Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Shetani mwenyewe anasema kama wewe ni mwana wa MUNGU geuza Hilo jiwe liwe mkate ila hakusema kama wewe ni mungu!!!

Hilo linamaanisha KWAMBA YESU SIO MUNGU...
 
Shetani mwenyewe anasema kama wewe ni mwana wa MUNGU geuza Hilo jiwe liwe mkate ila hakusema kama wewe ni mungu!!!

Hilo linamaanisha KWAMBA YESU SIO MUNGU...
Mkuu unaikosoa biblia inayosema Yesu ni Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…