Sijaelewa bro katika heading umesema Yesu Hana baba Wala mama alafu ndani Uzi unaelezea habari za mama yake YesuSalaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWSπ π₯π₯ππ
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Mathew 1:18
Kuzaliwa kwake YESU Kristo kulikuwa hivi. Mariam mama yake alipokuwa ameposwa na Yusuph, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho mtakatifu.
Yusuph akadhamiria kumwacha, ila malaika akamtokea ndotoni kukwambia asimwache amlee.
Somo hapo ni kuwa, Mungu alikuja mwenyewe Katika mwili wa mwanadamu kwa kazi maalum ya ukombozi.
Na kwa kuwa, Yusuph hakuhusika Katika kupatikana kwa YESU, anakuwa baba mlezi tu,
Na Mary kwa kuwa alikuwa Bikra kabla ya kupata ujauzito na baada ya ujauzito, pia SI mama wa YESU, ni mama mlezi tu kama alivyo Yusuph. (Isaya 7:14),( Mathew 1:23)
YESU NI MUNGU AJE.
(Isaya 9:6-7)
6: Maana kwa akili yetu mtoto amezaliwa,
Tumeewa mtoto mwanamume,
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa JINA lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa Amani.
7: Maongeo ya enzi yake na amani hayatakuwa na mwisho kamwe,
Katika kitu Cha enzi Cha Daudi na Ufalme wake,
Kuuthibitisha na kuutegemeza,
Kwa hukumu na kwa haki,
Tangu sasa na hata milele.
Wivu wa BWANA wa majeshi ndio utakaotenda hayo.
...Mwisho wa kinukuu...
Yaani kumbe YESU ndiye Mungu Baba Katika roho, ndiye aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu.
Hii ni Siri kubwa.
Ikiwa hujampa YESU Kristo maisha yako, fuatisha salaam hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO,NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA,NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU ISINISHINDE, UZINZI ISINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN
Hana biological father wala biological mother,Sijaelewa bro katika heading umesema Yesu Hana baba Wala mama alafu ndani Uzi unaelezea habari za mama yake Yesu
Au dish lako limeyumba kidogo?
Una uhakika gani yesu amezaliwa 25 decSalaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWSπ π₯π₯ππ
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Mathew 1:18
Kuzaliwa kwake YESU Kristo kulikuwa hivi. Mariam mama yake alipokuwa ameposwa na Yusuph, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho mtakatifu.
Yusuph akadhamiria kumwacha, ila malaika akamtokea ndotoni kukwambia asimwache amlee.
Somo hapo ni kuwa, Mungu alikuja mwenyewe Katika mwili wa mwanadamu kwa kazi maalum ya ukombozi.
Na kwa kuwa, Yusuph hakuhusika Katika kupatikana kwa YESU, anakuwa baba mlezi tu,
Na Mary kwa kuwa alikuwa Bikra kabla ya kupata ujauzito na baada ya ujauzito, pia SI mama wa YESU, ni mama mlezi tu kama alivyo Yusuph. (Isaya 7:14),( Mathew 1:23)
YESU NI MUNGU AJE.
(Isaya 9:6-7)
6: Maana kwa akili yetu mtoto amezaliwa,
Tumeewa mtoto mwanamume,
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa JINA lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa Amani.
7: Maongeo ya enzi yake na amani hayatakuwa na mwisho kamwe,
Katika kitu Cha enzi Cha Daudi na Ufalme wake,
Kuuthibitisha na kuutegemeza,
Kwa hukumu na kwa haki,
Tangu sasa na hata milele.
Wivu wa BWANA wa majeshi ndio utakaotenda hayo.
...Mwisho wa kinukuu...
Yaani kumbe YESU ndiye Mungu Baba Katika roho, ndiye aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu.
Hii ni Siri kubwa.
Ikiwa hujampa YESU Kristo maisha yako, fuatisha salaam hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO,NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA,NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU ISINISHINDE, UZINZI ISINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN
Kwahiyo unataka kusema Yesu hakukaa tumboni Kwa Mariam miezi 9?Hana biological father wala biological mother,
Waliotajwa ni walezi wa YESU.
Usiyumbishe dishi lako, kaa kwa kutulia.
YESU ndiye Mungu mwana,
Mungu roho mtakatifu,
Ndiye Mungu baba (isaya 9:6)
Mungu ni mmoja tu, na jinale ni YESU Kristo/ Yeshua Hamashiach
YESU ameficha tarehe ya kuzaliwa kwake sababu alijua wanadamu wangeanza kuabudu tarehe. Ndio maana wote wanababia tu tarehe, hawajui specific date sababu ni code.Una uhakika gani yesu amezaliwa 25 dec
Ao no need ya kusheherekea xmassYESU ameficha tarehe ya kuzaliwa kwake sababu alijua wanadamu wangeanza kuabudu tarehe. Ndio maana wote wanababia tu tarehe, hawajui specific date sababu ni code.
Important thing ni kuwa YESU ni MUNGU alikuja Katika mwili wa mwanadamu na akazaliwa.
Aamen
Kukaa tumboni SI kuwa mama wa mtoto,Kwahiyo unataka kusema Yesu hakukaa tumboni Kwa Mariam miezi 9?
Unataka kusema Yesu hakuwa na kitovu ?
Ndio maana Nina wasisi na wewe huenda labda Dish lako limeyumba
X mass ni mass ya X, asiyejulikana.Ao no need ya kusheherekea xmass
Amen mwana wa Mungu.Yesu ni Mungu katika mwili
Ni neema kuiona siku ya noeli
Imeandikwa,Huu uzi ni kipumbavu kwa mwaka huu
Hilo neno Mungu alitoa mbele ya mashaidi Gani?Imeandikwa,
1 Corinthians 1:25
Kwa sababu upumbavu wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu., na udhaifu wa Mungu, una nguvu zaidi ya wanadamu,
Neno la Mungu limesema tazama bikra atachukua mimba na atazaa mtoto mwanamume.
WEWE unakaza fuvu, shauri yako,
Ila ujue jambo muhimu kuwa,
YESU ni MUNGU aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu,
Hana baba wala mama.
Na verses nimeweka hapo.
Karibu
Umenena lililo jemaX mass ni mass ya X, asiyejulikana.
Ila, YESU anajulikana, na YESU alizaliwa, tunasherehekea Kila siku kuzaliwa,kufa kwa mwili,na kufufuka siku ya tatu.
Kusherehekea ni daily practice SI 25 Dec pekee.