Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Majaribu yaliwekwa ili kuona kama mwana wa MUNGU (YESU) Imani yake Iko thabiti akiwa katika umbile la kibinadamu na ili kuwatengenezea wanadamu namna wanatakiwa wawe kiimani
Mkuu kujaribu (test) maana yake hakuna uhakika na wewe au watu hawana uhakika na wewe kwahyo wanakutest kuona kama uko vizuri? Yesu alikua haaminini hadi wamjaribu?
 
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Mkuu kama hutojali pitia hii link👇
 
Siku zote huwa najiuliza mkristo mwenye imani anamshawishi vipi mtu wa imani nyingine au mtu asiye na imani

Kwa hoja za yesu alikua ni mungu kwa 100% pia ni mtu kwa 100% na akakubaliana na hiyo imani.

Kwa maana hilo jambo haliingii akilini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
 
YESU hakuwa mungu ila alikuwa mwana wa MUNGU

Soma Luka 1;30-32
Mathayo 3;16,17
Yohana 14;28
Yatakusaidia kuelewa concept HIYO
 
Siku zote huwa najiuliza mkristo mwenye imani anamshawishi vipi mtu wa imani nyingine au mtu asiye na imani

Kwa hoja za yesu alikua ni mungu kwa 100% pia ni mtu kwa 100% na akakubaliana na hiyo imani.

Kwa maana hilo jambo haliingii akilini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
Labda 50% kwa 50%
 
Back
Top Bottom