Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Sasa mungu alipokuwa mtu..kazi za kiuungu alikuwa anazifanya nan ??

Mtihan kweli yan [emoji23] [emoji23]
Unadhani kazi za MUNGU anazipeleka kama binadamu?anaweza kuamulu ya kesho yawe na yakawa then yeye akasinzia
 
Asingeweza kufananisha Qur'an na Biblia...maana drama zilizojaa kwenye biblia ni hatar kwa kweli...

Kitabu hata akieleweki ni kitabu au diary..kimejaa barua tyu za wakorintho, wagalatia, waefeso na wengine kibao..

Kitabu kimejaa maneno ya mtu ambaye hajawahi kumuona wala kumfata anayemzungumzia..Paulo katawala bible na tena tunaambiwa alikuwa anaua wafuasi wa Yetu

Kitabu kina maelezo yanayopingana yenyewe kwa yenyewe...mara huku yetu mungu..kule yesu mtu..kwengine mwana wa mungu..haujamaliza kushangaa unaambiwa mungu mmoja katika watatu (trinity)..

Kitabu kinatafsiri hata hazieleweki...kinajipinga chenyewe

Kitabu kimoja kimejaa waandishi kama gazeti la shigongo...

Kitabu hiko kimoja asili yake haijulikani..kila mtu kaandika kivyake...Barnaba ana yake...Paulo ana yake na wengine kibao..

Kitabu kina mitihan mizito...nimechoka tyu kuandika ila kuna mengi ya kujiuliza..

Muhammad hawezi kuiga kitabu hiki...
Usiseme drama zilizojaa kwenye biblia,imani kama siyo yako utajiona wewe upo sawa kumbe yamkini na wewe upo wrong tu.Islamic wanaponda Christian,na Christian wanaponda Islamic,na wote wanaponda Hindu,na Hindu inawaponda wote.nakadharika..Imani imani tu,ni njia tu tunazopitia ili tufike kumoja
 
Sifa gani aliyokuwa nayo? Zaidi ya uzushi mnaodanganywa! Ndio maana nikakuuliza mungu anasulubiwa? Mungu anakufa? Usiwe maku wewe kusoma hujui picha pia huoni? Utakataa vp kwamba hufikiri kwa kutumia makalio?

hebu ficha majinga majinga yako wewe! wewe, allah, jiburilu, muham mad, na waisilamu woote duniani hamjui lugha Imani ya Wakristo hilo hakuna ubishi...Wakeisto wanaamini Hutu Yesu no Mungu kamili na in mwanadamu kamili.ni.2 in.1...hivyo huna ufahamu tunapo muongelea Yesu!; tunatofautisha tunapo mjadili akiwa ktk Hali gani..Akiwa Mungu ima mwanadamu kamili!; hapo wewe unauliza jee Mungu anaweza kusulubiwa? Jibu hapana!; jee mwanadamu anaweza kusulubiwa? Jibu ndio! hivyo basi unamjadili Yesu huku hujui unachanganya changanya bila kuweka mpaka...Nakushauri ili unune kafir tamka leo kwamba kuwa ktk hali hizo Mungu hawezi! Tamka dogo, wala usiume ume maneno na kumshusha Mungu awe kama babuyo kipunjo!
 
Original copy ilikuwa inasema....HAKUNANA ALIYEMWEMA ILA MMOJA AMBAYE NDIYE MUNGU.....
Kumbe nasumbuka na mwendawazimu,kama Muhammad alivyokuwa!!!.
1476163844141.jpg
 
Kumbe nasumbuka na mwendawazimu,kama Muhammad alivyokuwa!!!.View attachment 415878
Acha uzuzu........hapa watu walikuwa wakisema Muhammad ni mwendawazimu kama vile ambavyo mapepo yalivyokuwa yakimsujudia Yesu. Usije kujisifu kwa kusema eti mapepo kumsujudia ni baab kubwa.....hayo mapepo ndiyo yaliyompachika Yesu jina la Mungu.....
Kumbe hata hujui kusoma maandiko. Hebu soma na Mathayo 4:1 ili ulinganishe na uzuzu wako kwenye maandiko
 
Asingeweza kufananisha Qur'an na Biblia...maana drama zilizojaa kwenye biblia ni hatar kwa kweli...

Kitabu hata akieleweki ni kitabu au diary..kimejaa barua tyu za wakorintho, wagalatia, waefeso na wengine kibao..

Kitabu kimejaa maneno ya mtu ambaye hajawahi kumuona wala kumfata anayemzungumzia..Paulo katawala bible na tena tunaambiwa alikuwa anaua wafuasi wa Yetu

Kitabu kina maelezo yanayopingana yenyewe kwa yenyewe...mara huku yetu mungu..kule yesu mtu..kwengine mwana wa mungu..haujamaliza kushangaa unaambiwa mungu mmoja katika watatu (trinity)..

Kitabu kinatafsiri hata hazieleweki...kinajipinga chenyewe

Kitabu kimoja kimejaa waandishi kama gazeti la shigongo...

Kitabu hiko kimoja asili yake haijulikani..kila mtu kaandika kivyake...Barnaba ana yake...Paulo ana yake na wengine kibao..

Kitabu kina mitihan mizito...nimechoka tyu kuandika ila kuna mengi ya kujiuliza..

Muhammad hawezi kuiga kitabu hiki...
usiseme hakieleweki wewe ndie huelewi!; na Mwenyezi Mungu ameshasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa uelewa!; nakushangaa sana!; hivi hivi wewe in muumini au kafir? kama ni muumini ungemuamini hats Allah na Muhammad walipo kufahamisha kwamba!; hao wasemao in Wakeisto in Wasomi na wacha Mungu..q.5:82! lakini nao huwaamini unaleta uzwazwa...hhhhhhhh...
 
Duuuhh sio kwa Ujinga huuu!!!.Mathayo gan hiyo unayosema wew,KWANI UONGO KUWA MUHAMMAD ALILOGWA NA AKACHANGANYIKIWA UBISHI MWINGINE MBONA HAUFAI,UNATETEA UJINGA,SO UNATAKA KUPINDISHA KUWA,HAJAWAHI KULOGWA AKAWA CHIZI?
 
Yesu ni Mwana Wa Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duuuhh sio kwa Ujinga huuu!!!.Mathayo gan hiyo unayosema wew,KWANI UONGO KUWA MUHAMMAD ALILOGWA NA AKACHANGANYIKIWA UBISHI MWINGINE MBONA HAUFAI,UNATETEA UJINGA,SO UNATAKA KUPINDISHA KUWA,HAJAWAHI KULOGWA AKAWA CHIZI?
Muhammad alirogwa kwa kuwa alikuwa ni binadamu. Tungeshangaa Mungu angerogwa hapo ingekuwa issue. Lakini tunashangaa Mungu anauawa na wanadamu aliowaumba!!!! Na roho ya Mungu ilipokufa sijui aliipokea nani!!!! Hii ni ajabu miongoni mwa maajabu feki. Heri kuchanganyikiwa kwa binadamu kuliio Mungu kukata roho tena kwa kifo kilichosababishwa na wanadamu aliowaumba......Poleni!!! Tatizo huwa mnadhani Muhammad ji Mungu kumbe ni binadamu tu bali aliteuliwa na Mungu kuwa nabii kwa walimwengu wote.
 
Mungu gani aliyemteua huyo Mwarabu kuwa nabii?
 
Acha uzuzu........hapa watu walikuwa wakisema Muhammad ni mwendawazimu kama vile ambavyo mapepo yalivyokuwa yakimsujudia Yesu. Usije kujisifu kwa kusema eti mapepo kumsujudia ni baab kubwa.....hayo mapepo ndiyo yaliyompachika Yesu jina la Mungu.....
Kumbe hata hujui kusoma maandiko. Hebu soma na Mathayo 4:1 ili ulinganishe na uzuzu wako kwenye maandiko
wewe ndie hamnazo...hebu kasome Yuda.1:4 na 1Tim6:3-7..sasa unanukuu kitabu kinacho kunasibisha kwamba wewe nikafiri tena una wazimu na mpinga Kristo, eti kikutetee...huo in uzwazwa MTU wangu...hhhhhhhhh...kataa humu muhammad kama muhammad hakulogwa na yahud laab'iid had I akaanza kuweweseka!; sio wazimu huo? wale mazwazwa walijua in wahyi na kupiga takbir, lakini wajanja walimpasha wazi kwamba huo ni wazimu na sio wahyi...
 
Na wewe jibuSikandiko gani Yesu anasema yey ni Mungu?
Biblia Takatifu yote! Hutaki meza sumu ya panya unune! wajanja kila Siku Tunamkiri Yesu kwamba!; Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ilaha Yesu na Prof Paulo in Mtume wake! Yesu nisamehe uovu wangu lakini naapa kwa Jina lako Sitakukana!!!! dhahir eeh?!
 
Unadhani kazi za MUNGU anazipeleka kama binadamu?anaweza kuamulu ya kesho yawe na yakawa then yeye akasinzia
Embu nieleweshe hili andiko maana mnadai yesu ni mungu na pia yesu mwenyewe ana Mungu wake ambapo yeye ni mtumishi wa huyo Mungu wake asa sijui kuna Mungu wangapi? Nieleweshe kuhusu andiko na sio porojo

Matendo 3:13

Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka na wa Yakobo, Mungu wa baba zetu, amemtukuza mtumishi wake Yesu, ambaye ninyi mlimsaliti na kumkana mbele ya Pilato, alipokuwa ametoa hukumu yake afunguliwe.
 
hebu ficha majinga majinga yako wewe! wewe, allah, jiburilu, muham mad, na waisilamu woote duniani hamjui lugha Imani ya Wakristo hilo hakuna ubishi...Wakeisto wanaamini Hutu Yesu no Mungu kamili na in mwanadamu kamili.ni.2 in.1...hivyo huna ufahamu tunapo muongelea Yesu!; tunatofautisha tunapo mjadili akiwa ktk Hali gani..Akiwa Mungu ima mwanadamu kamili!; hapo wewe unauliza jee Mungu anaweza kusulubiwa? Jibu hapana!; jee mwanadamu anaweza kusulubiwa? Jibu ndio! hivyo basi unamjadili Yesu huku hujui unachanganya changanya bila kuweka mpaka...Nakushauri ili unune kafir tamka leo kwamba kuwa ktk hali hizo Mungu hawezi! Tamka dogo, wala usiume ume maneno na kumshusha Mungu awe kama babuyo kipunjo!
Unachekesha sana saiv unadai sio mungu ila ni mungu mtu kipindi anakuwa mungu kipindi anakuwa mtu mbona unajichanganya bi mkubwa? Acha kufikiri kwa kutumia makalio bi mkubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom