Shetani Hana Mali yoyote, ni maskini wa kutupwa, na Mali zake ni za feki na maigizo.Nadhani mali zote za thamani zilizopo hapa duniani ni mali ya shetani
Shetani hakuumba hata jiwe, Yeye ni mwongo na muharibifu tangu mwanzo,
Mali zote ni za Mungu aliyeziumba, akamkabidhi Adam azitawale, shetani akampora Kwa kupitia uongo pale Eden.
Sasa Mungu akashuka katika mwili wa mwanadamu amrudishie Mali zake.
Sasa wote wamwaminio Yesu wamerudishiwa Mali zao, ukitenda dhambi, unampa shetani kibali kuchukua baraka zako Ili awape wanaomwamini akiwaaminisha ni zake kumbe sio.
Shetani ni jizi na baba wa wizi!!
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen