begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,833
- 2,878
mpuuzi mkubwa upuuzwe
hahaha alishasema heshima mamlaka iliopo juu ila vijana wa mange hawataki kuskiaNaamini umejifunza sasa jinsi ya kuenenda mbele ya viongozi wa kisiasa, kama Yesu alivyotuachia kielelezo tufuate nyayo zake(1 Pet 2:21). Tufanye kama Yesu alivyofanya aliposikia Yohana Mbatizaji amekatwa kichwa kwa amri ya Herod Antipas. Yesu alinyamaza, hakupandikiza chuki kwa watu dhidi ya Herod Antipas. Hakusema: “Mpumbavu huyu Herode,” “Tutampindua.” Nope, alinyamaza na kuendelea na kazi ya Baba kwa amani. Maisha hayo ya Yesu ya upendo na msamaha hata msalabani, yalimfanya Akida akiri: "Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu"(Mk 15:39).
Kumbe yesu hakuwa mtawala?Yesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa Bethlehemu wauawe ili Yesu aangamie. Baadaye alitawala Herod Antipas, Mwana wa Herod the Great. Huyu alitawala wakati wa huduma ya Yesu na alikuwa pia na nafasi katika hukumu ya Yesu (Luka 23:7-11). Huyu ndiye aliyeamuru Yohana Mbatizaji auawe (Marko 6:17-28). Pontius Pilate, alikuwa liwali wa Kirumi (gavana) wa Yudea kutoka mwaka 26 hadi 36 BK. Huyu alikuwa na mamlaka ya mwisho ya kisiasa na kisheria katika Yudea. Huyu ndiye aliyemhukumu Yesu atundikwe msalabani, ingawa hakuona kosa lolote kwa Yesu (Mathayo 27, Yohana 18–19).
Katikati ya Watawala hao wa kisiasa, Yesu hakuwahi kuwatukana wala kutumia lugha ya dhihaka dhidi yao.
Katika Yohana 18:36-37 tunaona Yesu akizungumza kwa heshima, hata alipokuwa anapewa hukumu ya kifo.
Katika mafundisho yake, Yesu alionyesha kwamba hata watawala wa kidunia wana nafasi waliyopewa na Mungu kwa sababu fulani. Kwa mfano, watu walipomjaribu kuhusu kulipa kodi kwa Kaisari, Yesu alisema: "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu." (Mathayo 22:21). Hapa Yesu anaonesha kwamba hata mamlaka za kisiasa zinastahili kuheshimiwa.
Viongozi aliowakemea Yesu ni wa kidini(Mafarisayo, Masadukayo na Waandishi) kwa sababu walikuwa wanawapotosha watu kwa mafundisho yaliyo kinyume na mapenzi ya Mungu.
Yesu aliwatahadharisha wanafunzi wake kuwa watachukiwa na kuonewa na watu, lakini hakuwahamasisha wafanye uasi au 'kukinukisha.'
Katika Mathayo 10:16-20 Yesu anawaambia wanafunzi wake wakipelekwa mahakamani au mbele ya watawala wa Kirumi, wawe na busara kama nyoka na wapole kama njiwa.
Katika lile tukio la askari na kundi lililoenda 'kumteka' Yesu, Petro alitoa upanga na kumkata sikio mtumishi wa Kuhani mkuu. Yesu alimuonya Petro na kumwambia arudishe upanga alani mwake, kisha akamponya huyo aliyekatwa sikio!
Yesu hakushabikia matumizi ya nguvu au mashambulizi dhidi ya viongozi, hata wakati huo wa kukamatwa kwake. Hili ni fundisho la wazi kwamba Yesu alipinga ghasia na vurugu dhidi ya wenye mamlaka.
Kumbuka pale msalabani, jinsi Yesu alivyowaombea waliomsulibisha, Mungu awasamehe. Msimamo wa Yesu ulikuwa ni kuhubiri mabadiliko ya moyo(heart reform), na sio mapinduzi ya kisiasa. Alijua kuwa mioyo ya watu ikibadilika, wataacha uovu. Sauli alikuwa mbaya sana, na alifurahia kuona watu wa Mungu wakiuawa, lakini moyo wake ulipofanyiwa reform, alibadilika na kuwa mtu mwema.
Viongozi ambao walipatikana kwa njia ya goli la mkono walipasa kuwa waskilivu na watenda haki.Lakini kwa kuwa hoja za haki zinazotolewa na wananchi hazisikilizwi,inabidi lugha ngumu zitumike wapate kusikia.Habari za Yesu aliwapenda wote wakiwemo wenye dhambi ambao ndio aliwajia ili waokolewe.Ndiyo maana alipoletewa binti aliyefumaniwa akizini ili amhukumu,akamwambia mimi sikuhukumu bali nenda lakini usirudie.Katika demokrasia raia ndio wanaowaweka viongozi madarakani hivyo mambo yasipoenda sawa na matarajio yao,wana haki kuhoji wakati mwingine lugha ya kuhoji inakuwa ngumu kutokana na matukio tunayoyaona sasa wala si kitu cha ajabuKuna watu wanadai Yesu alitukana au alimkosea heshima Herod Antipas kwa kumuita “mbweha.” aliposema “Mwambieni yule Mbweha...”
Wananukuu Andiko la Luka 13:32, Yesu aliposema:
“...Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilisha kazi yangu.”
Ukichunguza vizuri utaona kuwa hilo halikuwa tusi. Katika tamaduni za Wayahudi, "mbweha" ni mfano wa mtu asiye na nguvu kama simba. Kwa mfano huo alikuwa akiwafundisha wanafunzi wake kuwa Herod Antipas hana nguvu ya kumzuia kukamilisha kazi aliyotumwa na Baba.
Kwahiyo andiko hilo halitupi ruhusa ya kuwatukana viongozi wa serikali. Hapana. Nasema tena: NOPE!
Rafiki yangu WALOLA VUNZYANenda kasome vizuri Mathayo Sura ya 23 yoote utaelewa tu na sindano itakuingia vizuri chawa wewe.
Injili haidhibitiwi. Ukinidhibiti mimi chatGPT itahubiri InjiliWewe jamaa udhibitiwe sasa na nyuzi zako. Inatosha.
Mathayo 23 inakuhusu chawa mtiifuMburula katika uchawa wa Heche wewe!!
Endelea tu kutukana halafu subiri siku ya mwisho uone utakavyoingizwa kwenye mateso makali zaidi kuliko haya unayoyapata dunianiUnaandika gazeti refu kama vazi la mkata kichwa cha Yohana. Kwa nini wewe gwajima alivyotoa kauli ikakupata shavu la kulia usingemgeuzia na shavu la kushoto aongeze dozi ila ukachukua mamlaka ya kumsakama.
NRNEYesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa Bethlehemu wauawe ili Yesu aangamie. Baadaye alitawala Herod Antipas, Mwana wa Herod the Great. Huyu alitawala wakati wa huduma ya Yesu na alikuwa pia na nafasi katika hukumu ya Yesu (Luka 23:7-11). Huyu ndiye aliyeamuru Yohana Mbatizaji auawe (Marko 6:17-28). Pontius Pilate, alikuwa liwali wa Kirumi (gavana) wa Yudea kutoka mwaka 26 hadi 36 BK. Huyu alikuwa na mamlaka ya mwisho ya kisiasa na kisheria katika Yudea. Huyu ndiye aliyemhukumu Yesu atundikwe msalabani, ingawa hakuona kosa lolote kwa Yesu (Mathayo 27, Yohana 18–19).
Katikati ya Watawala hao wa kisiasa, Yesu hakuwahi kuwatukana wala kutumia lugha ya dhihaka dhidi yao.
Katika Yohana 18:36-37 tunaona Yesu akizungumza kwa heshima, hata alipokuwa anapewa hukumu ya kifo.
Katika mafundisho yake, Yesu alionyesha kwamba hata watawala wa kidunia wana nafasi waliyopewa na Mungu kwa sababu fulani. Kwa mfano, watu walipomjaribu kuhusu kulipa kodi kwa Kaisari, Yesu alisema: "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu." (Mathayo 22:21). Hapa Yesu anaonesha kwamba hata mamlaka za kisiasa zinastahili kuheshimiwa.
Viongozi aliowakemea Yesu ni wa kidini(Mafarisayo, Masadukayo na Waandishi) kwa sababu walikuwa wanawapotosha watu kwa mafundisho yaliyo kinyume na mapenzi ya Mungu.
Yesu aliwatahadharisha wanafunzi wake kuwa watachukiwa na kuonewa na watu, lakini hakuwahamasisha wafanye uasi au 'kukinukisha.'
Katika Mathayo 10:16-20 Yesu anawaambia wanafunzi wake wakipelekwa mahakamani au mbele ya watawala wa Kirumi, wawe na busara kama nyoka na wapole kama njiwa.
Katika lile tukio la askari na kundi lililoenda 'kumteka' Yesu, Petro alitoa upanga na kumkata sikio mtumishi wa Kuhani mkuu. Yesu alimuonya Petro na kumwambia arudishe upanga alani mwake, kisha akamponya huyo aliyekatwa sikio!
Yesu hakushabikia matumizi ya nguvu au mashambulizi dhidi ya viongozi, hata wakati huo wa kukamatwa kwake. Hili ni fundisho la wazi kwamba Yesu alipinga ghasia na vurugu dhidi ya wenye mamlaka.
Kumbuka pale msalabani, jinsi Yesu alivyowaombea waliomsulibisha, Mungu awasamehe. Msimamo wa Yesu ulikuwa ni kuhubiri mabadiliko ya moyo(heart reform), na sio mapinduzi ya kisiasa. Alijua kuwa mioyo ya watu ikibadilika, wataacha uovu. Sauli alikuwa mbaya sana, na alifurahia kuona watu wa Mungu wakiuawa, lakini moyo wake ulipofanyiwa reform, alibadilika na kuwa mtu mwema.
YESU NI MUNGUWewe unamzungumzia Yesu, yesu si Mungu. Asa unalinganishaje Mungu na binadam.
Anakaa wapi huyo Mathayo!!?Mathayo 23 inakuhusu chawa mtiifu
Huna lolote unalolijua zaidi ya kujazwa Uchawa mchundo. Wapi Kiongozi wa dini kawatukana hao unaoita viongozi. Mtu kukemea utekaji na Mauaji ya kisiasa ni matusi. Kwamba hapa ulivyoandika ujinga nikikwambia wewe Chawa nimekutukana?Yesu alipokuwa duniani, nchi aliyokuwa akiishi ilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Kirumi. Wakati Yesu anazaliwa, Herod the Great, ndiye aliyekuwa Mtawala. Huyo ndiye aliyeamuru watoto wa Bethlehemu wauawe ili Yesu aangamie. Baadaye alitawala Herod Antipas, Mwana wa Herod the Great. Huyu alitawala wakati wa huduma ya Yesu na alikuwa pia na nafasi katika hukumu ya Yesu (Luka 23:7-11). Huyu ndiye aliyeamuru Yohana Mbatizaji auawe (Marko 6:17-28). Pontius Pilate, alikuwa liwali wa Kirumi (gavana) wa Yudea kutoka mwaka 26 hadi 36 BK. Huyu alikuwa na mamlaka ya mwisho ya kisiasa na kisheria katika Yudea. Huyu ndiye aliyemhukumu Yesu atundikwe msalabani, ingawa hakuona kosa lolote kwa Yesu (Mathayo 27, Yohana 18–19).