Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Attachments

  • IMG_6343.png
    IMG_6343.png
    773.7 KB · Views: 1
Kwani wewe sio mwana wa mungu? Kama wewe sio mwana wa mungu kwanini unavosali unasema,"baba yangu wa mbinguni...., au kwanini huwa unasema mungu baba?
Unamuitaje mungu baba kama wewe sio mwanae?
SAWA mkuu nimekuelewa ngoja nikuelekeze vizuri Iko HIVI yesu ndo alikuwa kumbe wa kwanza kuumbwa na MUNGU sijui umenipata hapo??
Hiyo tunasoma kwenye wakolosai 1;15
Screenshot_20250310-001324.png
Screenshot_20250310-000946_1.jpg
 
Alikua mwana wa mungu kama tulivo wana wa mungu mimi na wewe,ndio maana tunavosali wote tunamuita mungu baba.tusingekua wanae tusingemuita mungu baba!
Ni kweli alikuwa mwana wa mungu kwa sababu hata yesu mwenyewe anasema baba ni mkuu kuliko YEYE, na hata pale alipokuwa nabatizwa alikuwa na uwezo wa kusema kwamba huyu ni Mimi ambaye nimebatizwa lakini alisema "huyu ni mwanangu mpendwa ambaye nimemchagua
Screenshot_20250310-001640_1.jpg
 
Hapendi wajinga? Kwahyo Mungu ni wa watu waelevu tu? Na Mungu wa wajinga yuko wapi?
Hiyo ni maada nyingine kubwa kabisa

Umeelewa hayo maandiko nimekuwekea?

“Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.”

Roho anaezungumzwa hapo ni Roho wa Mungu Sawa kijana.
 
Back
Top Bottom