imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
ikiwa kila mwanadamu ana haki ya kutoa haja kubwa na ndogo, vipi haki hiyo kwa anaejiskia kuitekeleza, afanye hivyo popote anapojiskia?Mtu atatimiza wajibu wake kama akiamini atapata haki

Hakika. Lazima tufahamu kuwa wanaodhulumiwa hizi haki siyo wa chama fulani pekee, wala wa dini fulani pekee, au wanaotoka sehemu fulani au wa kabila fulani. Tunadhulumiwa Watanzania wote, na wanaotufanyia hivyo ni kundi dogo lililowaharibu akili watanzania wachache, wanaoitwa machawa, wanaosifia na kuunga mkono huu ushenzi wa kudhulumu haki za wananchi.Tuungane sote bila kujali vyama itikadi kabila wala dini tudai HAKI zetu.