kuamini Ili uokolewe toka dhambini, au ukatae na kusubiri hukumu ya milele.
 
Ipo siku ya hukumu/ kiama kwa wenye dhambi,

Ndio wale wote waliomkataa YESU Kristo/ Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu Ili kuukomboa ulimwengu juu ya dhambi.

Amin uokoke.

Ni Bure kabisa, YESU alishamaliza kazi ya ukombozi msalabani.
Hapana hakuna hukumu wala kiama
 
Hapana hakuna hukumu wala kiama
Ipo hiyo,

Hata shetani anajua ipo, wachawi wanajua ipo,

Ila wanajitahidi kukwambia wanadamu KUPITIA mmanabii na mafundisho ya uongo ya mashetani kuwa hakuna kiama.

Nenda Israel, upo mji unaitwa Sodoma, ni majivu hata sasa.

Siku hiyo ipo, hata kama mtu atakuwa anekufa kabla ya siku hiyo, atafufuliwa Ili kupata hukumu ya milele.

So usiishi dhambi ni ukiamini ukifa ndo mwisho.

SI kweli hiyo, kiama ipo, kuzimu ipo, na Jehamum itakuwa tayari siku ya kiama/ hukumu.

Amini uokoke
 
Fasihi simulizi, hekaya Tu hizo. Adam mpaka Leo hii anasubiri kiama tu!? Skia kuna time itafika na wewe utakufa na yatapita mabilioni ya miaka Hadi kizaz kilichobaki wataona kama nawewe ulikufa enzi za Adam vile.
Maisha Yetu yana mwisho ila dunia haina mwisho mzee
 
Dunia Ina mwisho,

Tangu Adam Hadi Ndugu Dunia iliangamizwa yote kwa maji.

Nuhu alianza up ya.

Hata sasa mwisho waja.

Kuamini ni Bure,

Ni kheri kuamini, kuliko kutoamini Kisha ukutane na Mungu/ YESU siku ya kiama.

Be humble, YESU akupenda.
 
Ukiskia habari za nuhu unadhani mafuriko yalitokea dunia nzima mzee, No ni kama Gomorrah Tu shida ilitokea kwenye kamji Fulani Tu. Hakukuwa na mafuriko ya dunia nzima na geography inagoma Hilo. Ndio maana kangaroo unawapata Australia pekee, haya hiyo Stori ya nuhu uongo ni mwingi huitaji hata kuiamini kiasi hiko.
 
Kukaa tumboni SI kuwa mama wa mtoto,

Biologically mtoto ni wa baba,

Sasa kwa kuwa Yusuph hakuwa biological father wa YESU, Mary pia SI mama wa YESU kimwilli maana DNA haiwezi soma mwanadamu yeyote, SI Mary wala Yusuph

Ndo kusema hoja kuwa YESU hana baba wala mama.

YESU ni MUNGU KATIKA mwili wa mwanadamu.
Nakuonea huruma jinsi Wazungu walivyo kudanganya

Hivi unajua kuwa hata mimba ya Isaka ilipatakana kama ilivyopatikana mimba ya Yesu?
 
Ndio hivyo,

Yusuph SI biological father wa YESU,

Wala Mary sio biological mother wa YESU,

Ingekuwa Leo, ungechukua DNA yake, ingeleta utata, sababu YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu.

Hata walevi huwa tunawahubiria bila shida maana pombe huingia tumboni na ubongoni, SI Katika akili iliyo Katika nafasi na roho.
Maelezo yako yanajichanganya sana
mungu gani anazaliwa hana dingi wala maza?

na kazaliwa kuja kuikomboa dunia aliyoiumba mwenyewe?

Hivi nyie pimbi viazi ni lini akili zenu zitarudi?!
Mungu anazaliwa?

Mhudumu ongeza nyagi moja!
 
Maelezo hayajichanganyi maana nimequote bible verses.

Mungu alikuja Katika mwili wa mwanadamu,

Aliumba mwili Katika tumbo la Mariam, akazaliwa kama sisi.

YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu, hana baba wala mama,

Ni mfalme wa milele, usokuwa na mwisho.

Ikiwa unajua Mungu ni mweza wa yote,

Ashindwe vipi kujishusha akavaa mwili awe kama sisi?
 
Sio JIBU.hawezi kuwa nabii bila kuwa na dini.
NABII ISAYA ALIKUWA DINI GANI?
Jikite kwenye mada,

Mada haiongelei Dini ya nabii ISAIAH.

Mada ni juu ya YESU ALIYEZALIWA,HANA BABA WALA MAMA,NI MUNGU ALIYEKUJA KATIKA MWILI WA MWANADAMU.

Karibu
 
Jikite kwenye mada,

Mada haiongelei Dini ya nabii ISAIAH.

Mada ni juu ya YESU ALIYEZALIWA,HANA BABA WALA MAMA,NI MUNGU ALIYEKUJA KATIKA MWILI WA MWANADAMU.

Karibu
Nabii ISAYA HAWEZI KUTABIRIU JIO WA YESU IKIWA SIO MWENZIE.vinginevyo huo utabiri wa nabii ISAYA HAUMUHUSU YESU
 
Maelezo hayajichanganyi maana nimequote bible verses.

Mungu alikuja Katika mwili wa mwanadamu,

Aliumba mwili Katika tumbo la Mariam, akazaliwa kama sisi.

YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu, hana baba wala mama,

Ni mfalme wa milele, usokuwa na mwisho.

Ikiwa unajua Mungu ni mweza wa yote,

Ashindwe vipi kujishusha akavaa mwili awe kama sisi?
Avae mwili kama sisi ili aje kufanya nini?
unajua maana ya muweza ya yote?
 
Hiyo yote ni sababu aje kukuokoa sababu anakupenda,

Asingependa upotee na kuangamia siku ya kiama.
Km ni hivyo basi sio muweza wa yote
mungu gani anatumia njia ndefuu
Mungu gani anazaliwa na binadamu?
 
Aliyezaliwa ndiye MELKIZEDEK

Waebrania 6:20
Alimoingia YESU kwa ajili yetu, mtangulizi wetu,amekuwa kuhani Mkuu hata milele kwa mfano wa Melkizedek.
Hivi nani alimwita yesu Emanueli ??
 
YESU ameficha tarehe ya kuzaliwa kwake sababu alijua wanadamu wangeanza kuabudu tarehe. Ndio maana wote wanababia tu tarehe, hawajui specific date sababu ni code.

Important thing ni kuwa YESU ni MUNGU alikuja Katika mwili wa mwanadamu na akazaliwa.

Aamen

Usituletee maneno ya mchungaji wako , hakuna mahali yesu alisema yeye ni mungu katika mwili wa binadamu
 
Hiyo yote ni sababu aje kukuokoa sababu anakupenda,

Asingependa upotee na kuangamia siku ya kiama.
Kwa mujibu wa biblia alishindwa kujiokoa mwenyewe na kichapo cha mbwa koko , atakuja kukuokoa wewe ?
 
Imeandikwa,

1 Corinthians 1:25

Kwa sababu upumbavu wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu., na udhaifu wa Mungu, una nguvu zaidi ya wanadamu,

Neno la Mungu limesema tazama bikra atachukua mimba na atazaa mtoto mwanamume.

WEWE unakaza fuvu, shauri yako,

Ila ujue jambo muhimu kuwa,
YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu,

Hana baba wala mama.

Na verses nimeweka hapo.

Karibu

Kauli ya kukufuru ya Paulo:

Hebu tusome kile Paulo alichosema katika Biblia zilizoharibiwa:

“Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima kuliko hekima ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu za wanadamu.”
(Kutoka Biblia ya NIV, 1 Wakorintho 1:25)
Hapa kuna tafsiri nyingi za Kiingereza za aya hii. Kihalisi, karibu asilimia 100 ya tafsiri zote za Kiingereza zinakubaliana:

1 Wakorintho 1:25 (New International Version)
25 Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima kuliko hekima ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu za wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (New American Standard Bible)
25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (Amplified Bible)
25 [Hii ni] kwa sababu jambo la kipumbavu [lenye asili yake] kwa Mungu lina hekima kuliko wanadamu, na jambo dhaifu [linalotoka] kwa Mungu lina nguvu kuliko wanadamu.

Kwa sababu kitu cha kijinga katika MUNGU???
1 Wakorintho 1:25 (New Living Translation)
25 Mpango huu wa kipumbavu wa Mungu una hekima kuliko mipango yote ya kibinadamu iliyo na hekima, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu zote kuu za kibinadamu.

1 Wakorintho 1:25 (King James Version)
25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu; na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (English Standard Version)
25 Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (Contemporary English Version)
25 Hata Mungu anapokuwa mpumbavu, yeye ni mwenye hekima kuliko wote wengine, na hata Mungu anapokuwa dhaifu, yeye ni mwenye nguvu kuliko wote wengine.

Hata MUNGU anapokuwa mjinga???
1 Wakorintho 1:25 (New King James Version)
25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (21st Century King James Version)
25 Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (American Standard Version)
25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu; na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (Young's Literal Translation)
25 kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu;

1 Wakorintho 1:25 (Darby Translation)
25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (Holman Christian Standard Bible)
25 kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima kuliko hekima ya kibinadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya kibinadamu.

1 Wakorintho 1:25 (New International Reader's Version)
25 Mambo ya kipumbavu ya Mungu yana hekima kuliko hekima ya wanadamu. Udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.

Mambo ya kijinga ya MUNGU???
1 Wakorintho 1:25 (Wycliffe New Testament)
25 Kwa maana kile kilicho cha upumbavu cha Mungu kina hekima kuliko wanadamu; na kile kilicho dhaifu cha Mungu [na kile kilicho mgonjwa, au dhaifu sana, cha Mungu] kina nguvu kuliko wanadamu.

Mambo ya upumbavu ya MUNGU???
1 Wakorintho 1:25 (New International Version – UK)
25 Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima kuliko hekima ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu za wanadamu.

1 Wakorintho 1:25 (Today's New International Version)
25 Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima kuliko hekima ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu za wanadamu.

Hebu tuchambue aya hii ya kipumbavu na ya kukufuru kutoka kwa Paulo:

1- Bila kujali jinsi MUNGU alivyo mwenye akili au alivyo “mjinga,” na sisi wanadamu tulivyo, akili zetu kamwe hazitafikia hata kile kinachoitwa upumbavu wa MUNGU!

2- MUNGU ni mpumbavu.

3- MUNGU ni dhaifu.

4- Mwanadamu ni mpumbavu zaidi na dhaifu zaidi kuliko MUNGU

5- Ulinganisho wenyewe ni wa matusi na wa kumdhalilisha sana MUNGU Mwenyezi. Pia unamwekea mipaka, kwa kuwa akili na nguvu zetu zilizo na mipaka na zenye ukomo zimelinganishwa na Sifa Zake zisizo na mipaka na zisizo na ukomo.
 
Back
Top Bottom