Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

Unaulizwa huko wewe unasoma kutoka chini kwenda....?
Hahahah Iko hivi biblia haisomwi kama gazeti inasomwa unakuja kuunganisha code za msingi unapata maana kamili
Kwa mfano ulisema u some agano la kale lijitegemeee bila kuhusihsa agano jipya utaona dunia chungu ila ukija kuyaunganisha yote utagundua kwamba kuzaliwa kwa YESU kulitabiriwa na manabii kama vile Mika na wenginee na ikaja kutumia kweliii
 
Wewe unasomaga biblia ukiwa wapiii kwanza???

Au unasomaga ukiwa stressed na madeni kama ni hivo huwezi kuelewa mkuu 😅 😅 😅 😅
Mantiki na ushahidi ndio kitu kinachohitajika katika mjadala.hisia hupotosha kwa sehemu kubwa za asilimia! Kama kwenye hili dogo tu umeshaacha kutumia akili umeanza KUHISI kwamba nina stress badala ya kujikita kwenye hoja!
 
Wenye dini yao wanasema eti alijibadilisha kwa umbile la binaadamu
 
Sasa wewe unayesema yesu si MUNGU bali ni mwana wa mungu unatumia mbinu gani tofauti ya kusoma biblia tofauti na wale wanaosema yesu ni mungu?
 
Kw
YESU hakuwa mungu ila alikuwa mwana wa MUNGU

Soma Luka 1;30-32
Mathayo 3;16,17
Yohana 14;28
Yatakusaidia kuelewa concept HIYO
Kwamba mtoto wa kenge ni mamba..?! Au ile neno mtoto wa chatu ni swira sio kweli!?
 
Mantiki na ushahidi ndio kitu kinachohitajika katika mjadala.hisia hupotosha kwa sehemu kubwa za asilimia! Kama kwenye hili dogo tu umeshaacha kutumia akili umeanza KUHISI kwamba nina stress badala ya kujikita kwenye hoja!
Okay nitakufafanulia kesho vizuri mkuu nimechoka leo
 
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu

Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Ra re ri ro ru..... La le li lo lu.

Ni kujaribiwa sio kujalibiwa.

Umepigwa fayaaaaa ya mwandiko.
 
Wapi aliposema yesu kuwa yeye ni mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja? acheni kumsingizia uongo mtu wa watu
Yesu alikula chakula, alivaa kanzu, sasa ushaona wapi Mungu anakua na njaa au anavaa kanzu?

Yesu alitembea juu ya maji, alifufua watu na alipaa mbele ya wanafunzi wake kwenda mbinguni. Sasa ushaona wapi binadamu anafanya haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…