Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Je uandishi wako?Na kwann uchague hilo jina? Angalia nimejoin lini JF na hizo kesi za didy zimezuka lini alafu utapata majibu.
Sema we jamaa una take vitu seriously sana..
Chakula si cha kumnyima mtu blood.
Unataka kusema jina limenikosesha mwaliko ndgu yangu
 
Ukipata mialiko mingi nigaie mmoja
 
Njoo hapa Palm village ukifika getini au mlango wa kuingilia ulizia Mr Peyo utaelekezwa.

Nitakuepo hadi saatisa na nusu then saakumi jioni nategemea kwenda na wadau kutoa sadaka Temeke hosptalini .

Hivyo njoo tuungane
 
Mkuu mapema kabisa ngoja nifanye huo mpango..
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…